Wasioolewa na kujiamini kupitia vitu

Wasioolewa na kujiamini kupitia vitu

Hahaha yani imebidi tu nicheke. Naona hawataki hata tucheke, yani tuwe tunalia tu na kuishi kwa matumaini kama tunaumwa Ebola sijui, God forbid aaaaaaah

Hawana jipya hao ndio maana mwenzao kawapa maneno ya dharau tena kawakomeshaje leo ukweli umewauma......
 
wew unakereka na nini labda?? kwaio magar ni marufuku kwa mtu ambaye hajaolewa??? vip na kupendeza asipendeze??? unaumwa wewe si bure
 
We ni wareware wafupi, lazima ni mfupiii!, kwenye 'kila kona' ya mwili wako

Hahaaa vijanaume vifup vina matatizo sanaa yan akil zao pia znakuaga fup
 
  • Thanks
Reactions: kui
Mtu akifanya vyote hivyo wewe kinakuuma nini? Anunue gari, ajichubue kuweka kucha bandia ni yeye, wewe yanakuhusu nini? Au mna compete nao kwenye mkt ya kutafuta wanaume?
Maana haingilii akilini mwanaume rijali aanze kufuatilia maisha ya wanawake! Mpk wanamiliki nini na jinsi wanavyojipodoa!

Shikamoo bibi. Popote ulipo chukua ugoro nishalipa. Tufanyaje sasa unmarried girls? Khaaaa
 
Asilimia kubwa ya mijanaume inayolalamika humu mmekataliwa pia maisha yenu yakuangaika tuu ndio maana roho znawauma afu mkidharauliwa mnaaona mmeonewa na stress zenu za maisha magumu mnazileta mmu makalio yenu na mshen.zii yoyote itakae muuma hii koment apite chini na aipotezee
 
Kuna ukweli kwamba,
wasioolewa sasa hivi wanatumia nguvu nyingi kununua magari,kujichubua,na kujiweka feki feki kwa kuvaa nywele bandia,kucha bandia,nyusi bandia,
Yote ni kutafuta 'kujiamini'mbele za watu,wakati mioyoni ni wapweke sana.Hali hii walioolewa hawana!!
Muda mwingi wako ktk mitandao ya kijamii wakijaribu kuendeeleza ushawishi wao kwa wanawake wengine kuishi bila kuolewa.
Kila mtu ana uhuru wa kuishi kwa jinsi apendavyo,lakini uhalisia hautabadirika.

wenu,
mtu wa watu

hiyo inajieleza
 

Attachments

  • 1410462881832.jpg
    1410462881832.jpg
    24.7 KB · Views: 583
Shikamoo bibi. Popote ulipo chukua ugoro nishalipa. Tufanyaje sasa unmarried girls? Khaaaa

Marahaba mjukuu wangu. Usijali maneno ya malooser wewe ishi maisha yako, usiishi kufurahisha watu na omba Mungu atakupa mme rijali na mwenye kujitambua.
Asante kwa ugoro!
 
Asilimia kubwa ya mijanaume inayolalamika humu mmekataliwa pia maisha yenu yakuangaika tuu ndio maana roho znawauma afu mkidharauliwa mnaaona mmeonewa na stress zenu za maisha magumu mnazileta mmu makalio yenu na mshen.zii yoyote itakae muuma hii koment apite chini na aipotezee

Mimi naona wanacompete kwenye soko moja na hao wanawake sasa ili kummaliza competitor wako ni lazima umuattack. Mwanaume anayetambua haingilii maisha ya wanawake esp.kwenye kuangalia mavazi,"vipodozi na mali zake!
 
Marahaba mjukuu wangu. Usijali maneno ya malooser wewe ishi maisha yako, usiishi kufurahisha watu na omba Mungu atakupa mme rijali na mwenye kujitambua.
Asante kwa ugoro!

Amina bibi, nimepokea neno lako la unabii. Mume nitaletewa tu na Mungu, but kwa muda huu lemme work my as.s off. Tusiendeshe magari hadi tusubiri tuolewe ndo waume zetu watununulie jamani?? loooh hapana. Maisha lazima yaendelee na ndoto lazima zitimizwe with or without ndoa.
 
Kuna mdada mmoja miaka 2 iliyopita alikuwa akiwaeleza rafiki zake akiwamo shemeji yangu wa kike kwamba hana mpango wa kuelewa. Yeye yuko ulaya anasoma na anamaliza mwaka huu. Nilipouliza kwanini, shemeji akasema kwamba yeye keshajenga nyumba yake. Nikamwambia huyo mwongo..ni kwamba hajapata mchumba na analosema ni mwongo. Mwaka huu anarudi na amepata mchumba mtanzania mwenzake anategemea kufunga ndoa pindi akirudi.
 
Asilimia kubwa ya mijanaume inayolalamika humu mmekataliwa pia maisha yenu yakuangaika tuu ndio maana roho znawauma afu mkidharauliwa mnaaona mmeonewa na stress zenu za maisha magumu mnazileta mmu makalio yenu na mshen.zii yoyote itakae muuma hii koment apite chini na aipotezee[/QUOTEhahahaha mi napita.....wanajisahau kuwa mambo yamebadilika alaaaaaaaaaah nyambaf
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom