Watanzania wengi ni wajinga sana.

Watanzania wengi ni wajinga sana.

fact only

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2024
Posts
2,378
Reaction score
3,783
Hellow wana JF.
Saizi mitandaoni, maredioni na viongozi wa jiji la Dar es salaam kuanzia mkuu wa mkoa, wabunge mpaka balozi wa nyumba kumi wanajifanya kukomalia usafi kwasababu Mh Rais alisema Dar es salaam ni chafu sana.

Inamaana Mh Rais asinge sema jiji lingeendelea kuwa chafu na kunuka mwanzo mwisho. Mpaka mtu mwenye akili timamu unakaa unajiuliza hawa watu ni watu wa design gani au ni maiti zinazo tembea? Au ni mambumbu yanayo jua kula na kulala tu.

Jitu linatupa taka hovyo.

Jitu linatembea linavuta sigara hovyo.

Jitu linaenda toilet linatumia choo halisafishi linaacha uchafu wake pale(mkojo au kinyesi chake).

Jitu halipigi mswaki linatembea domo linanuka hovyo(alafu mijitu ya hivi inakuwa miongeaji sana wakati domo linanuka kama choo).

Jitu mvua ikinyesha tu linazibua chemba za uchafu.

Jitu linakula chakula au kitu ndani ya usafiri alafu linatupa uchafu nje.

Majitu yanakuja kuchukua pesa za taka alafu taka hayaji kubeba.

Yani majitu ya Tanzania ni machafu sana na ndiyo maana hata ndoa nyingi hazidumu kwasababu majitu ni machafu hayaoni kinyaa kuzini/kulala na mume/wake za watu bila hata yakupima. Matokeo yake magonjwa ya zinaa yanawatesa kila siku takataka nyie.

Majitu ya Tanzania ni machafu/majinga hayajali afya zao wala afya za wengine.
 
Kuna haja ya kutungwa kwa sheria ambazo zitalifanya jiji liwe safi ,kuwe na fine kali na vifungo.

Jiji la Dar ni la hovyo yaani hata hizo sehemu prime nazo JAU ,yaani hata ukienda oysterbay,masaki,mikocheni bado mauchafu ya kutosha yapo.

Ebu ingia youtube search LA Tour ,Chicago Tour ,Atlanta Tour , Miami TOur halafu angalia majiji ya wenzetu yalivyo masafi yaani hata akitemmbea 2hrs na gari haukuti lundo la takataka barabarani au mashimbo barabarani.
 
Amri ya mkuu wa nchi ni kama sheria.
 
Inatakiwa sheria kali kwelikweli Mkuu.

Miji ni michafu sana majitu yakioga maji nusu sado basi yanaona yamesha maliza.

Ni mwendo wa uchafu uchafu hakuna anaye shituka.
 
Inatakiwa sheria kali kwelikweli Mkuu.

Mji ni michafu sana majitu yakioga maji nusu sado basi yanaona yamesha maliza.

Ni mwendo wa uchafu uchafu hakuna anaye shituka.
Yaani hawa ma RD ,DC walivyoanza inatakiwa waendeleze kukomaa na usafi ,SAMUYA asicheke na yeyote akiona RC/DC kazembea kwenye usafi afukuze aweke mwingine.
 
Ila watu wa daslamu mnahekaheka sana bhanywaning'we
😀 Karibu Dar es salaam
Hii clip imedhibitisha kweli sisi ni wajinga .. jamaa angekuwa na I q kuwa Kuna mengi ya kumuuliza huyo r c lakini kwa vile hamna mwenye afadhali hapo nothing new
Hakika wameishia kuongea umbea umbea na kuchekacheka hakuna jipya.
 
Yaani huwezi kuwa msafi nje kama ndani ni mchafu.

Wengi wetu ni wachafu ndani, yaani kuanzia mioyo yetu hadi majumbani mwetu, ni wachafu na hatujali kwamba ni wachafu.

Kuna mtu aliniambia wazungu ni wachafu sana, nikacheeka...wakati huo yeye anakula matunda na kutupa maganda hovyo tu, hajali.

Waafrika sisi bado sanaaa!! Wachafu kuanzia mioyoni.
 
Yaani hawa ma RD ,DC walivyoanza inatakiwa waendeleze kukomaa na usafi ,SAMUYA asicheke na yeyote akiona RC/DC kazembea kwenye usafi afukuze aweke mwingine.
RD na DC hamna kitu pale.

Mpaka Rais aseme ina maana wao walikuwa hawaoni mkuu. Tena inawezekana labda kuna wageni kutoka nje watakuwa walilalamika kwa Mh Rais ndiyo maana limechukuliwa kwa ukubwa.
 
Ni kweli hamna kitu ,walikuwa hawajiongezi ila kwasasa ndiyo ziwe KPIs zao...Wakifeli wakae pembeni wawekwe wengine.

DAR ni hvyo aibu tupu ,wageni wakija ni AIBU sana!
 
Back
Top Bottom