Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,945
Hahaaa aloo
Hebu tufanye hivi niandikie comment kwa kiingereza halafu nakujibu..
Twende kazi
Firstly, you choose one , either American, British or African English.
let's start. 😒
Hahaaa aloo
Hebu tufanye hivi niandikie comment kwa kiingereza halafu nakujibu..
Twende kazi
Hamna adabuAfter completing my form six studies I worked as a teacher at Sengerema Secondary school and then jump to be a president of Chattle bagosha nayombaga ikizungu
Onene


African englishFirstly, you choose one , either American, British or African English.
let's start.![]()
Kiingereza changu cha kawaida tu, labda kama ukiniambia hata hicho cha kawaida kwa wengi ni shughuli.Kwa kuonyesha msisitizo angeandika thread kwa kiingereza.
Humu watu wanaopiga NGELI baadhi ni Kiranga na Nyani Ngabu
naongea technical English,Kwa kifupi:Unaongea kitu gani hiki?
huu ni uongo mbona wachina hawajui kiingereza lakini wana uwezoThat's why wataalam wetu wengi uwezo ni mdogo na vijana hawaajiriki! hauwezi ukawa mbobezi wa jambo flani ilhali lugha uliyotumia kusomea jambo husika inakupiga chenga.
Mkuu umenifurahisha sana. Hebu ajaribu kidogo kutema hiyo lugha ya malkia.Ili tujue uwezo wako katika kiingereza tafsiri hili bandiko lako katika kiingereza, chukua paragraphs ya kwanza na ya 2.
Kiingereza changu cha kawaida tu, labda kama ukiniambia hata hicho cha kawaida kwa wengi ni shughuli.
Ndio hivi yaniNini hiyo wapo wahitimu wengine wa vyuo hata matumizi ya R na L kwenye lugha mama ya kiswahili ni shida
African english
I knew itI have set a trap for you in which you are trapped.
Is there any African english??, if there is any and in this case you prefer it to American and British English then why condemn the one who started the sentence with; " is you coming------", ----that's an African English so to say.
You have no maral authority to condemn him/her.
Umejuaje Kama hawajui ?huu ni uongo mbona wachina hawajui kiingereza lakini wana uwezo
UfahamuKwani kujua kingereza ndo kuwa na akili????
Lugha unaisomea kwa said ya miaka kumi.Colonization of the mind Mimi nadhani wewe uliyepost uzi huu ndo mtumwa angeshindwa kuongea kiswahili vizuri tungemshangaa ila kingereza!!!!!
I knew it
How can you mention something that doesn't exist?
I've never seen it anywhere
So I had to hear it from you for the first time
Call it self trap
Wtf is Fluency English?!! Is this the case of kettle calling pot black??!Kuna Technical English and Fluency English. Watu wanao soma sayansi wanatumia Technical English sana. Hivyo ukiwaingiza kwenye fluency hawatakuelewa. na wewe wakiungiza kwenye technical hutowaelewa. Watu wanaosoma arts ndio wanatumia fluency English, sana ila nao technical English holaaaa
Hata sielewi , Wengine huenda mbali zaidi kwa mfano neno la kuanza na a anaandika ha,Ndio hivi yani
Jiulize huko chuo alienda kufanya nini