Watanzania wengi ni wajinga sana.

Watanzania wengi ni wajinga sana.

Yaani huwezi kuwa msafi nje kama ndani ni mchafu.

Wengi wetu ni wachafu ndani, yaani kuanzia mioyo yetu hadi majumbani mwetu, ni wachafu na hatujali kwamba ni wachafu.

Kuna mtu aliniambia wazungu ni wachafu sana, nikacheeka...wakati huo yeye anakula matunda na kutupa maganda hovyo tu, hajali.

Waafrika sisi bado sanaaa!! Wachafu kuanzia mioyoni.
Hakika Mkuu watanzania wengi ni wachafu lakini sio uchafu tu na ujinga ndani yake tena ujinga sugu.

Kwasababu mtu mwenye akili timamu hawezi kuona mazingira machafuchafua alafu akaangalia tu bila kufanya jambo.
 
😀 Karibu Dar es salaam Mkuu.
Nitakuja mkuu ngoja elnino ipite maana Kuna mwaka nilikuja huko ilinishangaza mvua ya manyunyu tu ilipita ila nilivyotoka nje ni kama mvua ilinyesha usiku kucha chemba zimeachiwa zinatoa uchafu aiseeee dar wachafu sana ila mkipost picha zenu mtandaoni kama watu vile
 
Ni kweli hamna kitu ,walikuwa hawajiongezi ila kwasasa ndiyo ziwe KPIs zao...Wakifeli wakae pembeni wawekwe wengine.

DAR ni hvyo aibu tupu ,wageni wakija ni AIBU sana!
Mkuu watafeli tu. ujue wewe kama kiongozi ukiwa unataka kila kitu ukubushwe tayari unakosa sifa za kuwa kiongozi.

Sema ndiyo hivyo Mkuu hamna namna.
 
Nitakuja mkuu ngoja elnino ipite maana Kuna mwaka nilikuja huko ilinishangaza mvua ya manyunyu tu ilipita ila nilivyotoka nje ni kama mvua ilinyesha usiku kucha chemba zimeachiwa zinatoa uchafu aiseeee dar wachafu sana ila mkipost picha zenu mtandaoni kama watu vile
😀 Dar es salaam vijana wakiume tukisha oga maji nusu lita na wadada wakishaweka makucha vidoleni hamna kazi za usafi wa mazingira tena.
 
Hellow wana JF.
Saizi mitandaoni, maredioni na viongozi wa jiji la Dar es salaam kuanzia mkuu wa mkoa, wabunge mpaka balozi wa nyumba kumi wanajifanya kukomalia usafi kwasababu Mh Rais alisema Dar es salaam ni chafu sana.

Inamaana Mh Rais asinge sema jiji lingeendelea kuwa chafu na kunuka mwanzo mwisho. Mpaka mtu mwenye akili timamu unakaa unajiuliza hawa watu ni watu wa design gani au ni maiti zinazo tembea? Au ni mambumbu yanayo jua kula na kulala tu.

Jitu linatupa taka hovyo.

Jitu linatembea linavuta sigara hovyo.

Jitu linaenda toilet linatumia choo halisafishi linaacha uchafu wake pale(mkojo au kinyesi chake).

Jitu halipigi mswaki linatembea domo linanuka hovyo(alafu mijitu ya hivi inakuwa miongeaji sana wakati domo linanuka kama choo).

Jitu mvua ikinyesha tu linazibua chemba za uchafu.

Jitu linakula chakula au kitu ndani ya usafiri alafu linatupa uchafu nje.

Majitu yanakuja kuchukua pesa za taka alafu taka hayaji kubeba.

Yani majitu ya Tanzania ni machafu sana na ndiyo maana hata ndoa nyingi hazidumu kwasababu majitu ni machafu hayaoni kinyaa kuzini/kulala na mume/wake za watu bila hata yakupima. Matokeo yake magonjwa ya zinaa yanawatesa kila siku takataka nyie.

Majitu ya Tanzania ni machafu/majinga hayajali afya zao wala afya za wengine.
Sasa mambo ya kuzini au kulala na wake za watu yametoka wapi tena. Kwanza suala la cheating ni dunia nzima sio Tanzania pekee
Kuhusu uchafu kwa mtu binafsi nalo ni janga la dunia nzima. Kila kona imejaa watu wachafu na wasafi duniani. Vitu kama personal hygiene usije ukadhani hayo mataifa yaliyoendelea wote ni wasafi. Nao wapo watu wananuka hivyohivyo

Hapa point kubwa uliyoongelea ni usafi wa mazingira. Kwenye hili suala ndio tupo nyuma sana kuliko nchi nyingi. Miji ya Tanzania ni michafu sana, watu wanasingizia umasikini ila sio kweli. Rwanda ni nchi masikini na ni safi almost kila pembe. Tunapaswa kubadilika kama taifa kwenye suala la usafi wa mazingira yetu
 
Kazi ipo, ubaya wa watu kuishi kwa mazoea, mazoea yakizidi inabaki kuwa tabia.
 
Miundombinu ya maji taka kwa dar Hayako poa kwa wale mnaokaa ubungo darajan au mnaopita maeneo Yale ile sehem ya mabucha ya samak wanamwaga maji machafu kwenye mitaro harufu inayotoka hapo sio poa
Kuna lile zoez la kila jmosi watu wafanye usafi had saa nne hakuna kufungua biashara yoyote kidogo ilikua poa Sasa sijui imepotelea wap
 
Mkuu watanzania wengi ni wachafu kwa kila kitu. Nikweli na mataifa mengine ni wachafu lakini sio kama Tanzania.

Watanzania ni wachafu sana wanajua wakioga wao basi imekwisha wanaona issue ya mazingira sio jukumu lao.
 
Watu wachafu mji mzima hata ukisema upate kiongozi wa usafi huwezi kumpata
 
Kazi ipo, ubaya wa watu kuishi kwa mazoea, mazoea yakizidi inabaki kuwa tabia.
Tabia za kijinga jinga kama hizi zitatuletea magonjwa alafu watu wenyewe hata bima za afya na pesa za matibabu hakuna .
 
Miundombinu ya maji taka kwa dar Hayako poa kwa wale mnaokaa ubungo darajan au mnaopita maeneo Yale ile sehem ya mabucha ya samak wanamwaga maji machafu kwenye mitaro harufu inayotoka hapo sio poa
Kuna lile zoez la kila jmosi watu wafanye usafi had saa nne hakuna kufungua biashara yoyote kidogo ilikua poa Sasa sijui imepotelea wap
Magufuli alivyo tangulia mbele za haki na zoezi la usafi kila j'mosi likafa hapohapo.
 
Hellow wana JF.
Saizi mitandaoni, maredioni na viongozi wa jiji la Dar es salaam kuanzia mkuu wa mkoa, wabunge mpaka balozi wa nyumba kumi wanajifanya kukomalia usafi kwasababu Mh Rais alisema Dar es salaam ni chafu sana.

Inamaana Mh Rais asinge sema jiji lingeendelea kuwa chafu na kunuka mwanzo mwisho. Mpaka mtu mwenye akili timamu unakaa unajiuliza hawa watu ni watu wa design gani au ni maiti zinazo tembea? Au ni mambumbu yanayo jua kula na kulala tu.

Jitu linatupa taka hovyo.

Jitu linatembea linavuta sigara hovyo.

Jitu linaenda toilet linatumia choo halisafishi linaacha uchafu wake pale(mkojo au kinyesi chake).

Jitu halipigi mswaki linatembea domo linanuka hovyo(alafu mijitu ya hivi inakuwa miongeaji sana wakati domo linanuka kama choo).

Jitu mvua ikinyesha tu linazibua chemba za uchafu.

Jitu linakula chakula au kitu ndani ya usafiri alafu linatupa uchafu nje.

Majitu yanakuja kuchukua pesa za taka alafu taka hayaji kubeba.

Yani majitu ya Tanzania ni machafu sana na ndiyo maana hata ndoa nyingi hazidumu kwasababu majitu ni machafu hayaoni kinyaa kuzini/kulala na mume/wake za watu bila hata yakupima. Matokeo yake magonjwa ya zinaa yanawatesa kila siku takataka nyie.

Majitu ya Tanzania ni machafu/majinga hayajali afya zao wala afya za wengine.
Agiza pepsi Bigi nakuja kulipa.
 
Kuna haja ya kutungwa kwa sheria ambazo zitalifanya jiji liwe safi ,kuwe na fine kali na vifungo.

Jiji la Dar ni la hovyo yaani hata hizo sehemu prime nazo JAU ,yaani hata ukienda oysterbay,masaki,mikocheni bado mauchafu ya kutosha yapo.

Ebu ingia youtube search LA Tour ,Chicago Tour ,Atlanta Tour , Miami TOur halafu angalia majiji ya wenzetu yalivyo masafi yaani hata akitemmbea 2hrs na gari haukuti lundo la takataka barabarani au mashimbo barabarani.
Austria mzee baba funga kazi

Ova
 
Back
Top Bottom