Wasomi na kiingereza

Wasomi na kiingereza

yaan ni hivi kuna lugha ya wote ,na kuna lugha wanaelewa watu wa fani husika, ambozo ndizo zina fundishwa kwenye fani nyi ngi za science. Mfano nikisema "R commender" umelewa nini hapo?
Tatizo unadhani unaishi sayari ambayo wengine hawawezi kufika.

Kwahiyo hapo wewe unadhani hiyo ni "rocket science" ambayo inanishangaza mimi hadi nikuone wewe ni mfano wa Isaac Newton au Albert Einstein?
 
Umesema vitu vingi. Lakini nadhani unachokosa ni picha pana tu ya umuhimu wa kujifunza kwa lugha yako.
Mkuu unataka kusema sasa hivi hatujifunzi Kiswahili?
Na mimi sijasema Kiswahili hakina umuhimu

Simaanishi kujifunza kwa Kiswahili ni kitu kibaya kama ulivyodhani. kama ni hivyo hata masomo tunayosoma siyo yetu vilevile so tuache kutumia masomo or maarifa yao as you said.

Sisi tumecopy tu or tuanzishe masomo yetu then tukijifunza kwa lugha za wengine well that would be strange.

Utamaduni ukipanuka uhitaji wa bidhaa za kiswahili unakuwa
Mfano kupanuka kwa kiingereza kumefanya watanzania na dunia kufurahia Filamu za kiingereza ..maana wanaelewa.
Well if it was that easy kwa muda wote huo uliopita basi leo tungekuwa tayari na bidhaa zetu ambazo zipo nje.
Wanaojifunza lugha ukubwani ni wengi.. hakuna mtu aliyesoma kichina toka akiwa mdogo nchi hii ni leo tuna wakarimani lukuki wa lugha ya kichina.. simply kwa sababu ya uhitaji.. wapo Watu wanazungumza kiarabu na mie nimejifunza kihehe na kisukuma ukubwani. Hiyo sio kazi ni interests .
Well mkuu tunaongelea English.
Ambayo mtu anasoma na kujifunza for 6 years na hakuna kitu.

So unataka kusema kiingereza hakina uhitaji au umuhimu Tanzania?

Na mimi sijasema kujifunza lugha ukubwani haiwezekani bali nimesema ni rahisi kwa mtoto mdogo kujifunza lugha na kuelewa pia kuiweza kuimudu kuliko kwa mtu mzima.
Swala la communication ni swala la kuhitajika. Kama huna unachoweza kunivutia niwasiliane na wewe, then tusiwasiliane... Ila ukiwa na chochote kitakachofanya tuhitajiane naamini tutawasiliana.. bila kuwa na sababu ya kuwasiliana kujua lugha hiyo ya kizungu ni umbea tu. Maana hakufanikishi lolote.
Mkuu.

Shule wanatumia hicho kiingereza kufundisha kama hujui then tegemea kufeli au ufaulu kwa kukariri then ushindwe kutumia ulichosoma kwa kutumia miaka kibao kukisoma alafu hujui cha kufanya baada yakumaliza zaidi ya kupata ajira.

Huo ni mfano mmoja wapo mdogo tu wa umuhimu wa kiingereza kwa mtu wa kawaida.

That's why nikasema labda English haina umuhimu kama umeplan kujifungia Tanzania tu maisha yako yote. even ukijifungia Tanzania bado utahitaji kutumia English kwenye simu, laptop internet even kuangalia movie nk.
Even jf wanatumia English.

Mpaka hapo utasema kujua English ni kilele na ni umbea tu sababu hakuna wa kuwasiliana nae?

Pia sijasema kujua English ni kufanikiwa bali ni essential kwa mtu anayejitambua kwanini yupo duniani.

Achana na kutumia tu au umuhimu wake bali ni fun kujua lugha zaidi ya moja.
Najifunza kifaransa japo sidhani kama nitakitumia but it's just fun to learn.
Na sio kwamba ni umbea or kelele sababu nobody cares.
Kuongea kiingereza hakukufanyi miraculously smart.. na wala hakukufanyi uwe mvumbuzi..
Well wewe ndio umesema hivyo.
Mimi sijasema kutumia au kuongea kiingereza inakufanya uwe miraculously smart na uwe mvumbuzi. Hapana.

Utasema hivyo hiyo only kama mindset yako inadhani hivyo or kama huwezi au hajui kutumia lugha nyingine.
Or ile inferiority ya africans juu ya vitu wasivyoviweza so watafanya kila njia kufanya kile kitu kiwe si chochote kwao ili kupata justification yao wao kushindwa kufanya kitu hicho.
Ila hakuna cha ajabu hapo.

And they're lucky sijawalaumu wao kushindwa kumudu English bali nimelaumu mfumo sababu msingi ni mbovu na sio kwamba wao hawana akili.
Btw wao kushindwa kumudu English it's not my problem.
I still believe kila mtu anauwezo sawa tatizo ni msingi wa mtu huyo unadetermine huyo mtu atakuwa nani baadae.

Nilichosema ni kwamba kiingereza ni essential sababu ni lugha ya kimataifa.
Kibiashara.
Ushirikiano na mataifa mengine kitechnology nk.
Well even kutobambikiwa mikataba na kuibiwa kizembe.
Hayo ni machache tu.

That's why I said English ni essential kwenye ulimwengu wa sasa na sio kwamba Kiswahili si chochote or hakina umuhimu or kujua kuongea English kunakufanya uwe miraculously smart na mvumbuzi or anything kind of that.

Kiingereza ni essential kwenye ulimwengu wa sasa.
 
Mkuu unataka kusema sasa hivi hatujifunzi Kiswahili?
Na mimi sijasema Kiswahili hakina umuhimu

Simaanishi kujifunza kwa Kiswahili ni kitu kibaya kama ulivyodhani. kama ni hivyo hata masomo tunayosoma siyo yetu vilevile so tuache kutumia masomo or maarifa yao as you said.

Sisi tumecopy tu or tuanzishe masomo yetu then tukijifunza kwa lugha za wengine well that would be strange.

Well if it was that easy kwa muda wote huo uliopita basi leo tungekuwa tayari na bidhaa zetu ambazo zipo nje.

Well mkuu tunaongelea English.
Ambayo mtu anasoma na kujifunza for 6 years na hakuna kitu.

So unataka kusema kiingereza hakina uhitaji au umuhimu Tanzania?

Na mimi sijasema kujifunza lugha ukubwani haiwezekani bali nimesema ni rahisi kwa mtoto mdogo kujifunza lugha na kuelewa pia kuiweza kuimudu kuliko kwa mtu mzima.

Mkuu.

Shule wanatumia hicho kiingereza kufundisha kama hujui then tegemea kufeli au ufaulu kwa kukariri then ushindwe kutumia ulichosoma kwa kutumia miaka kibao kukisoma alafu hujui cha kufanya baada yakumaliza zaidi ya kupata ajira.

Huo ni mfano mmoja wapo mdogo tu wa umuhimu wa kiingereza kwa mtu wa kawaida.

That's why nikasema labda English haina umuhimu kama umeplan kujifungia Tanzania tu maisha yako yote. even ukijifungia Tanzania bado utahitaji kutumia English kwenye simu, laptop internet even kuangalia movie nk.
Even jf wanatumia English.

Mpaka hapo utasema kujua English ni kilele na ni umbea tu sababu hakuna wa kuwasiliana nae?

Pia sijasema kujua English ni kufanikiwa bali ni essential kwa mtu anayejitambua kwanini yupo duniani.

Achana na kutumia tu au umuhimu wake bali ni fun kujua lugha zaidi ya moja.
Najifunza kifaransa japo sidhani kama nitakitumia but it's just fun to learn.
Na sio kwamba ni umbea or kelele sababu nobody cares.

Well wewe ndio umesema hivyo.
Mimi sijasema kutumia au kuongea kiingereza inakufanya uwe miraculously smart na uwe mvumbuzi. Hapana.

Utasema hivyo hiyo only kama mindset yako inadhani hivyo or kama huwezi au hajui kutumia lugha nyingine.
Or ile inferiority ya africans juu ya vitu wasivyoviweza so watafanya kila njia kufanya kile kitu kiwe si chochote kwao ili kupata justification yao wao kushindwa kufanya kitu hicho.
Ila hakuna cha ajabu hapo.

And they're lucky sijawalaumu wao kushindwa kumudu English bali nimelaumu mfumo sababu msingi ni mbovu na sio kwamba wao hawana akili.
Btw wao kushindwa kumudu English it's not my problem.
I still believe kila mtu anauwezo sawa tatizo ni msingi wa mtu huyo unadetermine huyo mtu atakuwa.

Nilichosema ni kwamba kiingereza ni essential sababu ni lugha ya kimataifa.
Kibiashara.
Ushirikiano na mataifa mengine kitechnology nk.
Well even kutobambikiwa mikataba na kuibiwa kizembe.
Hayo ni machache yum

That's why I said English ni essential kwenye ulimwengu wa sasa na sio kwamba Kiswahili si chochote or hakina umuhimu or kujua kuongea English kunakufanya uwe miraculously smart na mvumbuzi or anything kind of that.

Kiingereza ni essential kwenye ulimwengu wa sasa.
Your arguments are kinda 2+2=4..

Kiingereza ni Lugha tuu... Maarifa hayana Kabila dini wala lugha.. wewe ukijua engine inafanyaje kazi ..kwa kifupi umejua... ueleze kwa kijapani kwa kiingereza au Kisukuma unaelezea namna engine inavyofanya kazi periodt.

Kukopa ni swala la kawaida kabisa.. ukienda uingereza wanajifunza juu ya tropical diseases.. kwa sababu gani! Watu wao huenda tropical countries na huenda wakapata maambukizi wawe sio tu tayari kuwahudumia ..lakini sehemu ya maarifa hayo yanapatikana tropical countries of which Uingereza is not.. u can see hata wao wanaimport maarifa so.its not and it has never been an alien idea, to import knowledge.

Kujifunza kwa kiswahili ninamaanisha Watu wazungumze kwa uhuru usio na mipaka wa kimaarifa. Mtu akikuelezea juu ya mji wake, timu yake ya mpira au akiuliza kwa lugha yake ya kiswahili huulizwa kwa urefu na upana na kwa namna huru.. Hii inamfanya mtu kuelewa kwa uharaka na urahisi...na kwa namna inayohusisha mazingira yake..humfanya kukumbuka haraka.

Kuna wachina wanakuja hapa kila siku, na uwezo wao wa kuongea kiswahili ni sifuri na uwezo wao wa kuzungumza kiingereza ni zero.. ila wanakuja na wanatalii na kurudi kwao... Maswala ya wakalimani hayajaanza leo na hayataisha leo.

Kama taifa huwezi kuassimilate the entire population for the need to stay connected to the world.. halafu inakupa nn!? Baada ya kuwa connected!?

If you name 3nations that has become successful kwa kuendekeza mapokeo nitakuelewa... Maana I can guarantee you there is none.

Tujifunze kusimama wenyewe... Kabla ya kuruka lazima uagane na nyonga... Its never easy for the early ones.. but it's worthy it for everyone in the long run...

knowledge is simply contextualized information. Wewe kujua A definition of kinetic energy na huwezi kuiweka into context to solve your problem or enhance your environment..is nothing but an information au umbea... And probably you shouldn't be receiving such info. Its a waste of time.
 
Kuna Technical English and Fluency English. Watu wanao soma sayansi wanatumia Technical English sana. Hivyo ukiwaingiza kwenye fluency hawatakuelewa. na wewe wakiungiza kwenye technical hutowaelewa. Watu wanaosoma arts ndio wanatumia fluency English, sana ila nao technical English holaaaa
Unajua maana ya unachookiita "technical English" ?

Technical language/English ipo kwenye kila profession(area of study). Mwalimu ana technical language yake ambapo akiitumia kwenye kazi zake kama wewe ni daktari hutamuelewa, vivyo hivyo kwa Mwanasheria, Mwanafalsafa, Mwanatheolojia, Mwanaanthropolojia, Mwanasosholojia, Mwanahistoria, Mwanajiografia, Mwanasayansi ya Siasa na Utawala. Nk. Kwa hiyo kusoma sayansi siyo kigezo cha kutokujua lugha ya kawaida, lskini pia kujua lugha ya kawaida siyo ndo usomi.
 
Tatizo unadhani unaishi sayari ambayo wengine hawawezi kufika.

Kwahiyo hapo wewe unadhani hiyo ni "rocket science" ambayo inanishangaza mimi hadi nikuone wewe ni mfano wa Isaac Newton au Albert Einstein?
Ambao awaja somea fani hizo za science ni ngumu kuelewa....
 
Kuna Technical English and Fluency English. Watu wanao soma sayansi wanatumia Technical English sana. Hivyo ukiwaingiza kwenye fluency hawatakuelewa. na wewe wakiungiza kwenye technical hutowaelewa. Watu wanaosoma arts ndio wanatumia fluency English, sana ila nao technical English holaaaa
Usijifiche kwenye kichaka Cha sayansi Kama jpm ambaye lazima aanze na kudefine catalyst anapotaka kuongea ngeli
 
Inakuwaje msomi ama graduate wa chuo kikuu aliespend miaka kama minne chuo kikuu na ana degree, masomo yake yote ni kiingereza tupu anafanikiwa kugraduate, lakini ukimwongelesha kiingereza haelewi

Akiamua yeye sasa Hata kuandika ujumbe kwa kiingereza anashusha broken ya hatari hadI unashangaa? Wengine wamefanikiwa kupata kazi kabisa unakuta bonge la engineer from ardhi university English mbovu mkichat yuko kwenye bonge la kampuni

Mbaya zaidi graduate kamaliza chuo few days anaambiwa andika barua ya kuomba internship anaweweseka..Mara nipe google..maelezo yake binafsi yanamshinda kujieleza kwa kiingereza anatafuta CV za wengine akopi.sasa najiuliza huyu mtu kafanikiwa kumaliza successful report zake aliandikaje?kama kiingereza cha kuandika anababaika presentation alihudhuriaje akapata marks
Research zake?

Au ndo wale wa kukariri? Sawa basi hata kama kukariri unashindwa kujifunzia hapo mpangilio wa grammar.

Boss mzima ananitext "is you coming or no"
Kiingereza nacho ni kipaji?
😆😆 Hao ndio ma boss wenu ?
 
Uwezo was kusema lugha ya kigeni Sio kigezo cha kupimia intelligence ya binadamu yeyote Yule,lakini hili dhana imetoka Kwa Kauli moja kuu "ask me a question in Latin and I will answer in Greek",Zama zile when most academic literature was in Greek and Latin,so if you were intelligence enough academic wise you were fluent in the two languages.
Sisi kinachotusumbua Ni mfumo wa masomo ulioletwa Na wakoloni,lazima tuige Mambo Yao,angalia most countries in Asia,Wana vitabu Kwa lugha za kwao,Sisi mbona Hatuna vitabu vya physics,chemistry,Na masomo mengine?,if we had copies of such books in our own languages,then unaweza Ona ya kwamba kukolea katika lugha ya kigeni Sio ishara ya kuwa mwepesi wa akili,Hawa wahandisi wa kichina tulio nao hapa east Africa ata kizungu hawakijui but their work is superb.
Mkoloni aliweza kutafsri vitabu vya kidini akashidwa kutafsri vya sayansi?jiulize mbona?
Mtoa Mada kasema the language of instruction was English for the said workers,kama Zaidi ya miaka Tano umefundishwa Kwa lugha ya kiingereza but huwezi make a coherent conversation,then ata ulichokisoma hujui au hukuelewa,Na hapo unafaa ulaumiwe wewe mwenyewe Kwa kuwa you are not realistic.

Lugha isiwe kipimo cha intelligence,maana Kuna wenye hawaongei Kwa mdomo but wanatumia Ishara,(sign language),Na wako Kwa kila field katika ujenzi wa Taifa .
 
Kuna Technical English and General Fluency English. Watu wanao soma sayansi wanatumia Technical English sana. Hivyo ukiwaingiza kwenye General fluency hawatakuelewa. na wewe wakiungiza kwenye technical hutowaelewa. Watu wanaosoma arts ndio wanatumia General fluency English, sana ila nao technical English holaaaa

Unachojaribu kusema hapa Ni kwamba,kama unasoma Kwa mfano Engineering , Mwalimu akiingia darasani yeye huanza kukariri principles,Na kutaja just technical terms without the necessary semantics and syntaxes of the language of instruction?let's stop justifying certain issues in such a fashion,kama ungesema most engineers are not good in expressing certain issues or in maybe chitchat ningekubali,but falling in semantics and the syntax of any language that you communicate in is wrong.
Ukitaka kumtumia mtu ujumbe you don't send them the letters of the alphabet or words from the dictionary,no,you compose a coherent message.
 
tofautisha hapa mtu anayesoma BA ya History and Development Studies na mtu anayesoma BSc Mathematics and Statistics ni yupi anatumia English language sana.
 
Umetunga uongo mtupu kutetea mauzauza. Maana ya fluency English ni uwezo wa kuongea na kuandika Kingereza sahihi, kilichonyooka kwa urahisi. Kila mtu aliyesoma na kumaliza chuo kwa Kingereza anapaswa awe fluent bila kujali amesoma sayansi, biashara, arts
Sasa hao waliyomaliza chuo halafu hawako fluent,unaweza kusema ni nini tatizo?
 
tofautisha hapa mtu anayesoma BA ya History and Development Studies na mtu anayesoma BSc Mathematics and Statistics ni yupi anatumia English language sana.
Ile BA haina technical terms?,Ile Bsc.Maths wantumia numbers Na signs Pekee,we are talking of coherent and lucid thinker with years of formal learning and with a well defined language of instruction.
 
Back
Top Bottom