M2WAWA2
JF-Expert Member
- Aug 15, 2014
- 3,284
- 5,630
Kuna ukweli kwamba.
wasioolewa sasa hivi wanatumia nguvu nyingi kununua magari, kujichubua na kujiweka feki feki kwa kuvaa nywele bandia, kucha bandia, nyusi bandia.
Yote ni kutafuta 'kujiamini'mbele za watu, wakati mioyoni ni wapweke sana.
Hali hii walioolewa hawana.
Muda mwingi hawa ambao hawajaolewa wako katika mitandao ya kijamii wakijaribu kuendeleza ushawishi wao kwa wanawake wengine kuishi bila kuolewa.
Kila mtu ana uhuru wa kuishi kwa jinsi apendavyo, lakini uhalisia hautabadilika.
Mtu wa watu