Dreadnought
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,902
- 3,984
Wenyewe mtaani twajisemea kiingereza bila hela ni kelele tu.
So mkuu unamaanisha wewe maisha yako yote utazungumza na watu wa fani yako tu?yaan ni hivi kuna lugha ya wote ,na kuna lugha wanaelewa watu wa fani husika, ambozo ndizo zina fundishwa kwenye fani nyi ngi za science. Mfano nikisema "R commender" umelewa nini hapo?
Hizi ni porojo ''mfu'' za kuhalalisha huu upungufuy. Mtu ukisoma degree unatumia kiingereza cha kawaida kwa asilimia kubwa. Kuna dada mmoja ana masters ya Chuo Kikuu hata ukiongea naye mambo ya kawaida kichwani ni ''mweupee pe''Nipe mfano wa technical English na fluency english
Yale yale john pombe magufuliTanzania fifth term general election took place on 28th October 2020
The contestants were Honorable john pombe magufuli from the ruling party cham cha mapinduzi..and honorable tundu Antipas lissu from from the opposition party (chadema).
According to few Tanzanian citizens interviewed,the election was considered as "unfair"
At least I can try
,
wengi wameathiriwa na lugha zao za kibantu. Kuna baadhi ya lugha za kibantu ni nadra sana kukuta herufi "r" ikitumika.Nini hiyo wapo wahitimu wengine wa vyuo hata matumizi ya R na L kwenye lugha mama ya kiswahili ni shida
Let's hope so.I hope I'm not the one..
Nmepata shida kusoma iyo "reki"😄😄😄😄 nadhan na mm n miongoni mwao🤣🤣🤣🤣🤣
ni fikra zangu lkn... I mean mtazamo wangu...Kiungereza sio kachumbari Tanzania, ni lugha ya kufundishia ambayo kwa mtu aliyefika angalau kiwango cha digree atakuwa ameitumia kwa miaka 10. Kama kilikushinda miaka hiyo yote ulikuwa unasomaje na utawezeje kazini? Hembu tumia akili zako.
Mimi hesabu hainipigi chenga.. na unlike many ninaamini mtu anatakiwa afunzwe "namna ya kujifunza na kutafuta maarifa" hilo ndio somo kubwa kuliko somo lolote.inawezekana wewe hesabu rahisi tuu za calculas zina kupiga chenga, mbona sisi atukusemi?? wakati mtu kama mimi calculas naona kama hesabu za darasa pili vile.(Ni dhambi kutusema watu tulio soma science)
Uko sahihi Mkuu... Nimesoma Engineering... Kwa kweli kiingereza chetu ni cha Kihandisi... Technical English....Kuna Technical English and Fluency English. Watu wanao soma sayansi wanatumia Technical English sana. Hivyo ukiwaingiza kwenye fluency hawatakuelewa. na wewe wakiungiza kwenye technical hutowaelewa. Watu wanaosoma arts ndio wanatumia fluency English, sana ila nao technical English holaaaa
then ni akili ndo imetumika kutoa hayo mawazo... next time na ww utumie akili piah... no offence...Hembu tumia akili zako
HahahahahInakuwaje msomi ama graduate wa chuo kikuu aliespend miaka kama minne chuo kikuu na ana degree, masomo yake yote ni kiingereza tupu anafanikiwa kugraduate, lakini ukimwongelesha kiingereza haelewi
Akiamua yeye sasa Hata kuandika ujumbe kwa kiingereza anashusha broken ya hatari hadI unashangaa? Wengine wamefanikiwa kupata kazi kabisa unakuta bonge la engineer from ardhi university English mbovu mkichat yuko kwenye bonge la kampuni
Mbaya zaidi graduate kamaliza chuo few days anaambiwa andika barua ya kuomba internship anaweweseka..Mara nipe google..maelezo yake binafsi yanamshinda kujieleza kwa kiingereza anatafuta CV za wengine akopi.sasa najiuliza huyu mtu kafanikiwa kumaliza successful report zake aliandikaje?kama kiingereza cha kuandika anababaika presentation alihudhuriaje akapata marks
Research zake?
Au ndo wale wa kukariri? Sawa basi hata kama kukariri unashindwa kujifunzia hapo mpangilio wa grammar.
Boss mzima ananitext "is you coming or no"
Kiingereza nacho ni kipaji?

Umesema vitu vingi. Lakini nadhani unachokosa ni picha pana tu ya umuhimu wa kujifunza kwa lugha yako.Shida ipo.
Hutoweza kucommunicate na taifa lolote duniani or should I say nje ya africa
Well kama ni hivyo basi leo kungekuwa hakuna tatizo la watu wazima ambao ni graduates kushindwa kumudu English sababu hata wao wamejifunza ukubwani for 6 years ukiondoa miaka ya chuo kikuu.
Na hao watu waliojifunza kichina ukubwani ni wangapi au ni asilimia ngapi ya graduates wote?
Hautoweza kusoma vitu vilivyoandikwa nje ya lugha yako kwa kutumia lugha yako kama hata kutumia hiyo lugha yako ni tatizo na hauwezi.
Tanzania kuna lugha zaidi ya 100 na asilimia 10 tu ya watanzania ndio wanatumia Kiswahili kama main language na 90% wanatumia kama second language.
Sasa hapo hata ukikitumia Kiswahili shuleni effect itakuwa ndogo vilevile na kutakuwa hakuna tofauti na kutumia English at all.
Considering mpaka leo hii tumeshindwa kubadirisha kutoka kiingereza kwenda Kiswahili.
Unadhani tutaweza kutumia Kiswahili wakati hata kubadirisha kwenda Kiswahili tumeshindwa?
Even kutumia lugha yenyewe ya hayo masomo tumeshindwa.
China na India wana lugha nyingi lakini lakini wanaoutimia main languages ni zaid ya asilimia 10.
Hivyo hata wakitumia lugha zao effect itakuwepo.
So kujifananisha nao ni kama kumpa tembo maji anayokunywa mbuzi.
Na kama kufundisha kwa lugha mama kutaleta wavumbuzi.
Kwanini primary Level wanafundisha Kiswahili masomo yote ukiondoa English na hakuna wabunifu au wavumbuzi wadogo?
Usiniambie hakuna wabunifu au wavumbuzi wadogo duniani.
Na mkuu unataka kusema kwamba hizi shule za kata zinafundisha masomo ya English kama inavyotakiwa?
Hapana bali wanatumia English na Kiswahili kwa asilimia kubwa na wanafunzi bado hawaelewi na still hakuna wavumbuzi wala wabunifu labda wapo lakini wapo wapi?.
Kingine ni kwamba wahindi na wachina sio kwamba hawajui kiingereza kabisa hapana wanajua.
Sababu wanajua umuhimu wa kiingereza kwenye kasi ya maendeleo duniani na kushirikiana na mataifa mengine so kiingereza ndio main key kwa kuwasiliana.
Sababu kiingereza kina umuhimu wake duniani au huo umbuzi na ubunifu wetu hautofika popote considering taifa bado masikini na wala hakuna watu wanaojua umuhimu wa ubunifu na uvumbuzi.
Kwani sasa hivi hakuna wabunifu au wavumbuzi watu wazima wa kiafrika?
Hapana wapo lakini huwezi kuwaona wala kuwasikia sababu hata waijitangaza hakuna mwafrika atawaikiliza maybe angetumia English kujitangaza angesaidiwa na watu wanaojua umuhimu wa ubunifu na uvumbuzi.
Na ndio sababu nikasema tatizo lipo.
Sababu hata ukiwa na uvumbuzi kama huwezi kucommunicate na watu wanaojua umuhimu wa uvumbuzi na ubunifu basi utakufa na uvumbuzi wako hapahapa.
Mkuu kiingereza ni essential kwenye ulimwengu wa leo.
Anapendaga sana kutumia as far as.....concerned😄😄😄😄.
Nilisikia pia akisema.
"Sa nyinyine unakuta mtu hajafika ata Uingereza, lakini utasikia you know, you know "🤣🤣 kumbe yy hatumii you know, yy anatumia "as far as....concerned..."😆😆😆😆😆
Unapo ona hawezi ,si kwamba ni poyoyo bali mazingira yana changia pia....So mkuu unamaanisha wewe maisha yako yote utazungumza na watu wa fani yako tu?
Basi mseme tuu kuwa tuongeze bidii kwenye kujifunza English ,na si kusema tunatia aibu wakati tuna lugha zetu huku vyuoni ...Mimi hesabu hainipigi chenga.. na unlike many ninaamini mtu anatakiwa afunzwe "namna ya kujifunza na kutafuta maarifa" hilo ndio somo kubwa kuliko somo lolote.
Kama unaweza kuelewa Calculus unashindwaje kuelewa matumizi sahihi ya maneno kwenye sentensi!? Au unashindwaje kutafuta maarifa ya swala hilo ujifunze!?
Katika hesabu na kuna Argument and Logic ni muhimu sana kuelewa hili.. maana hesabu na maisha in general yame-base on this...
Ukisema Ungwini haukupeleki sehemu yoyote... So is Calculus. Kama hujui how to sell your mathematical knowledge with great words to non mathematicians it will be as good as nothing...
Kwa kifupi hakuna kitu muhimu sana na kisichokuwa muhimu sana.. everything does its part.. ofcoz inabidi uondoe Bitcoin na sports betting 🙂 ..hivyo sio muhimu.