Wasioolewa na kujiamini kupitia vitu

Wasioolewa na kujiamini kupitia vitu

Kuna ukweli kwamba.
wasioolewa sasa hivi wanatumia nguvu nyingi kununua magari, kujichubua na kujiweka feki feki kwa kuvaa nywele bandia, kucha bandia, nyusi bandia.

Yote ni kutafuta 'kujiamini'mbele za watu, wakati mioyoni ni wapweke sana.

Hali hii walioolewa hawana.

Muda mwingi hawa ambao hawajaolewa wako katika mitandao ya kijamii wakijaribu kuendeleza ushawishi wao kwa wanawake wengine kuishi bila kuolewa.
Kila mtu ana uhuru wa kuishi kwa jinsi apendavyo, lakini uhalisia hautabadilika.

Mtu wa watu
Mkuu ungeweka mada ya inayohusu vibamia,pesa,na wanaume bahili wangechangia wengi sana.Kwa kua umetupa jiwe gizani ndo maana wanaochangia ni ME kwa asilimia kubwa.Angalizo'wanawake ambao hawajaolewa huwa wakali sana,hata ukimwambia jambo zuri anaona kama umemuonea'.Angalia comments utangundua yupi hajaolewa huku umri ukiwa umeenda Matiti.Nawasilisha.
 
Limekupata la kichwa chunga domo lako linakufunia unajionesha unavyoteseka na inferiority complex na ukufe ulitumia vibaya ujana wako taya ziko revansi utakoma.

Wa kukoma niwe mie....what a nice dream!!!! Anza kwanza wewe kukoma uma.laya wako kama ulivyokoma kunyonya kwenye titi la maza ako alafu ndo na wengine wafuatie!

Kama domo langu lakukera kwa uchafu please...kindly supply me with color paints ili niweze kuling'arisha maana kulifunga haitowezekana coz silipii VAT atii!

Back to the term Inferiority Complex.....basi mwenzangu pole kwa sababu inaonekana ndicho chanzo cha tatizo lako maana haiingii akilini akilini mwanaume mzima kuona wanawake/dada zako wanaishi maisha yao to the fullest alafu wewe kishipa cha shingo kikuchachamae kama jivi la kande....inahusuuuuu????
 
Vigubegube mnamidomo michafuuuu...! dada zangu muwe nyie ma sisters thy r in married hawakumiss use usichana wao kama wewe jamvi la njia panda...! Kizuri cha jiuza kibaya ndiyo cha jitembeza wengi wenu humu wenye midomo mumekamaa kama viberenge! Kama unajiamini sema nikupe offer ila ruksa kukupiga picha na mimi upige ukishidwa kukana kauli zako nikuweke public...! Goon girl utakoma mashavu km baboon tired mbaya harddesire mkubwa.
 
Umeona eeeh, wanataka wakitongoa ukubali. Cha ajabu ukikubali wanaleta thread, ukikaataa wanaleta threa. Mbona hawajielewi???

hawana jema. dawa ni kuwapotezea tu kama nilivyompotezea huyo mbwiga hapo.
yaani humu jf wanaume wa maana wapo wachache sana wengine wote ni kama wanawake wenzetu tu kwa comments zao zilivo.
 
  • Thanks
Reactions: kui
We kweli cheap kama utumboo! Maana ata maana ya tumboo halichagui kinachopita mdomoni lenyewe linatunza! Umekosea njia kweli mi ndiyo KATASAN'KAZA bwanyenye ukibahatika kuniona utapenda mimi kuanzia sura make believe i can sell! Poozi utapenda naamini! Cash siyo sana but it sustain my staffs, projected man ninadharau kiasi critical man with defined standings sihami kirahisi njia kuu kwa mtu mwenye ushawishi ovyo km tumboroo! Zaidi nawapenda sana wote mlio olewa na ambao hamjaolewa ila mnatamani kuolewa alwaya i pray for you mkapate siku moja.

Na bado mtaropoka saaanaa!!
Haya tunasubiri utuambie kuwa chupi zako unaagiza Uswisi za Bongo huvai zimechakachuliwa na mchina!!
Heheheee.....people bhana!
 
Last edited by a moderator:

Kwenda huko silambiga magharasa mimi....! Eti Avemaria hilo jina utakuwa umekodi kuondolea nuksi, unakera km mavi ya masika. Hate youuu mburula mkubwa kweli tena nipotezee bastardized woman.
 
Last edited by a moderator:
Vigubegube mnamidomo michafuuuu...! dada zangu muwe nyie ma sisters thy r in married hawakumiss use usichana wao kama wewe jamvi la njia panda...! Kizuri cha jiuza kibaya ndiyo cha jitembeza wengi wenu humu wenye midomo mumekamaa kama viberenge! Kama unajiamini sema nikupe offer ila ruksa kukupiga picha na mimi upige ukishidwa kukana kauli zako nikuweke public...! Goon girl utakoma mashavu km baboon tired mbaya harddesire mkubwa.

Hahah your sisters thy r in married....dah umetisha jentomani, mwanzoni nilidhani umechapia kumbe sio!

Btw.....ndo nishaumis use sasa ujana na maisha mwemweleee kazi kwako we kibuzi malika utabwabwaja saaana and it won't change a thing....na maisha lazima yasonge.

Haaa....eti unipe offer....kajambeeeeee!!! Its like to be a gold digger to an opportunist.
Hata hivyo.....kwani wewe kutaka kuonesha sura yako ni mpaka upange private meeting?? Tena ulinganishe na sura yangu....we si mwanaume wewe au sote twapaka shedo??!!! Mazungumzo yamefanyika hapa kwa ivo weka hapahapa picha yako uthaminishwe.....mi mwenzako najulikana atii as situmiagi picha zisokuwa zangu!
 
Ebu tupia hapa tuone! Nika peeh hadharani gharasa weee kama miguu yote c ya kushotooo kama mgonjwa wa polio.
 
Na bado mtaropoka saaanaa!!
Haya tunasubiri utuambie kuwa chupi zako unaagiza Uswisi za Bongo huvai zimechakachuliwa na mchina!!
Heheheee.....people bhana!
hahahahahhaha!!! mtu wa hivo dawa ni kumlia ganzi. lazma ujue mtu unaejibizana nae ni wa aina gani. huyu mtu ana stress za kiuchumi na za kimahusiano. hivyo basi naombeni tu mmuache jamani asije akajinyonga ikaonekana ni cyberbullying bure.
hebu soma hizo links ujionee.
https://www.jamiiforums.com/nafasi-...32-msaada-nitafanya-nini-jamani-kujiokoa.html
https://www.jamiiforums.com/love-co...baada-ya-kusearch-muda-wa-mwaka-mmoja-jf.html
https://www.jamiiforums.com/love-co...y-please-call-at-heart-teens-not-allowed.html
https://www.jamiiforums.com/love-connect/616084-sasa-basi-natangaza-nia-ya-kuacha-ubachelor.html.
muacheni jamani yasijetokea ya betty.
 
Ebu tupia hapa tuone! Nika peeh hadharani gharasa weee kama miguu yote c ya kushotooo kama mgonjwa wa polio.

Ebu acha kunichosha ungekuwa unafikia utarawanda sijui ingekuwaje kamegwe na wenye nguvu za mamba my shipdodo not much used! Niacheee unanikwaza undergradual am not yr targets.
 
mmmmmmh aisee unajuana na avemaria personally?

Tangu Jana mmmh
 
Wewe kweli huna aibu kama ushuzi wa ugenini for what qualities unazo mpaka nijipendeze mfuga kuku tena wa kisasa! Squirrel wa mjini usiyejua ata kukwea miti yenye matunda! Tena komea hapo kogobore mkubwa weeh....! Mnyuuuuuu.... Wahead.

Are you sure U ME?!, not in this kind of language...pole naona unakimbizana na KE kufatilia ME waku Meeeh!
 
hahahahahhaha!!! mtu wa hivo dawa ni kumlia ganzi. lazma ujue mtu unaejibizana nae ni wa aina gani. huyu mtu ana stress za kiuchumi na za kimahusiano. hivyo basi naombeni tu mmuache jamani asije akajinyonga ikaonekana ni cyberbullying bure.
hebu soma hizo links ujionee.
https://www.jamiiforums.com/nafasi-...32-msaada-nitafanya-nini-jamani-kujiokoa.html
https://www.jamiiforums.com/love-co...baada-ya-kusearch-muda-wa-mwaka-mmoja-jf.html
https://www.jamiiforums.com/love-co...y-please-call-at-heart-teens-not-allowed.html
https://www.jamiiforums.com/love-connect/616084-sasa-basi-natangaza-nia-ya-kuacha-ubachelor.html.
muacheni jamani yasijetokea ya betty.

Yani mtaji wa laki 5 ndio unampa jeuri ya kutukana watu au amechanganyikiwa na maisha?
 
Mkuu ungeweka mada ya inayohusu vibamia,pesa,na wanaume bahili wangechangia wengi sana.Kwa kua umetupa jiwe gizani ndo maana wanaochangia ni ME kwa asilimia kubwa.Angalizo'wanawake ambao hawajaolewa huwa wakali sana,hata ukimwambia jambo zuri anaona kama umemuonea'.Angalia comments utangundua yupi hajaolewa huku umri ukiwa umeenda Matiti.Nawasilisha.

Ukisikia ukweli ni sumu basi hu ndio uthibitisho
 
Wa kukoma niwe mie....what a nice dream!!!! Anza kwanza wewe kukoma uma.laya wako kama ulivyokoma kunyonya kwenye titi la maza ako alafu ndo na wengine wafuatie!

Kama domo langu lakukera kwa uchafu please...kindly supply me with color paints ili niweze kuling'arisha maana kulifunga haitowezekana coz silipii VAT atii!

Back to the term Inferiority Complex.....basi mwenzangu pole kwa sababu inaonekana ndicho chanzo cha tatizo lako maana haiingii akilini akilini mwanaume mzima kuona wanawake/dada zako wanaishi maisha yao to the fullest alafu wewe kishipa cha shingo kikuchachamae kama jivi la kande....inahusuuuuu????

Gaaal!, shikamoo!, that last para is the nail to his coffin, ko!, ko!, ko!

RIP KATAKA ASS!
 
wa kukoma niwe mie....what a nice dream!!!! Anza kwanza wewe kukoma uma.laya wako kama ulivyokoma kunyonya kwenye titi la maza ako alafu ndo na wengine wafuatie!

Kama domo langu lakukera kwa uchafu please...kindly supply me with color paints ili niweze kuling'arisha maana kulifunga haitowezekana coz silipii vat atii!

Back to the term inferiority complex.....basi mwenzangu pole kwa sababu inaonekana ndicho chanzo cha tatizo lako maana haiingii akilini akilini mwanaume mzima kuona wanawake/dada zako wanaishi maisha yao to the fullest alafu wewe kishipa cha shingo kikuchachamae kama jivi la kande....inahusuuuuu????

inaonekana single ladies kwa matusi mnaongoza pia,
 
Yani mtaji wa laki 5 ndio unampa jeuri ya kutukana watu au amechanganyikiwa na maisha?

hahahaah!!! shangaa na wewe shem. huyu mfuga kuku ana matatizo sana. kuna watu humu inabidi tuwaangalie tu maana adhabu wanazopewa na maisha ni kubwa kuliko. wengine hupata faraja kwa kutukana watu, kuchonganisha. yaani furaha zao ni kuona wenzao hawana furaha.
 
hahahahahhaha!!! mtu wa hivo dawa ni kumlia ganzi. lazma ujue mtu unaejibizana nae ni wa aina gani. huyu mtu ana stress za kiuchumi na za kimahusiano. hivyo basi naombeni tu mmuache jamani asije akajinyonga ikaonekana ni cyberbullying bure.
hebu soma hizo links ujionee.
https://www.jamiiforums.com/nafasi-...32-msaada-nitafanya-nini-jamani-kujiokoa.html
https://www.jamiiforums.com/love-co...baada-ya-kusearch-muda-wa-mwaka-mmoja-jf.html
https://www.jamiiforums.com/love-co...y-please-call-at-heart-teens-not-allowed.html
https://www.jamiiforums.com/love-connect/616084-sasa-basi-natangaza-nia-ya-kuacha-ubachelor.html.
muacheni jamani yasijetokea ya betty.

Okey,No second chance to make the first impression.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom