nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,689
100%,wewe je?
So primitive....
100%,wewe je?
mkuu raha sana kuzaliwa mwanaume.
Tunagombaniwa na wanawake kama kama chakula ethiopia
Mnagombaniwa ama mnatugombania?
kweli nimeamin ndo mana kuna wanaume na wavulana.....
kwa hiyo niwe na pes yangu niliyotafuta kwa jasho niogope kuspend the way i like cs sijaolewe
walioipiga deki na wana waume zao shida nni??
mwaka huu mtatokwa povu sanaa hatuolewi ngoooooooooooo
kisa maneno yako hujatuleta jf
tutaolewwa pind tukiamua na kuona tupo tayari
Si kamejificha nyuma ya pu zakooo lazima mpate dawa.....nikianzisha post za kuwahusu mbona waga mnashambulia lazima niwe mkali coz ilikua kaz yenu kusema wanawake jf wabaya kuja kuona baadhi ya picha zenu yani adi mnatia vichefuchefu kumbe keyboard inawafichia mengi sanaa afu kujifanya mnapondeani halali yenu kuponda si amjitambui
Kyoma ni kweli kabisa!
Wapambe siku zote hawawasaidii viongozi mawazo mazuri hata kidogo! Lakini cha ajabu viongozi wengi wa Afrika huongoza nchi kwa MAWAZO YA wanaowaunguka!
hata Kamuzu Banda alidanganywa na hao hao kuwa mzee mabo safi huku mambo hayakuwa safi! si akaingia kichwa kichwa katika Uchanguzi na kupigwa chini!
VIONGOZI WENGI HUJUA KUWA WAPAMBE WALIKUWA WANAWAONGOPEA WHILE IT IS TOO LATE!
KAMA BMW NA WAPAMBE WAKE!
kaka acha kujipendekeza.. hiyo nimemjibu badili tabia. nishakwambia mapema huwa sijadiliani na mapaka shume kama wewe usiejielewa usiejua hata kuandika. Sina muda mchafu wa kupoteza kwako... na kuprove hilo sitokujibu tena posts zako zitakazofatia.
Mkiolewa wote michepuko tutapata wap?
Kama wewe mchepuko loh
Mgomviiiiiiiiiii......
kweli wewe ni mchepuko wangu
Ahahahahh, nimechekaje..... Duh acha nilale, JF watu mna vituko balaa
mi nikajua mwenzetu tayari kitambo ushaingia ndoanoni
hahahahahhhhaaaa!!! tangu tukatae matongozo yao hatupumui.
Aya nataka hela
kwenye kwenda muache aende, ila hapo kwenye kukojoa naomba nimsaidie halafu na wewe usiende mbali...
Tena inakera sana...
Sijui ni utoto au ni nini
Jf imepoteza muelekeo