Kweli kabisa Kuna vitu vinakera na kupandisha munkariHakika mkuu unatamani utembeze mboko labda hawa wajinga wajinga watajitambua hata kidogo.
Sema ndiyo haiwezekani tu.
😀 Hakika Mkuu ustaarabu wa paka kwenye usafi ni zaidi ya akili ya mtanzania.Wanazidiwa ustaarabu na paka, akitaka kujisaidia
1. Anafukua shimo
2. Anagonga mhuri wake
3. Anafukia
4. Ananusa kujiridhisha kuwa harufu haisumbui watumiaji wengine wa ardhi au unga
Unapohojiwana mwandishi wa habari inatakiwa utoe majibu kwa kuangalia rika.
Kuna mmoja hapo kasema wiki iliyo pita alipanda basi kwenda safari zake. Kwenye gari wakatangaza choo hichi cha ndani ya basi ni kwaajili ya haja ndogo pekee kama utabanwa na haja kubwa usiogope kutoa taarifa tutakusaidia.Kweli kabisa Kuna vitu vinakera na kupandisha munkari
Mzee hapo ameondoka bila kuelewa lolote 😂Unapohojiwana mwandishi wa habari inatakiwa utoe majibu kwa kuangalia rika.
GenZ noma sana..!
😆😆😄Dah!! Sipati picha jinsi hiyo safari ilivyokuwa baada ya upuuzi huoKuna mmoja hapo kasema wiki iliyo pita alipanda basi kwenda safari zake. Kwenye gari wakatangaza choo hichi cha ndani ya basi ni kwaajili ya haja ndogo pekee kama utabanwa na haja kubwa usiogope kutoa taarifa tutakusaidia.
Lakini nasikia kunajitu likaenda kutita kwenye choo cha haja ndogo mpaka gari lote likaanza kutoa harufu ya kinyesi.
Majitu kama hayo nishida sana kwenye jamii.
Wanaosimamia huo uwajibikaji ni watu wasio na utamaduni wa uwajibikaji Wala kujali.Hii nchi mkwamo upo kwenye katiba hususani usimamizi na uwajibikaji.
Bunge,mahakama na serikali vimeingiliwa na chama tena chama chenye viongozi mafisadi unategemea nini hapo zero uwqjibikaji zero usimamizi.
Katiba Mpya naipinga haitaleta utamaduni wa ustaarabu Kwa nature ya Watanzania.Hii nchi haina viongozi ina wachungulia fursa tu,tukisema katiba ibadilishwe wanatishambulia mfumo wa chama kimoja kilichojaa ufisadi ndio umeharibu na unaendelea kuharibu hii nchi.
Akaliwe na Simba tu,Inasemekana wahudumu ndani ya basi walifoka sana.
Jitu la namna hii unaweza lishusha mikumi pale halina faida.
Nimeona wamesema kuna vifungo na fine ya laki 3 hadi milioni ,hii sheria inabidi isimamiwe na wasicheke na yeyote.Mara nyingi Huwa nasema Moja ya sifa za Hilo Jiji lenu Uchwara ukiacha Uswazi ni mauchafu Kila mahala,niloshakataa kuishi hulo.
Imagine uchafu combined with msongamano,slums,madimbwi kwenye Barabara za mitaani ni shida tupu.