mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 79,812
- 103,830
Utani tag mkuuNitarudi kusimulia kisa cha mdoli. Haya mambo yanatisha sana.
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utani tag mkuuNitarudi kusimulia kisa cha mdoli. Haya mambo yanatisha sana.
Kuna mtoto mmoja aliokota kondom akamuonesha mama yake!Busara gani mkuu? Apokee pesa ya kuokota?
Jindae kuletewa mimba muda si mrefuMwanangu wa kike wa miaka 14 akileta pesa ya kuokota huwa simchapi.
Sawa mkuu nikitulia. Kuna dogo aliokotaga mdoli kilichomkuta huwezi amini. Nimezidi kushangaa kisa cha miaka mingi hivyo eti leo haya mambo tunayaona hata NETFLIX!!Utani tag mkuu
Ova
Sijalazimishwa wala kuitwa hapa, pili kwa utu uzima wangu labda vile tu hunijui sina haja ya kupoteza muda kuleta stori za uongo. Najitolea ili wengine wajifunze kama mleta mada alivyodhamiria.Usitunge story au kuleta story za hearsay hapa.
Sijalazimishwa wala kuitwa hapa, pili kwa utu uzima wangu labda vile tu hunijui sina haja ya kupoteza muda kuleta stori za uongo. Najitolea ili wengine wajifunze kama mleta mada alivyodhamiria.
Ahsante.
Kuna level ikifika hata panga inabidi umshikie sembuse plaizi?Kwa hio mkuu unaona sawa kumfinya mtoto kwa praizi mwili mzima?
Kuna level ikifika hata panga inabidi umshikie sembuse plaizi?
Tuombe Mungu atujalie kuzaa watoto wastaarabu, wasio na matatizo ya usumbufu, la sivyo lazima umshikishe adabu angali mdogo ama wewe ukishindwa basi walimwengu watamfunza.
Safi sana hii mkuu...Wazazi wengi zamani walikuwa hivyo lazima uhojiwe vya kutosha na ikilazimu viboko vitembee, mwanangu akija nyumbani na kalamu akasema nimeokota namkabidhi dreva kesho ampatie mwalimu.
Hili ni tukio la mwaka gani mkuu?...Mimi niliiba kofia ya mwalimu mkuu siku ya ijumaa nilipofika nyumbani nikasema nimeokota
Angalia asikuletee majini. Ndani ya nyumba yakoMwanangu wa kike wa miaka 14 akileta pesa ya kuokota huwa simchapi.
mhhh...Inategemeana na kiwango cha hela alichookota...akiokota mia au mia mbili anapaswa kukalipiwa na kuzitupa hizo hela.
HahahahahahhaaaaaAngalia asikuletee majini. Ndani ya nyumba yako
Just imagine mtoto wako anakuja na 100,000/= eti anasema ameokotaSiyo sahihi hata kidogo.