Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 14,912
- 28,655
Nakumbuka kipindi ndo nina fika jiji la Dar..
Piga hesabu nikalipia chumba cha elf 60 single, Oya cha ovyo kinyama.
Basi, nikaoneshwa pale kuwa wa au taratibu wa kulipia umeme elf 15! Maji na na taka elf5 so inakuwa ujumla elf 80.
Nikawalipa, chumba kilikuwa haija kamilika, father house akaniambia kuwa after 3 days atakuwa kuwa mchezo.
Oya, niliyo yaona nilijua mie,
Kwanza chumba Hakika pigwa finishing inayo eleweka, mlango nimewekeza wa bodi(sio mbao), sakafu haijawekewa PVC lile zege la chini lina pitisha maji yanakuja juu,
Mazingira sasa, aisee, uchafu, chooni pachafu, na tayari nilikuwa nimesha lipa miezi 6, nikasema huu ni usenge.
Watanzania ni sio wastaarabu kabisa, ni wajinga wa fikra, hawana haya, hawana aibu kabisa.
Ile nyumba nili ishi mwezi mmoja tu, maana niliuguwa fungus na ikawa kila siku kabla sijaoga lazima nifanye usafi yakinifu...
Nikajisemea kabisa ni kheri nimetafuta self contained au apartment ya laki mbili kuliko kuishi maisha ya taabu namna hii.
Mbona mikoani watu wanaishi kwa ustaarabu, Dar yaani majitu majinga na mazembe kweli kweli. Siongei kutafuta sifa bali nasema ukweli.
Badilikeni, Saizi tembea hata mtaani Dar ujionee uchafu, na wanafanya fanya usafi kwa ajili ya El Nino ila baada ya siku kadhaa hali inarudi pale pale tu.
Watu wa Dar ni wazembe sana, uchafu kupindukia.