chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 12,180
- 25,418
Yaani wanawake wakishasoma na kuwa na elimu basi tafrani wanaona wengine Hamna kitu
Au nasema uongo walokole?
Ameeen
Yaani wanawake wakishasoma na kuwa na elimu basi tafrani wanaona wengine Hamna kitu
Au nasema uongo walokole?
let's talk Arabic.
?ما اسمك
Is you mnangaringiHold my beer, nishamjua unayemnanga hapa hakyanani!
اسم النعمة hahaaaaaaaaaaaa usiku mwema mkuu
"Fluency" na "Technical English" ni nini sasa?naongea technical English,
Kuna Technical English and Fluency English. Watu wanao soma sayansi wanatumia Technical English sana. Hivyo ukiwaingiza kwenye fluency hawatakuelewa. na wewe wakiungiza kwenye technical hutowaelewa. Watu wanaosoma arts ndio wanatumia fluency English, sana ila nao technical English holaaaa
naongea technical English,
hii middle english au?You are in spot of bother, innit? Cat got your tongue, has it?
Giz a butchers at than then will you?
You ain't got bottle to do it, have you?
Kwani mkuu we elimu yako umeipata humu nchini?? Nakama ndio vip huko chuon ulikuwa huoni madhaifu haya kwa mates wako?? Elimu ya kibongo mtu akosee kingereza afu umshangae kweli?? You won't be serious?Inakuwaje msomi ama graduate wa chuo kikuu aliespend miaka kama minne chuo kikuu na ana degree,masomo yake yote ni kiingereza tupu anafanikiwa kugraduate, lakini ukimwongelesha kiingereza haelewi
Akiamua yeye sasa Hata kuandika ujumbe kwa kiingereza anashusha broken ya hatari hadI unashangaa?
Wengine wamefanikiwa kupata kazi kabisa unakuta bonge la engineer from ardhi university English mbovu mkichat yuko kwenye bonge la kampuni
Mbaya zaidi graduate kamaliza chuo few days anaambiwa andika barua ya kuomba internship anaweweseka..Mara nipe google..maelezo yake binafsi yanamshinda kujieleza kwa kiingereza anatafuta CV za wengine akopi.sasa najiuliza huyu mtu kafanikiwa kumaliza successful report zake aliandikaje?kama kiingereza cha kuandika anababaika presentation alihudhuriaje akapata marks
Research zake?
Au ndo wale wa kukariri? Sawa basi hata kama kukariri unashindwa kujifunzia hapo mpangilio wa grammar.
Boss mzima ananitext "is you coming or no"
Kiingereza nacho ni kipaji?
You are very poor in punctuation. John Pombe Magufuli is a person's name, hence a proper noun which can not start with a small letter.Tanzania fifth term general election took place on 28th October 2020
The contestants were Honorable john pombe magufuli from the ruling party cham cha mapinduzi..and honorable tundu Antipas lissu from from the opposition party (chadema).
According to few Tanzanian citizens interviewed,the election was considered as "unfair"
At least I can try
Kingereza ni lugha ya wenyewe ww unamuongelesha ya nini??? Ukiongea naye kiswahili hakuelewi????Inakuwaje msomi ama graduate wa chuo kikuu aliespend miaka kama minne chuo kikuu na ana degree,masomo yake yote ni kiingereza tupu anafanikiwa kugraduate, lakini ukimwongelesha kiingereza haelewi
Akiamua yeye sasa Hata kuandika ujumbe kwa kiingereza anashusha broken ya hatari hadI unashangaa?
Wengine wamefanikiwa kupata kazi kabisa unakuta bonge la engineer from ardhi university English mbovu mkichat yuko kwenye bonge la kampuni
Mbaya zaidi graduate kamaliza chuo few days anaambiwa andika barua ya kuomba internship anaweweseka..Mara nipe google..maelezo yake binafsi yanamshinda kujieleza kwa kiingereza anatafuta CV za wengine akopi.sasa najiuliza huyu mtu kafanikiwa kumaliza successful report zake aliandikaje?kama kiingereza cha kuandika anababaika presentation alihudhuriaje akapata marks
Research zake?
Au ndo wale wa kukariri? Sawa basi hata kama kukariri unashindwa kujifunzia hapo mpangilio wa grammar.
Boss mzima ananitext "is you coming or no"
Kiingereza nacho ni kipaji?
I hope I'm not the one..You are warmly welcome. By the way, my X's name is Abigail, please, be it not you.
OkayYou are very poor in punctuation. John Pombe Magufuli is a person's name, hence a proper noun which can not start with a small letter.
There should be a full stop after 2020.
The quotation marks on the word unfair should be ( ' ) and not ("). You can only use ( ") in a second quotation.
There should be the letter 'a' before few Tanzanian.
Your use of commas and full stops leaves a lot to be desired.
Kama lugha ya wenyewe wanaisomea niniKingereza ni lugha ya wenyewe ww unamuongelesha ya nini??? Ukiongea naye kiswahili hakuelewi????
Sijagraduate chuoni japo nimeingiaKwani mkuu we elimu yako umeipata humu nchini?? Nakama ndio vip huko chuon ulikuwa huoni madhaifu haya kwa mates wako?? Elimu ya kibongo mtu akosee kingereza afu umshangae kweli?? You won't be serious?
Labda tatizo ni viwango vya kuelewa...ama uzingatiaji wa wanachofundishwaMbona English haina ugumu wowote kujifunza, kuongea, kusoma wala kuandika.
Au walimu ndio tatizo?
Kama walimu tatizo kwanini wengine waelewe na wengine wasielewe?
Tatizo ni nini?
Mleta mada unadhani tatizo ni nini na solutions ni zipi?
Hutakiwi kulaumu tatizo bali unatakiwa utafute solution.
Swali: mleta mada ulipitia chuo kikuu?