Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,867
- 110,240
Umemaliza????? kojoa uende fiesta
kwenye kwenda muache aende, ila hapo kwenye kukojoa naomba nimsaidie halafu na wewe usiende mbali...
Umemaliza????? kojoa uende fiesta
Tuwaseme tu..! Jf chaka la wezi waume za watu.
Kwanini hamuolewi wapinga kristo wakubwa tuwaseme tuuuh! Mumekimbia mtaani mkaja jf mlidhani hatutafika?
Amina bibi, nimepokea neno lako la unabii. Mume nitaletewa tu na Mungu, but kwa muda huu lemme work my as.s off. Tusiendeshe magari hadi tusubiri tuolewe ndo waume zetu watununulie jamani?? loooh hapana. Maisha lazima yaendelee na ndoto lazima zitimizwe with or without ndoa.
Kuna ukweli kwamba,
wasioolewa sasa hivi wanatumia nguvu nyingi kununua magari,kujichubua,na
kujiweka feki feki kwa kuvaa nywele bandia,kucha bandia,nyusi bandia,
Yote ni kutafuta 'kujiamini'mbele za watu,wakati mioyoni ni wapweke
sana.Hali hii walioolewa hawana!!
Muda mwingi wako ktk mitandao ya kijamii wakijaribu kuendeeleza
ushawishi wao kwa wanawake wengine kuishi bila kuolewa.
Kila mtu ana uhuru wa kuishi kwa jinsi apendavyo,lakini uhalisia
hautabadirika.
wenu,
mtu wa watu
Hahahaaaaa tamu kweli hii
mbona watu wanakuwa wakali? Kwani hampendi kuolewa akati muda ushafka?
Msiwe wakali basi oleweni wakae kimya.
Hahahaaaaa tamu kweli hii mbona watu wanakuwa wakali? Kwani hampendi kuolewa akati muda ushafka? Msiwe wakali basi oleweni wakae kimya.
Mnavyojifanya kuchachamaa tutawasrma tuuuh..."
Limekupata la gizani, mbona wewe uliwahi kunizuga umeolewa?
jaman leten topic za maana kila siku wanawake?
umenifananisha bro.
Utasali sana, mwachie mume wa mwenzio ndiyo upewe wako.
ni dhahiri wewe huna dem.! Una hasira
Hao waume za Watu wanaoibiwa ni vifurushi?
Wewe hapa jf ulitabgaza unataka mchumba...! Mumekimbia mtaani mkajificha huku.
bro mbona mbishi hivo? nakwambia umenifananisha.
inaoneka tunawanyima ucngiz, kula hamli kwa
ajil yetu nabado mpaka mshindwe kuhudumia ndoa zenu kwa kutuwaza sisi.....
hata kama kwel yeye inamuhusu nn anakufatilia
unakula kwake??? wanaume wengine midomoo juu kama matalumbeta.. mxiuuuux7