Watanzania wengi ni wajinga sana.

Watanzania wengi ni wajinga sana.

Je hali hii ipo kwenye DNA, makazj yetu yanatakiwa yawe ya saizi ya kijiji, yakizidi ukubwa huu na wingi huo wa kuzidi kijiji basi mazingira yake kuyatunza inakuwa changamoto mfano mji au jiji

View: https://m.youtube.com/watch?v=LA-zbbgHcL8

Haipo kwenye DNA. Watu wanaosema haya mambo yapo kwenye DNA nao ni tatizo, maana wanajaribu kujustify huo uchafu au kuwaaminisha Waafrika kuwa hawawezi kuwa wasafi. Na unapoleta narrative kama hii unapunguzia watu self esteem na baadae wanakata tamaa wanajiona hawawezi kuleta mabadiliko yoyote

Hii video nimeshawahi kuiangalia mara mbili, huyo jamaa video yake ni destructive na sio constructive, alikuwa anaquestion abilities za Waafrika as race kwenye kuwa wasafi wakati hata yeye mwenyewe anajua Rwanda ni pasafi na wanakaa Waafrika so problem ni more like kujiendekeza, na sio kuwa Mwafrika. Hakutoa hata solution video nzima, Useless video

Kuna demu fulani wa Ghana nimesahau account yake, yeye video zake nyingi zilikuwa zinasuggest solution smart kabisa, sio kama hii ya kudoubt ability ya Waafrika kuhusu kujali usafi wa mazingira

We need solutions, sio self doubts na insecurities
 
Kuna haja ya kutungwa kwa sheria ambazo zitalifanya jiji liwe safi ,kuwe na fine kali na vifungo.

Jiji la Dar ni la hovyo yaani hata hizo sehemu prime nazo JAU ,yaani hata ukienda oysterbay,masaki,mikocheni bado mauchafu ya kutosha yapo.

Ebu ingia youtube search LA Tour ,Chicago Tour ,Atlanta Tour , Miami TOur halafu angalia majiji ya wenzetu yalivyo masafi yaani hata akitemmbea 2hrs na gari haukuti lundo la takataka barabarani au mashimbo barabarani.
Masaki wamevunja vibanda walau itatakata.
 
Haipo kwenye DNA. Watu wanaosema haya mambo yapo kwenye DNA nao ni tatizo, maana wanajaribu kujustify huo uchafu au kuwaaminisha Waafrika kuwa hawawezi kuwa wasafi. Na unapoleta narrative kama hii unapunguzia watu self esteem na baadae wanakata tamaa wanajiona hawawezi kuleta mabadiliko yoyote

Hii video nimeshawahi kuiangalia mara mbili, huyo jamaa video yake ni destructive na sio constructive, alikuwa anaquestion abilities za Waafrika as race kwenye kuwa wasafi wakati hata yeye mwenyewe anajua Rwanda ni pasafi na wanakaa Waafrika so problem ni more like kujiendekeza, na sio kuwa Mwafrika. Hakutoa hata solution video nzima, Useless video

Kuna demu fulani wa Ghana nimesahau account yake, yeye video zake nyingi zilikuwa zinasuggest solution smart kabisa, sio kama hii ya kudoubt ability ya Waafrika kuhusu kujali usafi wa mazingira

We need solutions, sio self doubts na insecurities

Tukubali tatizo na kisha kujisahihisha. Bila kuona ukweli huo itakuwa ngumu kuwa na miji safi, mipango miji, usafiri miji wa uhakika, maji ya bomba n.k

KINSHASA MASINA USAFIRI WETU

View: https://m.youtube.com/watch?v=S0-L3YKySVw
 
Tukubali tatizo na kisha kujisahihisha. Bila kuona ukweli huo itakuwa ngumu kuwa na miji safi, mipango miji, usafiri miji wa uhakika, maji ya bomba n.k
Unadhani Waafrika hawajakubali tatizo. Wanajua kuhusu tatizo la uchafu, wanajua sababu ya Africa miji yake kuwa michafu ni ipi na wanajua cha kufanya ni kipi
Enforcement ndio hakuna. Hizo self doubts za kudehumanize Africans kama kwenye hiyo video ni unnecessary
 
12 Juni 2026

TRENI YETU YA MWAKYEMBE JIJINI DSM. POSTA HADI PUGU KAJIUNGENI

View: https://m.youtube.com/watch?v=aDeXWYhmDM0
Mapitio ya Reli ya Wasafiri Dar es Salaam | Uzoefu wa 4K wa Gerezani (Kariakoo) hadi Pugu Jiunge nami 12 June 2026 katika safari ya kusisimua ndani ya Treni ya Wasafiri Dar es Salaam, maarufu kama Treni ya Dr. Harrison Mwakyembe nguli wa habari na pia mtunzi kitabu cha fasihi ya Pepo ya Mabwege . Katika video hii, ninasafiri kutoka Gerezani karibu na Kariakoo hadi Pugu, nikionyesha uzoefu kamili katika ubora wa ajabu wa.
  • Posta
  • Gerezani
  • Ilala
  • Bungoni
  • Vingunguti /
  • Kipawa / Karakata
  • Majumba Sita /Uwanja wa Ndege
  • Banana
  • Ukonga /Mombasa
  • Gongo la Mboto mwisho wa reli
  • Pugu

KITABU : FASIHI - PEPO YA MABWEGE
Pepo ya Mabwege ni riwaya ya kitashtiti inayoangazia mazingira ya kisiasa, kijamii na kiuchumi barani Afrika katika miaka ya 1960 na 1970 .... fasihi hii inachabuliwa siyo Tanzania tu bali barani Afrika nchi kama Kenya hadi Marekani ya Kaskazini
Mtunzi : Mwakyembe, H (Harrison),
Pepo ya Mabwege It critiques corruption, greed, and fraudulent behavior among the newly rich elite in post-independence African societies.

View: https://m.youtube.com/watch?v=4CeCMyYjIKk

More Sources: https://search.lib.uiowa.edu/primo-...WA_ALMA21415450990002771&context=L&lang=en_US
 
Amri ya mkuu wa nchi ni kama sheria.
Sasa swala la usafi ni mpaka lizungumzwe na Rais ndiyo lifanyiwe kazi kweli? Kaandika hapo mtu ananunua chakula ila anakuja kutupa nje uchafu na dustbin zimo humo humo, just assume mtu anatoka chooni anaona kabisa kachafua na anaacha jitu zima nyumbani linaitwa baba, kama hayo madogo yanamshinda mtu ataweza kufanya eneo lake liwe safi? Eti mpaka aseme Rais huo ni upambavu na ni aibu.
 
Usafi utakuaje ikiwa mindset ya watu wake ni kuwa mwanaume akiwa msafi basi ni shoga.

Tatizo kuu ni ELIMU, ELIMU. ELIMU.
sababu ni UJINGA, UJINGA, UJINGA.
 
Majitu majinga kiasi cha kuamini uchawi/uganga unafanya kaz kwanini yasiwe machafu.😡💩😡

Unakuta limtu linatoa uchafu puani linauangalia linautupa kisha linaingiza kidole mdomoni kutoa hindi lilonasia kwa meno kisha linakuvunjia hindi ule.😮
 
Majitu majinga kiasi cha kuamini uchawi unafanya kaz kwanini yasiwe machafu.😡💩😡

Unakuta limtu lunatoa uchafu puani linauangalia linautupa kisha linaingiza kidole mdomoni kutoa hindi lilonasia kwa meno kisha linakuvunjia hindi ule.😮
😂😂😂
 
Asili haikwepeki wape miezi miwili tuu... Watanzania ni wachafu mno.
Sio kweli. Uchafu sio asili, ni culture ya watu
Na kama zilivyo culture nyingine, inaweza kutokomezwa vizuri tu
Mawazo kama haya yako ndio yanatumika kujustify uchafu na upuuzi Tanzania
Na Tanzania ni chafu kwa sababu watu wake wengi wana mawazo kama yako
 
sasa mimi kosa langu liko wapi.. au kusema ukweli ndo naonekana mbaya. ushapita masokoni nyanya cabage zipo chini watu wananunua na hamna anayeshtuka... ushawahi tembelea machinjio..
 
sasa mimi kosa langu liko wapi.. au kusema ukweli ndo naonekana mbaya. ushapita masokoni nyanya cabage zipo chini watu wananunua na hamna anayeshtuka... ushawahi tembelea machinjio..
Huo sio ukweli. Hapo ni kuencourage watu kuendelea kuwa wachafu. Unawaaminisha kuwa ni nature yao kitu ambacho sio kweli. You just make things worse
 
Usafi utakuaje ikiwa mindset ya watu wake ni kuwa mwanaume akiwa msafi basi ni shoga.

Tatizo kuu ni ELIMU, ELIMU. ELIMU.
sababu ni UJINGA, UJINGA, UJINGA.
Umeniacha hoi! Mwanaume akiwa msafi ni shoga! Au tuseme akijipodoa.
 
Bongo Hapa watu wanakula mahindi majani wanatupa barabarani, mitaroni nk.
 
Watu wachafu mji mzima hata ukisema upate kiongozi wa usafi huwezi kumpata
Mkuu wanasubiri mpaka Mh Rais aseme. Majitu hayajitambui yanaishi kama yamekufa maiti kabisa zinazo tembea.

Viongozi nao ndiyo walewale Rais asipo sema ndiyo basi tena.
 
Back
Top Bottom