BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 2,707
- 6,503
Utotoni sisi tulikuwa tunaweza unda gari za kuchezea wenyewe, mipira ya kucheza, midor ya udongo na kadhalika. naakumbuka hadi umeme tulikuwa tunakusanya betri zilizo tupwa jaralani tunazinganisha na balbu tuna zalisha umeme.
Hatukuwa tunaletewa midoli wala mipira ya kuchezea. Ok haikuwepo ya kutosha enzi hizo kama ilivyo sasa.
Now day kuna kila kitu cha mtoto kuchezea na wazazi kama kawaida yetu tuna nunua tu kila kitu kwa ajili ya watoto kuchezea.
Hivi vitu vinafanya watoto wawe wajinga mno tena kupitiliza, Watoto hawawi tena creative, mtoto hawezi unda hata gari la kuchezea la mabox na vizibo vya soda, hawezi tengeneza mpira wake wa kuchezea.
Hii ni hatari sana, na sio ujanja hata kidogo ni mtoto anakuwa mjinga, sasa jumlisha na masomo ya kukaririshwa shuleni mtoto anakuwa mjinga mazima.
nisha acahana na huo ujinga, mtoto anatengeneza mwenyewe citu vya kuchezea.