Wasioolewa na kujiamini kupitia vitu

Wasioolewa na kujiamini kupitia vitu

Ni hivi usipojua kudeal na stress za ndoa lazima uzeeke. Unataka hautaki sasa hivi ndoa nyingi ni ndoano. Sasa ukiibeba ndoa kichwani ukawa unatembea nayo lazima ikuchakaze. Na sumu ya kupendeza ni stress ndio maana wadada single wanapendeza.
Labda roho imekuuma kwa sababu na magari wanaendesha, sio magari tu pia na nyumba wanazo ila kwa sababu hawawezi kutembea nazo ukaziona. Pia wana elimu ya kuwatosha na mambo kadha wa kadha. Unajua kwa nini wanaweza kufanya yote haya kwa sababu wana uhuru wa kutosha na wala sio kwa sababu hawajaolewa.

Kuna vitu ambavyo huwezi kufanya baada ya kuolewa. Sio kwamba wanawake ambao wako kwenye ndoa hawana uwezo wa kufanya yote haya ila kwa sababu wanaume wengi ni selfish. Ili usimfunike lazima akudumaze. So uwezo wanao ila ili ndoa iweze kuendelea inabidi wakubali kuwa mazuzu.

So, dadaz nawapa big up sana. Msione thread ni nyingi za kuwakatisha tamaa ni kwa sababu people apreciate you very much but they can't tell. You're the threat, dont give up.

Likes laki 8! U said it correctly! Shovers kunyweni limao la unga!
 
Likes laki 8! U said it correctly! Shovers kunyweni limao la unga!

Mnazidi kujifariji, lakini ukweli uko wazi kabisa...mwanamke asieolewa always ni full stress na pia huwa ni jamvi la wageni!
 
Ukweli ni walio wengi bado wana stress sana vile wanajiona wana kila kitu walichotaka lakini masela wanaishia kula papuchi kwa mikopo na kuingia mitini.

Ukiona wewe haupo, basi Jirani yako anaweza kuwepo.. Ila wengi wana stress sana
 
kweli nimeamin ndo mana kuna wanaume na wavulana.....

kwa hiyo niwe na pes yangu niliyotafuta kwa jasho niogope kuspend the way i like cs sijaolewe

walioipiga deki na wana waume zao shida nni??

mwaka huu mtatokwa povu sanaa hatuolewi ngoooooooooooo
kisa maneno yako hujatuleta jf

tutaolewwa pind tukiamua na kuona tupo tayari
Uliisha olewa? au bado?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom