EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,086
Wao ni mother tongue language, wanatumia hiyo lugha kila mahali. Wakirudi nyumbani na wakiwa mtaani ndio lugha yao ya mawasiliano.Hoja yako ina mashiko kwa Tanzania tu! Mbona wenzetu Wakenya na Waganda wote wanajua hiyo sjui Tech na Fluent English? Tukubali elimu yetu ina shida.