Bi dentamol
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,038
- 2,190
tatizo tunawaomba huko PM, mnatutolea nje.
kwa hiyo kutushikia bango ndo dawa ya kufanya tuwape?
tatizo tunawaomba huko PM, mnatutolea nje.
We ni wareware wafupi, lazima ni mfupiii!, kwenye 'kila kona' ya mwili wako
Mwaka huu wetu....
Ila JF hatutoki ng'o....
Katu'sambazeeeeee!!!!!
Hahaaaa hao ni wakuwapotezea hawajielew hata kidogo
Shindwa pepo mchafu katika jina la Yesu Kristo. Sina cha mume wala boyfriend wa watu, ndo maana namsubiri wa ubavu wangu loooh
Wakuoa wako wapi sasa
Hahahahaha kumbe wenye magari wote na wanaojichubua hawajaolewa? Yani mtu nitafute pesa kwa jasho langu afu nisiitumie navyoweza kisa itaonekana nataka kukubalika kwa watu kwa sababu sijaolewa? Mnataka tusioolewa tuwe tunatembea kwa miguu tukilia njia nzima na kudondoka kwa presha za kutokuolewa. Please tuacheni tupumue jamani khaaaa
ivi 45yrs ina maana gani tena?
acha kuchagua malaika hutapata ng'o maana wote ni binadamu chini ya jua
hahahaha!!! bora umenisaidia. ananichosha tu hapa. mbishi kama shipa.
mkuu nashukuru kwa ujumbe murua watakuwa wamepata somo
Amina...! We si unataka kuonja ya mzungu.Shindwa pepo mchafu katika jina la Yesu Kristo. Sina cha mume wala boyfriend wa watu, ndo maana namsubiri wa ubavu wangu loooh
We mwenyewe hapo ulipo unahaha kutafuta mke wa kuoa....deny it!!!
Tunawafahamu sana tabia zenu nyie msikuwa na wa kuwaliwaza, kwa kupiga story za wanawake na kuwakandia hamjambo....ilhali nyie kwenye maisha yenu ni full nyongo.
Go get yourself a wife.....muachege ushanshuda wa vijiweni. Alaaaaa
bro mbona mbishi hivo? nakwambia umenifananisha.
hata kama kwel yeye inamuhusu nn anakufatilia
unakula kwake??? wanaume wengine midomoo juu kama matalumbeta.. mxiuuuux7
inaoneka tunawanyima ucngiz, kula hamli kwa
ajil yetu nabado mpaka mshindwe kuhudumia ndoa zenu kwa kutuwaza sisi.....
Tuwaseme tu..! Jf chaka la wezi waume za watu.