muima
JF-Expert Member
- Jul 30, 2014
- 276
- 66
Braza ninao tena watatu tuuh! Shida wahumu wamekimbia jamii wajajoficha huku tym yote unakuta umbea kuchat na waume za watu.
Sasa haya yanakugusa wapi? Manaume kama binti!!!!
Braza ninao tena watatu tuuh! Shida wahumu wamekimbia jamii wajajoficha huku tym yote unakuta umbea kuchat na waume za watu.
Amina...! We si unataka kuonja ya mzungu.
Swali gani jf siyo sehemu ya kutajana tunajuana vizuri humu, acheni tabia za kimrupo kaolewe tumechoka kuchunwa mnakondesha familia zetu.
Leo umeamka vibaya, si kawaida yako...p.umbavu!!
Kuna ukweli kwamba.
wasioolewa sasa hivi wanatumia nguvu nyingi kununua magari, kujichubua na kujiweka feki feki kwa kuvaa nywele bandia, kucha bandia, nyusi bandia.
Yote ni kutafuta 'kujiamini'mbele za watu, wakati mioyoni ni wapweke sana.
Hali hii walioolewa hawana.
Muda mwingi hawa ambao hawajaolewa wako katika mitandao ya kijamii wakijaribu kuendeleza ushawishi wao kwa wanawake wengine kuishi bila kuolewa.
Kila mtu ana uhuru wa kuishi kwa jinsi apendavyo, lakini uhalisia hautabadilika.
Mtu wa watu
Kijana hayo mashairi yako yatunze kesho uwaoneshe wenzio pale kijiweni kwenu....watakusaidia japo kwa beat la mdomo si mbaya kwa kujifunzia!
We fisi maji, ongea yote stop connecting anything with my married na wewe kumbukumbu zangu zinaniambia cjawahi ata kukuota, sasa hoooh uolewe na mimi sijui what wewe age yako ina over qualify kwangu sawa! Tutunziane heshima don't link any of my threads with your married impossible wewe garagara kivyako mtarawanda yupo huku tayari katolewa mahari.
Yani wanaume wabinafsi sana
Halafu makalio ya nyani yanakuwaga na wekundu fulani so imagine ni sura ya mtu!
Kasafishwe unakimavi husinyo....!
Shosti leo umeng'ang'aniwa!!!!
Ngoja niimbe kwanza
wanawake wazuri wazuri wameolewa yamebaki manungaembe yanahangaika X 2
Wanaume wa jf mpo frustrated kiasi kwamba hamna la kujadili za8di ya "wasioolewa??????"""
Ni kwamba waliwakataa ndio maana mna hasira nao au wamewazidi maisha?
Maisha ni zaidi ya kuoa na kuolewa
Kumetokea nini humu JF siku hizi? hii ni ile ile JF ninayoijua ama nimepotea njia? yaani kila nikichungulia mada ni hizi hizi, zile mada zetu zileee za wakati uleee za kuelimishana/kufundishana zimeishilia wapi? nini kimetokea? kwamba hakuna maisha zaidi ya kuoa na kuolewa, sijui 30+ na ujinga mwingine mwingi? hakuna maisha zaidi ya hayo?na hawa wanaume wanaoanzisha hizi mada huko kwenye koo zao dada zao wote wameolewa? kumetokea nini mpaka mnafatana matakoni kwa mambo ya kijinga kiasi hiki? kwamba mtu anataka mwenzie aishi jinsi anavyotaka yeye? kwamba hajaolewa basi amekuwa na kilema ama vipi? kwanini mnapangiana maisha? kwanini mtake mtu mwingine aishe utakavyo wewe? umeoa poa, hajaolewa ni maisha yake hayakuhusu, kwamba wewe ulieoa/olewa ndio una amani zaidi kuliko wengine? baadhi ya watu humu wana fikira za kiupuuzi sana, tena upuuzi uliopitiliza, kila mtu anaishi atakavyo jamani!