ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,960
- 89,183
Mara nyingi Huwa nasema Moja ya sifa za Hilo Jiji lenu Uchwara ukiacha Uswazi ni mauchafu Kila mahala,niloshakataa kuishi hulo.Kuna haja ya kutungwa kwa sheria ambazo zitalifanya jiji liwe safi ,kuwe na fine kali na vifungo.
Jiji la Dar ni la hovyo yaani hata hizo sehemu prime nazo JAU ,yaani hata ukienda oysterbay,masaki,mikocheni bado mauchafu ya kutosha yapo.
Ebu ingia youtube search LA Tour ,Chicago Tour ,Atlanta Tour , Miami TOur halafu angalia majiji ya wenzetu yalivyo masafi yaani hata akitemmbea 2hrs na gari haukuti lundo la takataka barabarani au mashimbo barabarani.
Imagine uchafu combined with msongamano,slums,madimbwi kwenye Barabara za mitaani ni shida tupu.