Wasomi na kiingereza

Wasomi na kiingereza

Umetunga uongo mtupu kutetea mauzauza. Maana ya fluency English ni uwezo wa kuongea na kuandika Kingereza sahihi, kilichonyooka kwa urahisi. Kila mtu aliyesoma na kumaliza chuo kwa Kingereza anapaswa awe fluent bila kujali amesoma sayansi, biashara, arts
Kuna Technical English and Fluency English. Watu wanao soma sayansi wanatumia Technical English sana. Hivyo ukiwaingiza kwenye fluency hawatakuelewa. na wewe wakiungiza kwenye technical hutowaelewa. Watu wanaosoma arts ndio wanatumia fluency English, sana ila nao technical English holaaaa
 
I can predict; majority of people you are talking about here are men

Wanaume are better at Maths and Science

And us women are good at language.

It is what it is,

Engineering field is dominated by men,

giving them language tasks ni kuwaonea,
I mentioned engineering field as an example
There are doctors,accountants, marketers and so many more
 
Kiungereza sio kachumbari Tanzania, ni lugha ya kufundishia ambayo kwa mtu aliyefika angalau kiwango cha digree atakuwa ameitumia kwa miaka 10. Kama kilikushinda miaka hiyo yote ulikuwa unasomaje na utawezeje kazini? Hembu tumia akili zako.
lugha utajifunza tuu hata nje ya Carrier yako... issue ni kichwani zimo!!?, ulichofundishwa umekielewa!?... hicho kiingereza ni kama kachumbari tuu...
 
Kwani kiingereza ndio nini wewe jamaaa

Alafu kuna uhusiano gani kati ya mhitimu wa chuo na lugha ya kiingereza.

Wewe hujui hata Lectures wenyewe huko chuo sometimes hutumia kiswahili

Yaani upo upo tu.
 
Umetunga uongo mtupu kutetea mauzauza. Maana ya fluency English ni uwezo wa kuongea na kuandika Kingereza sahihi, kilichonyooka kwa urahisi. Kila mtu aliyesoma na kumaliza chuo kwa Kingereza anapaswa awe fluent bila kujali amesoma sayansi, biashara, arts
Kiingereza ni kujua kanuni ya S+V+O huku ukiweza kuzijua vema aina kuu mbili za uumbaji sentensi kutokana na nyakati. Pia Ukishakuwa na uelewa wa maneno magumu 1000 tu ya kiingereza, tayani umefuzu.
 
Inakuwaje msomi ama graduate wa chuo kikuu aliespend miaka kama minne chuo kikuu na ana degree,masomo yake yote ni kiingereza tupu anafanikiwa kugraduate, lakini ukimwongelesha kiingereza haelewi

Akiamua yeye sasa Hata kuandika ujumbe kwa kiingereza anashusha broken ya hatari hadI unashangaa?
Wengine wamefanikiwa kupata kazi kabisa unakuta bonge la engineer from ardhi university English mbovu mkichat yuko kwenye bonge la kampuni

Mbaya zaidi graduate kamaliza chuo few days anaambiwa andika barua ya kuomba internship anaweweseka..Mara nipe google..maelezo yake binafsi yanamshinda kujieleza kwa kiingereza anatafuta CV za wengine akopi.sasa najiuliza huyu mtu kafanikiwa kumaliza successful report zake aliandikaje?kama kiingereza cha kuandika anababaika presentation alihudhuriaje akapata marks
Research zake?

Au ndo wale wa kukariri? Sawa basi hata kama kukariri unashindwa kujifunzia hapo mpangilio wa grammar.

Boss mzima ananitext "is you coming or no"
Kiingereza nacho ni kipaji?
Shida inaanzia chini sio juu, shule ya msingi ni miaka 7, na kingereza tunasika kama somo na tunatoka kapa. Lakini english course miezi 3 ukiweza si haba utaelewa na kuzungumza kiasi.

Swali kwanini ufundishaji wa kingereza usiwe kama wa kozi za mtaani za hiyo lugha hasa kwa shule za msingi?!!
 
Inakuwaje msomi ama graduate wa chuo kikuu aliespend miaka kama minne chuo kikuu na ana degree,masomo yake yote ni kiingereza tupu anafanikiwa kugraduate, lakini ukimwongelesha kiingereza haelewi

Akiamua yeye sasa Hata kuandika ujumbe kwa kiingereza anashusha broken ya hatari hadI unashangaa?
Wengine wamefanikiwa kupata kazi kabisa unakuta bonge la engineer from ardhi university English mbovu mkichat yuko kwenye bonge la kampuni

Mbaya zaidi graduate kamaliza chuo few days anaambiwa andika barua ya kuomba internship anaweweseka..Mara nipe google..maelezo yake binafsi yanamshinda kujieleza kwa kiingereza anatafuta CV za wengine akopi.sasa najiuliza huyu mtu kafanikiwa kumaliza successful report zake aliandikaje?kama kiingereza cha kuandika anababaika presentation alihudhuriaje akapata marks
Research zake?

Au ndo wale wa kukariri? Sawa basi hata kama kukariri unashindwa kujifunzia hapo mpangilio wa grammar.

Boss mzima ananitext "is you coming or no"
Kiingereza nacho ni kipaji?
Hebu njoo PM basi unitongoze kwa Kiingereza ili tujue uwezo wako wa kukiandika!
 
27 Sept 2019

BAKITA : Tanzania ina wakalimani 9 pekee

Huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya watafsiri, imebainika kwamba Tanzania ina wakalimani 9 pekee. Hii ni kwa mujibu wa kauli ya Katibu Mtendani wa Baraza la Kiswahili la Taifa, BAKITA. Hiki kikundi kinajumuisha wakalimani wa Kiswahili kwenda Kireno, Kiswahili kwenda Kifaransa, Kiswahili kwenda Kiingereza.

Katibu Mkuu wa BAKITA anasema kigezo hiki cha ukalimani kinaonesha jinsi waTanzania tunasoma Kiswahili bila kumudu lugha ya Kiingereza ingawa ni mojawapo ya lugha rasmi nchini Tanzania.

Hata hivi karibuni walitangaza kazi ya Mhariri Mwandamizi na muombaji awe na vigezo vya kumudu Kiswahili na Kiingereza lakini nafasi hiyo ilibakiwa wazi bila mTanzania kujitokeza kwa kuwa hakuna waTanzania wakutosha wanaomudu lugha mbili za kiSwahili na Kiingereza.

Source : Durusu Kiswahili
 
IQ ya mtu haitegemeani na KIINGEREZA. Jifunze lugha inayotumika katika mazingira yako kiukamilifu hapo utafanikiwa.

ZIMBABWE, KENYA, MALAWI NA ZAMBIA WANAONGEA KIINGEREZA KIZURI ILA NI MASKINI WA KUTUPWA!
You mean English can make some people poor
 
Tanzania fifth term general election took place on 28th October 2020
The contestants were Honorable john pombe magufuli from the ruling party cham cha mapinduzi..and honorable tundu Antipas lissu from from the opposition party (chadema).
According to few Tanzanian citizens interviewed,the election was considered as "unfair"

At least I can try
Few Tanzanian citizens

Huu ndio uwezo wako wa Kuandika, Wewe huna uwezo wa kuongea Kiingereza, Kwa uandishi huu umesoma shule za kata

Unatafsiri kiswahili kwenda Kiingereza sio sahihi

ukisema Mtanzania au Raia wa Tanzania hakuna utofauti

ukisema huyu mkenya au Raia wa Kenya hakuna utofauti

wewe ulisikia wapi "Noun na Noun" zikafuatana

Mimi kwa kuishi kwangu kote nje lugha ya Kiingereza inapishana kwa kila mtu

Kuna wazungu wa Irish wanatamka lugha ya Kiingereza kama neno linavyoandikwa kwa mfano Food wao wanasema Foooood, Huku watu wa mjini London wanasema Fud

Hata kiswahili hakuna anayeongea kwa ufasaha hapa Tanzania, Wakenya wanatuona sisi hatuna uwezo wa kufundisha kiswahili kwa wageni au mataifa na vyuo vikubwa kwani hatujui kiswahili fasaha cha darasani

Je wewe lugha umefundishwa na mtu wa nchi gani Australia, Ireland, America au Britain

Wazungu kutoka Britain nao hawaongei lugha sahihi

Marehamu Benjamin Mkapa hakuwa mzungu lakini alikuwa anaongea lugha kwa ufasaha kwa kufuata kanuni za muundo na miundo kuliko wazungu

Mfuatilie Ben Mkapa ndio unaweza ukajifunza lugha toka kwake

Wazungu wenyewe wanaongea lugha za mitaani mfano hiyo is you coming ni kawaida sana ukiwa London kama sisi neno mambo
 
4 May 2020

Tukigombania Kiswahili, tutapokonywa – Waziri Harrison Mwakyembe

Katika kukigombania Kiswahili, tusije tukafanana na tajiri aliyeacha urithi mkubwa lakini wanawe wakabakia mafukara fuke kwa sababu ya tamaa. Sikiliza simulizi la mkwasi huyo alivyolitongoa Waziri Harrison Mwakyembe. Haihusu kujifukiza.

Source : Durusu Kiswahili
 
Back
Top Bottom