Wasomi na kiingereza

Wasomi na kiingereza

ha
Kuna Technical English and Fluency English. Watu wanao soma sayansi wanatumia Technical English sana. Hivyo ukiwaingiza kwenye fluency hawatakuelewa. na wewe wakiungiza kwenye technical hutowaelewa. Watu wanaosoma arts ndio wanatumia fluency English, sana ila nao technical English holaaaa
Hakuna cha technical wala ngwini English. Kiazi ni kiazi tu. MeKo anajua kiingereza gani?
 
Kwakweli..
Ila mbona Mimi nimepata kujua kiingereza fasaha kupitia shule ya msingi tena enzi za mkapa..na sio mhitimu chuo kikuu

Kuna uhusiano gani kati ya mtu Na mtu kwenye ubongo wake?
Waziri na mwalimu?
Hebe tuandikie paragraph moja ya English juu ya uchaguzi TZ 2020
 
After completing my form six studies I worked as a teacher at Sengerema Secondary school and then jump to be a president of Chattle bagosha nayombaga ikizungu

Onene
Wabheja kulumpa mwanawani, and ofcourse we need to see our number 1 speaking English fluently as it was the case with his predecessors. No way, mastering foreign languages needs a talent as well.
 
I have set a trap for you in which you are trapped.🤣

Is there any African english??, if there is any and in this case you prefer it to American and British English then why condemn the one who started the sentence with; " is you coming------"🤣, ----that's an African English so to say.

You have no maral authority to condemn him/her.
Is there African English would be better.
 
Hebe tuandikie paragraph moja ya English juu ya uchaguzi TZ 2020
Tanzania fifth term general election took place on 28th October 2020
The contestants were Honorable john pombe magufuli from the ruling party cham cha mapinduzi..and honorable tundu Antipas lissu from from the opposition party (chadema).
According to few Tanzanian citizens interviewed,the election was considered as "unfair"

At least I can try
 
Good try.
According to the few Tanzania citizens interviewed......
 
According to few Tanzanian citizens interviewed,the election was considered as "unfair"

Are you a CCM adherent propagating your political sensibilities ??.

According to majority Tz Citizens interviewed, they had this to say; the election encountered many irregularities and shortcomings followed by Vote rigging etc, it was the worst election ever since th3 country independence.
 
Kuna Technical English and Fluency English. Watu wanao soma sayansi wanatumia Technical English sana. Hivyo ukiwaingiza kwenye fluency hawatakuelewa. na wewe wakiungiza kwenye technical hutowaelewa. Watu wanaosoma arts ndio wanatumia fluency English, sana ila nao technical English holaaaa
Unataka kusema hawakusoma somo la English?au English grammar?
Kuanzia o level?..

Mimi nalia sana na walimu wao waliowafundisha hicho kingereza ndy tatizo..
Pengine huko alipoanzia ndy alikutana na walimu wa broken English..
Mtoto akipata Mwalimu mzr ana copy hata english ascent ktk kuongea..

Utakuta mtu anaongea english fasaha lakini ile lafidhi tamu ya kingereza pia hana..
 
Are you a CCM adherent propagating your political sensibilities ??.

According to majority Tz Citizens interviewed, they had this to say; the election encountered many irregularities and shortcomings followed by Vote rigging etc, it was the worst election ever since th3 country independence.
Probably a CCM cadre expressing her affiliation to the party.
Five more.
 
Are you a CCM adherent propagating your political sensibilities ??.

According to majority Tz Citizens interviewed, they had this to say; the election encountered many irregularities and shortcomings followed by Vote rigging etc, it was the worst election ever since th3 country independence.
 
IQ ya mtu haitegemeani na KIINGEREZA. Jifunze lugha inayotumika katika mazingira yako kiukamilifu hapo utafanikiwa.

ZIMBABWE, KENYA, MALAWI NA ZAMBIA WANAONGEA KIINGEREZA KIZURI ILA NI MASKINI WA KUTUPWA!
 
I can predict; majority of people you are talking about here are men

Wanaume are better at Maths and Science

And us women are good at language.

It is what it is,

Engineering field is dominated by men,

giving them language tasks ni kuwaonea,
 
IQ ya mtu haitegemeani na KIINGEREZA. Jifunze lugha inayotumika katika mazingira yako kiukamilifu hapo utafanikiwa.

ZIMBABWE, KENYA, MALAWI NA ZAMBIA WANAONGEA KIINGEREZA KIZURI ILA NI MASKINI WA KUTUPWA!
I understand, but mind you, a person with high IQ can learn and speak the language easier than a normal person. Malawi, Zimbabwe and the likes use English in primary schools which is not the case here in Tz.
 
Back
Top Bottom