cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 119,939
- 196,388
😂😂😂Yaani kama Jana nilikuwa safarini dada wa watu akatangaza kabisa,jamani chonde chonde choo hiki ni Kwaajili ya haja ndogo tu usitumie Kwa matumizi mengine kama una dharura usisite kusema tutakusaidia...wooii mtu akaingia sijui kajisaidia haja kubwa😁😁😁nyiee
Ila Sasa sisi siyo takataka jamani🥲