Wasioolewa na kujiamini kupitia vitu

Wasioolewa na kujiamini kupitia vitu

mnaotamani kuingia kwenye ndoa ningwasihi mkae tu single....kuolewa especially na mwanaume wa ki-tanzania ni kujichimbia kaburi lako mwenyewe....maana ni heka heka huchelewi kupata kiharusi na BP!
 
Really?? Mbona wengine mnachepuka na wake za wenzenu? Au sio nyie mnaoletaga hapa thread mkihofia kufumaniwa na kuliwa -t.a.k.o? Leo mwajifanya kuyasahau haya!!! Au ndo mwatudhihirishia kuwa hayo muyaandikayo ni borojo???

Hivi ninyi nanyi mnaitwa waume? Mnaitwa baba?? My foot!!!

Mchepuko sio mke wa mwenzio.Ni wasioolewa.Ni wasioolewa nasisitiza tena.
 
Ebu tupia hapa tuone! Nika peeh hadharani gharasa weee kama miguu yote c ya kushotooo kama mgonjwa wa polio.

acha kujidharau bhana wew ni mtu mzima sa hvi je wadogo zako na jamii nzima itajifunza nin kutoka kwako sasa!
 
mnaotamani kuingia kwenye ndoa ningwasihi mkae tu single....kuolewa especially na mwanaume wa ki-tanzania ni kujichimbia kaburi lako mwenyewe....maana ni heka heka huchelewi kupata kiharusi na BP!

We nae inaonyesha upo kwenye ndoa lakini unaishi kama singo
 
Husninyo naona kama hujaziweka vizuri.... subiri nizisambaze



Nikiwa mpiganaji NA mpambanaji ninayechukia kuajiriwa na mpenda kujiajili kwa kiwango kikubwa, naomba ushauri wenu wenye mapenzi mema katika harakati za kukusanya hukuu na kule nimejituma kwa kuanza na project ambayo imeinua mtajiwa wangu a laki 2 mpaka laki tano nje ya mtaji niliowekeza kwa muda wa miezi 3, sasa naona kama hii laki tano niwekeze kwa kitu kingine ambacho kwa mtazamo wangu hakitakuwa na risiki kubwa kama hii project ninayoendelea nayo, wadau niwaombe msaada wa ushauri asanteni na mungu atawabariki.
naomba kuwasilisha!


Picha lilianza hapa...

PLEASE..! please..!

This is for ladies, but not those,,,, it's special for one who can deserve to be average kind woman, meaning that the lady who is not much modern at the same time is not too primitive so she should be moderate.

she should be:-

  • Educated at least diploma to degree.
  • Not drinking, no smoking.
  • Aged 25-28 best but not limited.
  • Christian with God fear
  • Courage and with great spirit hope to rise from zero to hero.
  • better if she is working, but she must have something to generate income.

Myself
  • Education graduate
  • Age 28-30
  • Christian
  • Not drinking
  • So courage and God fear.

Mengine tunaweza vumiliana na kurekebishana.

Angalizo; USIWE NA MATEGEMEO MAKUBWA SANA, NI MWANAUME WA KAWAIDA SANA ILA MWENYE THAMANI KUBWA KWA MWANAMKE MWENYE THAMANI PI,TAFADHALI USINIJARIBU TAFADHALI MAANA SITAPENDA SANA KUPATA PM NYINGI MAANA NAJUA WENGI WENU WADADA MNATABIA YA KUJARIBU,

PM ZA WANAOJUA WAKO LONELY WANAHITAJI KUINGIA KWA SERIOUS RELATION WELL COME.




Hapa ndipo matatizo yalipopamba moto na sizitaki mbichi hizi


Bila hiana napenda kuleta mrejesho ila kuthihirisha tabia ya mtume mwema!

Ni takribani mwaka sasa baada ya kupitisha mabango yapatayo mawili kutangaza kumsaka mwenzangu nisiye mjua kwa kudhani labda yupo jf natoa taarifa kuwa sikuweza kumpata humu!

Japo walijitokeza wengi huku kila mmoja akiwa tabia zake, cwachache walionekana kuoverqualify huku wengi wakikosa vigezo hasa vya kijamii.

ANGALIZO:

Wengi wa wanawake wa humu jf ni wake za watu pili they are in relation(michepuko) na tatu most if them ni maharddesire, wenda baada ya kuwa wamekubuhu kwenye relationship and they are desperate.

Hitimisho:

Jamii ni bora kwa wapenda michepuko ila ujue ni kula nikule! Natangaza kuhamishia mbio za kusaka mwenzangu kanisani.

No wonder

Mdada ambaye anaamini katika hizi falsafa:-

1: she can start from zero to hero (economically)

2: she can start from where she is. (in any life aspects)

3: She can learn from every action ( learn each second)

4: She can love one with no reason except true love!

5: She can do everything just 2glorify the name of God.

Last binafsi napenda kuishi uhalisia...! those who are serious plz pm or come direct my # iz 0719666099

Siyo mhimu kujadili mada hii km ukiona haikuhusu!
 
Last edited by a moderator:
Jamani, Si Mipasho hii?
Kwani wamekufanza kipi chamno bwakila???
 
Ebu tupia hapa tuone! Nika peeh hadharani gharasa weee kama miguu yote c ya kushotooo kama mgonjwa wa polio.

Ulivyojidescribe kwa mbwembwe nyiiingiii nikajua utatumiamo ka picha.... hatimaye umezuga na kuamua kugeuza kibao. Heheh Enlarge avatar hiyo umuone Avemaria vizuri.

Eti ukapeeh hadharani una jeuri hiyo??? Hii chuma aghali boss garasa mwanamke wako huyoooo uloachiwa makombo na wenzio!
 
Tiba yako nimeipenda sana.
tumboo njoo umuone jentomeni huku.....kujichetua kooote masikini kumbe lenyewe ndo liko desperate hadi limeamua kukimbilia kanisani!! Hahahahaaa uwiiiiiiiii

hahahahahahaha!!!!
 
Last edited by a moderator:
ahsante BADILI TABIA kwa kunisaidia kumsambazaaa. lol!
nafikiri kila mtu kashaelewa sasa shida ilikuwa wapi.

Haswaaaaaa.....

Haswaaaaaa.....[/QUOTE

#Badilitabia umetisheeer!,hasira zote zile kumbe hakupata hata wa kumpa hi!,(even ME) no wonder he hates KE wa JF kwa kuogopa watamchukulia ME....kwikwikwi!
Now he's running with his tail between his legs......hilooooooooo!

Ulivyojidescribe kwa mbwembwe nyiiingiii nikajua utatumiamo ka picha.... hatimaye umezuga na kuamua kugeuza kibao. Heheh Enlarge avatar hiyo umuone Avemaria vizuri.

Eti ukapeeh hadharani una jeuri hiyo??? Hii chuma aghali boss garasa mwanamke wako huyoooo uloachiwa makombo na wenzio!

Utamu wa mjadala wowote ni lazima uwe na hitimisho huu mjadala BADILI TABIA ameufunga rasmi kwa kombola hili harudi tena na ndio mwisho wa kukashifu wanawake, Husninyo ulimstahi lakini Iron lady kamaliza kazi.
lara 1 sogea hapa uwaone wanawake wa shoka wanavyojuwa kuwasambaratisha vitimbakwiri, mpwa Heaven on Earth sogea uku ucheke, Dinazarde najuwa Warumi hayupo huna raha njoo huku na tarumbeta zako.
 
Last edited by a moderator:
Tiba yako nimeipenda sana.
tumboo njoo umuone jentomeni huku.....kujichetua kooote masikini kumbe lenyewe ndo liko desperate hadi limeamua kukimbilia kanisani!! Hahahahaaa uwiiiiiiiii

Hahahaaaa kakoma uyo leo....ati Jentomeni........ye ndio kaja kujifariji na mtaji wake wa laki mbili heheeeeee
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom