Wanashangaza sana Mkuu.Nashanga kuona mtu kakaa kwenye gari then akunywa maji halafu anatupa nje kopo like damn bro hivi una akili kweli ???
🤣🤣🤣Mhh...sawa !!ila mi siyo kundi la takataka mkuu...afu kumbe Hilo neno la kutita ni kiswahili kabisa 🤣🤣😀 sasa mkuu kama huyo aliye tita kwenye gari tunamuitaje kama sio Takataka.
Kama wewe sio mchafu hauta kuwa kwenye kundi la Takataka ila kama wewe ni mchafu kama huyo aliye tita kwenye gari basi sema mimi ni Takataka.
KAMPENI INAENDELEA KUSAFISHA JIJI
19 September 2026
HALI YA JIJI LETU DAR ES SALAAM TOKA MITAA YA POSTA, LUMUMBA, GEREZANI HADI to TABATA CHANGOMBE
View: https://m.youtube.com/watch?v=BrU6xjTbFYc
Kampeni za usafi
😀 ndio mkuu kiswahili kabisa.🤣🤣🤣Mhh...sawa !!ila mi siyo kundi la takataka mkuu...afu kumbe Hilo neno la kutita ni kiswahili kabisa 🤣🤣
Wazo zuri mkuu.Ningependekeza mabango yote makubwa ya matangazo yaondolewe na kupelekwa ktk magazeti na vituo vya televisheni. Media zipate mapato na mji kubaki msafi vila kuzongwa na mabango ya matangazo.
Mabango makubwa ya matangazo yanachafua miji. Jiji linaweza kuweka levy ya matangazo yote ya magazeti ya jiji husika kwa kuwa watakuwa wanakusanya magazeti kama takataka ngumu.
Mkuu,unajua usafi ni tabia,usafi huwezi kuufanya kama event ya muda fulani tu,Watu wachafu mji mzima hata ukisema upate kiongozi wa usafi huwezi kumpata
Aliweka miundombinu stahili ya usafi?Magufuli alianzisha hii kampeni ya usafi alivyo tangulia mbele za haki zoezi nalo likafa mazima.
Wewe masuala ya kupiga nyeto umeyapa kipaumbele haya mpigie na huyu
😂😂😂😂😀 ndiyo uzi unavyo sema mkuu "Watanzania wengi ni wajinga sana".