Watanzania wengi ni wajinga sana.

Watanzania wengi ni wajinga sana.

Agiza pepsi Bigi nakuja kulipa.
Thanks Mkuu.
430707.jpg
 
Haipo kwenye DNA. Watu wanaosema haya mambo yapo kwenye DNA nao ni tatizo, maana wanajaribu kujustify huo uchafu au kuwaaminisha Waafrika kuwa hawawezi kuwa wasafi. Na unapoleta narrative kama hii unapunguzia watu self esteem na baadae wanakata tamaa wanajiona hawawezi kuleta mabadiliko yoyote

Hii video nimeshawahi kuiangalia mara mbili, huyo jamaa video yake ni destructive na sio constructive, alikuwa anaquestion abilities za Waafrika as race kwenye kuwa wasafi wakati hata yeye mwenyewe anajua Rwanda ni pasafi na wanakaa Waafrika so problem ni more like kujiendekeza, na sio kuwa Mwafrika. Hakutoa hata solution video nzima, Useless video

Kuna demu fulani wa Ghana nimesahau account yake, yeye video zake nyingi zilikuwa zinasuggest solution smart kabisa, sio kama hii ya kudoubt ability ya Waafrika kuhusu kujali usafi wa mazingira

We need solutions, sio self doubts na insecurities
Point Mkuu.

Waafrika kila kitu wanatafuta sababu za kijinga jinga ili kupitisha mambo yao ya kijinga jinga yasio na afya kwa jamii na Taifa kwa ujumla ndiyo maana tunafeli kwenye mambo mengi sana kwasababu ya hizi self doubts and insecurities.
 
Je hali hii ipo kwenye DNA, makazj yetu yanatakiwa yawe ya saizi ya kijiji, yakizidi ukubwa huu na wingi huo wa kuzidi kijiji basi mazingira yake kuyatunza inakuwa changamoto mfano mji au jiji
Ni uchafu wa mwili na akili kwa kujiendekeza hakuna cha DNA mkuu.
 
Mkuu wanasubiri mpaka Mh Rais aseme. Majitu hayajitambui yanaishi kama yamekufa maiti kabisa zinazo tembea.

Viongozi nao ndiyo walewale Rais asipo sema ndiyo basi tena.
Ni jambo la kusikitisha sana especially hawa viongozi wanaopita Barabara hizo kila siku
Yaani wanakoishi wangekuwa hawana wasaidizi nao wangekuwa hivyo hivyo
 
Hellow wana JF.
Saizi mitandaoni, maredioni na viongozi wa jiji la Dar es salaam kuanzia mkuu wa mkoa, wabunge mpaka balozi wa nyumba kumi wanajifanya kukomalia usafi kwasababu Mh Rais alisema Dar es salaam ni chafu sana.

Inamaana Mh Rais asinge sema jiji lingeendelea kuwa chafu na kunuka mwanzo mwisho. Mpaka mtu mwenye akili timamu unakaa unajiuliza hawa watu ni watu wa design gani au ni maiti zinazo tembea? Au ni mambumbu yanayo jua kula na kulala tu.

Jitu linatupa taka hovyo.

Jitu linatembea linavuta sigara hovyo.

Jitu linaenda toilet linatumia choo halisafishi linaacha uchafu wake pale(mkojo au kinyesi chake).

Jitu halipigi mswaki linatembea domo linanuka hovyo(alafu mijitu ya hivi inakuwa miongeaji sana wakati domo linanuka kama choo).

Jitu mvua ikinyesha tu linazibua chemba za uchafu.

Jitu linakula chakula au kitu ndani ya usafiri alafu linatupa uchafu nje.

Majitu yanakuja kuchukua pesa za taka alafu taka hayaji kubeba.

Yani majitu ya Tanzania ni machafu sana na ndiyo maana hata ndoa nyingi hazidumu kwasababu majitu ni machafu hayaoni kinyaa kuzini/kulala na mume/wake za watu bila hata yakupima. Matokeo yake magonjwa ya zinaa yanawatesa kila siku takataka nyie.

Majitu ya Tanzania ni machafu/majinga hayajali afya zao wala afya za wengine.
Yaani kama Jana nilikuwa safarini dada wa watu akatangaza kabisa,jamani chonde chonde choo hiki ni Kwaajili ya haja ndogo tu usitumie Kwa matumizi mengine kama una dharura usisite kusema tutakusaidia...wooii mtu akaingia sijui kajisaidia haja kubwa😁😁😁nyiee

Ila Sasa sisi siyo takataka jamani🥲
 
Tukubali tatizo na kisha kujisahihisha. Bila kuona ukweli huo itakuwa ngumu kuwa na miji safi, mipango miji, usafiri miji wa uhakika, maji ya bomba n.k
Mkuu watu wachafuwachafu akili zao ni zakijinga hawawezi kukubali tatizo bila sheria kali.

Wakitokea viongozi wazuri wakufanya mipango mizuri yakupanga miji kuwa safi. Wajinga na wachafu wanaibuka kuanza kulialia.

Mfano yamejegwa masoko ya kisasa kama Maching complex na soko la Magomeni pale cha ajabu watu hawataki kuingia na kufanya biashara mle ndani wanataka kupanga nyanya, vitungu, mbogamboga n.k barabarani.

Sasa watu kama hawa wanahitaji sheria kali ili waweze kwenda sawa hivi hivi hawawezi kwenda.
 
Usafi utakuaje ikiwa mindset ya watu wake ni kuwa mwanaume akiwa msafi basi ni shoga.

Tatizo kuu ni ELIMU, ELIMU. ELIMU.
sababu ni UJINGA, UJINGA, UJINGA.
😀 ndiyo uzi unavyo sema mkuu "Watanzania wengi ni wajinga sana".
 
Majitu majinga kiasi cha kuamini uchawi/uganga unafanya kaz kwanini yasiwe machafu.😡💩😡

Unakuta limtu linatoa uchafu puani linauangalia linautupa kisha linaingiza kidole mdomoni kutoa hindi lilonasia kwa meno kisha linakuvunjia hindi ule.😮
Aiseee ni kinyaa mkuu.

Lingine halijapiga mswaki domo linanuka balaa alafu ndiyo linaongoza kwa kubwabwaja hovyo mbele za watu.
 
sasa mimi kosa langu liko wapi.. au kusema ukweli ndo naonekana mbaya. ushapita masokoni nyanya cabage zipo chini watu wananunua na hamna anayeshtuka... ushawahi tembelea machinjio..
Gari zakubeba uchafu nazo hazitokei mpaka takataka zinasambaa hovyo mitaani viongozi pamoja na raia ni shida tupu.
 
Bongo Hapa watu wanakula mahindi majani wanatupa barabarani, mitaroni nk.
Jitu linakula ukwaju wa azam linatupa taka hapo na haliwazi kabisa. Utasema ni maiti inayo tembea.
 
Yaani kama Jana nilikuwa safarini dada wa watu akatangaza kabisa,jamani chonde chonde choo hiki ni Kwaajili ya haja ndogo tu usitumie Kwa matumizi mengine kama una dharura usisite kusema tutakusaidia...wooii mtu akaingia sijui kajisaidia haja kubwa😁😁😁nyiee

Ila Sasa sisi siyo takataka jamani🥲
😀 sasa mkuu kama huyo aliye tita kwenye gari tunamuitaje kama sio Takataka.

Kama wewe sio mchafu hauta kuwa kwenye kundi la Takataka ila kama wewe ni mchafu kama huyo aliye tita kwenye gari basi sema mimi ni Takataka.
 
Yaani huwezi kuwa msafi nje kama ndani ni mchafu.

Wengi wetu ni wachafu ndani, yaani kuanzia mioyo yetu hadi majumbani mwetu, ni wachafu na hatujali kwamba ni wachafu.

Kuna mtu aliniambia wazungu ni wachafu sana, nikacheeka...wakati huo yeye anakula matunda na kutupa maganda hovyo tu, hajali.

Waafrika sisi bado sanaaa!! Wachafu kuanzia mioyoni.
Wabarikiwe wazungu.
 
Back
Top Bottom