Wasifu wa Masha: Maswali na Majibu

Wasifu wa Masha: Maswali na Majibu

ELIMU YA MASHA




Alizaliwa 1970 (kama hakuumbwa live!)
  • January, Mwaka 1972 akiwa na mwaka mmoja na miezi tisa alianza vidudu (siku hizi sijui ndio nursery au chekechea?) Actually kajamaa kalikuwa strong sana!!
  • Mwaka 1974 akiwa na miaka mitatu akaanza darasa la kwanza ambapo akamaliza 1980
  • Mwaka 1981 mpaka 1984 form one to four
  • Mwaka 1985 mpaka 1987 form five & six
  • Mwaka 1988 jeshini (siku hizo ilikuwa mandatory)
mwaka 1989 mpaka 1991 UDSM

SIMPLE AND CLEAR!!! Kuna mtu ana swali? Nasema hivi kuna mtu ana swali kutoka kwa mtuhumiwa?



hahahahhahahahhahaaaa, I LOVE JF;

hahahahhahahahhahaaaa, lol!!! Okon, hahahahaaaaa, yaani umepinda, lol!!!!
 
ELIMU YA MASHA

Alizaliwa 1970 (kama hakuumbwa live!)
  • January, Mwaka 1972 akiwa na mwaka mmoja na miezi tisa alianza vidudu (siku hizi sijui ndio nursery au chekechea?) Actually kajamaa kalikuwa strong sana!!
  • Mwaka 1974 akiwa na miaka mitatu akaanza darasa la kwanza ambapo akamaliza 1980
  • Mwaka 1981 mpaka 1984 form one to four
  • Mwaka 1985 mpaka 1987 form five & six
  • Mwaka 1988 jeshini (siku hizo ilikuwa mandatory)
mwaka 1989 mpaka 1991 UDSM

SIMPLE AND CLEAR!!! Kuna mtu ana swali? Nasema hivi kuna mtu ana swali kutoka kwa mtuhumiwa?

Okon,

Ongeza mwaka mmoja wa mlimani kutoka mitatu mpaka minne. Kundi la Masha lilikuwa affected na ule mgomo wa matusi ya nguoni enzi za Mwinyi. Walipoteza mwaka mzima nyumbani na hivyo shule kuwa miaka minne badala ya mitatu.
 
Mbogela, we'll get to the bottom of this. School year begins in the fall. Alright, hang tight with me there:

August 1976 -May 1977 First Grade

August 1977 -May 1978 Second Grade

August 1978 -May 1979 Third Grade

August 1979 -May 1980 Fourth Grade

August 1980 -May 1981 Fifth Grade

August 1981 -May 1982 Sixth Grade

August 1982 -May 1983 Seventh Grade

August 1983 -May 1984 Eight Grade

August 1984 -May 1985 Junior High - Ninth Grade

August 1985 -May 1986 Junior High - 10th Grade

August 1986 - No show! Drop out ??

Mjomba kapiga mvua kumi tu! Akaja UDSM na wenyewe wakampokea! Wenzake wamepiga aidha mvua 13 za Tanzania au 12 za US. Imekuaje ? National service ka-dodge. Ilikuwaje ?


Jamani watu wa press hampo huku??? Mzee Mwanakijiji na wenzake tunataka tuanze kumfanyia utafiti yakinifu huyu Masha halafu tumdondoshe chini puuu. Kuna mbinu zilifanyika hapo, lazima kieleweke.

Halafu kuna member amesema Mengi anajiandaa kwa urais. Hapana, Mengi hana mpango wowote na cheo cha siasa Tanzania hii. Yeye ni mtu wa jamii na mpinga mafisadi tu.
 
Mama;

Wakati huo (mwaka 1991 ambao pia nilikuwa UDSM) kama ni raia wa Tanzania lazima ilikuwa upitie JKT.

Sielewi kama aliukana uraia wake wa USA ama la!.

FP
Kwa kuongezea tunaweza kujiuliza yafuatayo:
kama alisoma kama raia wa US:
1.Who sponsored him?
2.kama raia wa US alipataje kazi katika mifumo/utaratibu wa mtanzania wa kawaida? alikuwa na work permit as a foreigner?
3.Alipoingia kwenye siasa za Tanzania alishapitia mchakato wa kuomba uraia wa Tanzania/kuukana uraia wa marekani maana Sheria za Tanzania hadi sasa haziruhusu dual citizenship?

Kama hakuwa raia wa US, KWANINI hakupitia JKT kama watanzania wengine ili kuonyesha uzalendo wa kweli ili hatimae aaminiwe kuwa ataweka maslahi ya watz mbele ya yale ya kwake binafsi?
 
karibia kutoana ngumi humu,,,

wahiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii wote mnaomponda masha...mtakuwa ma loosers tu!i guess ni majitu yale ya 40s to 50s...bado hamjaachieve hata half of what he has.....hapa mmepata chance yenu ya kumrushia mawe kijana wa watu...

kwa watu wengine ,hayo mnayotumia kumkanyagia ..ni upuuzi mtupu usio na UZITO wowote!na km JK atamtoa masha ktk kundi la mawaziri wake nitamuona wa ajabu sana...

mtu kamaliza masters yake...what if alidodge huko 'olevel' ......hivi wewe uvuke darasa la nne na la tano na kisha ufaulu darasa la saba...umeigia zako secondary mtu ndio anaaanza kukushikia bango kwamba ulivuka darasa la nne...chaaaaaaaaaaa...is it relevant now...?
by the way hakuna mwenye uthibitisho kweli hakuingia hayo madarasa yote,wote mnaongea hapa kumponda mnabase kny hio cv aliyoandika.....what if akisema was just a typing error..?

wengine hakufanya kazi huko WB,,,,you peopleee??! wahiiiiiiiiiiiiii watu wanaandika maparagraph na maparagraph kwa ustaaaadi..,ilhali tunaona maneno yenu yamejaa chuki na hayana msingi wowote!...WHAT IF HE DID?AND WHAT IF HE DIDNT? mnh..

swala la JKT...kudodge who wouldnt.???....he was clever ENOUGH to realize that was another way of wasting time!sadly other people probably knew this but they didnt have oportunity to dodge...he had privilllege.....so why blaming him..?nendeni mkawalaumu hao waliomruhusu ala!...system yenyewe ilikuja kuwa abolished...tht means hapa members watakaosema walipitia jeshi probably it just a fraction, most of you mmeinjoy miaka ya kutopitia jeshi and still mnakaa mnamshikia bango mwenzenu alidodge JKT chaaaaaa ....tafuteni kazi za kufanya!alaaaa!ask yourself, if you were to put in his shoes would you do otherwise...?and km mtakuwa honest the answer is NO,,,,..so why all this JKT -SHIT....

by the way 2 years in office ......still ni muda mchache kumpondea...he still has 'my benefit of doubt'......mnasema tu hafanyi kazi blah blah.....toeni mifano ya watu wa 'position yake i mean mawaziri wenzake ktk wizara tofauti nani in two years...kafanya makubwa??...acheni chuki!!!


Pole inaelekea kakutuma uwe umamoderate joto lake humu JF maana alishajua tunamtunguaga humu kama embe ng'ong'o. Mpelekee salamu hizi maana wewe ndiye mtetezi wake. Hivi umetoa povu lita ngapi wakati unaandika hii. Kwa Phychology yangu inaelekea umeandika ukiwa umesimama juu ya meza kama yeye akipata kilauri pale Rose Garden kikipanda kichwani anarukia meza. Kumbe ndiyo maana maadili ya Masha yameshuka sana, sikufahamu historia yake, leo nimepata half of it. Jameni poromosheni mambo yake hapa. Aaanikwe kama tembele. Lete vijimambo.
 
- Mkuu Kafara, heshima mbele bro,

tunasema hivi kiongozi yoyote ashambuliwe kwa shutuma zilizo na ukweli, kuna wakati alishambuliwa Mwenyekiti wa Chadema kwa maneno ya uongo wa kupindishwa kwa makusudi kuhusu shule yake UK, kwamba anafanyiwa mitihani na Balile, tulisema kuwa ule ni wivu wa binafsi,

- Kuna wakati ameshambuliwa Zitto hapa kwa makusudi kwa kupindishwa ukweli, tulisema kuwa ni wivu wa binafsi, na kuna wakati zililetwa article za kumchafua Dr. Slaa na Mbowe tena kwa makusudi mazima, tuliomba ziondolewe hapa JF haraka sana, kwa sababu zilikuwa ni uzushi na uongo uliochongwa kwa makusudi na at best ni wivu tu wa binafsi,

- Tuliyasema haya against wananchi wengi hapa waliokuwa hawakubaliani na mawazo yetu hapa na haikuwa tatizo, sasa tunasema tena kwamba waziri wa ndani ashambuliwe kwa makosa aliyokwisha yafanya na yanakubalika kua ni ya kweli lakini kupindisha ukweli kwa makusudi ili kumchafua ndio tunaita kama vile kule nyuma kua ni wivu wa binafsi, na it has nothing to na wasiokubaliana na mawazo yetu on the ishu.

- Tunajaribu sana kupata ukweli wa ishu maana kuna habari nyingi sana, ingawa Halisi leo ametoa maneno mazito sana kuhusu the ishu ninayakubali as ukweli wa ishu, lakini ninatofautiana naye on one thing only, namna ya kuimaliza ishu, maana tungependa sheria ifuate mkondo na kama waziri amekosea basi ajiuzulu kama alivyoahidi na sheria iangaliwe kama imevunjwa na matendo yake katika ku-deal nayo, na kama Mengi amekosea sheria ichukue mkondo pia,

- Mind you tunazo dataz za kutosha kuhusu ushahidi alionao Mengi, yaani tepu yenye maneno ya waziri mmoja kama anavyodai hilo leo ninalithibitisha kua halina ubishi na jina la waziri tunalo tayari, na tepu nyingi nyingine mojawapo ikiwa ya Makamba, naye akijaribu kushauri uvunjwaji wa sheria, sasa tunazo dataz za kutosha kuhusu tepu zote alizonazo na zilivyopatikana.

- Habari iko wazi kwamba kama Mengi asinge-act kwanza huyu waziri angemmaliza, sasa ndio maana tunasema ishu iende kwenye sheria, ili sheria ichukue mkondo na sio siri tena waziri anayehusika is in big shit. Tumeonywa sana kutosema majina ya wahusika wa hii ishu, lakini ninasema hivi tumewafahamisha wahusika kuwa kama ukweli haukuwekwa hadharani when the times come, tutayaweka yote nje kama yalivyo!

Thanxs!


Thank you Mkuu wangu Field Marshal ES. Watu wafahamu kuwa hapa jamvini kuna watu wa dataz. Issue zinafanyika kiyakinifu. Again thank you for this.
 
Okon,

Ongeza mwaka mmoja wa mlimani kutoka mitatu mpaka minne. Kundi la Masha lilikuwa affected na ule mgomo wa matusi ya nguoni enzi za Mwinyi. Walipoteza mwaka mzima nyumbani na hivyo shule kuwa miaka minne badala ya mitatu.

Da, watu mnakumbukumbu nyie!! Kumbe heri mtu ukae KIMYA au usijulikane. Nakubaliana na Kitila Mkumbo kuwa ANAISHI kwenye nyumba ya kioo, hivyo hawezi akarusha jiwe. Ukweli ni kuwa wote tunaishi kwenye nyumba hizo ila hatujijui. Unakaa unafikiri hujulikani kumbe si kweli. Wee rusha tu jiwe na watu waingie kazini, utaona unavyoVULIWA na kuachwa mweupe.
Mafisadi wote lazima wajue kuwa Tanzania pia tumeingia walau nusunusu karne ya 21. Pia lazima ujue kuwa KUPANDA mlima si kazi, kazi ni kukatalia hukohuko kushuka. Mengi kakatalia kushuka kwa miaka mingi. Wenye akili zao wanaamua kumfuata hukohuko na kuungana naye (ukiona huwezi kumshinda). Nafikiri kudumu kwa Mengi kumetokana na vitu vingi saana na si uhusiano wake na CCM tu. Jamaa ni SMART sana.
Masha na Mafisadi wengine lazima wajue kuwa kama kweli wanataka ku-deal na Mengi, basi wasubiri ATELEZE kikwelikweli, vinginevyo yatawatokea puani. Wanasema PAKA HUANGUKIA MIGUU MINNE. Mengi si siri anayo minne.
Kwa mara ya kwanza naona methali hii inashindwa ku-aply "Wagombanapo mafahali wawili ziumiazo ni nyasi.." Naona ugomvi wa Mengi na Masha umefunua mambo mengi na kwa maana hiyo ni sisi NYASI tumefaidi.
 
Katika nchi ambayo wastani wa watu kuishi ni miaka 45, miaka 38 ni kijana?

Muhimu ni experience, Masha yuko kazini tokea 1991, hiyo ni miaka 17 toka amalize university. Hiyo ni miaka mingi mno na sidhani kama kuwa kijana ni issue hapa.

Kama anavurunda sio kwasababu ya kuwa kijana.

Hivi kama sababu kweli ni wivu, je huo wivu wa akina Mwanakijiji ndio umemfanya Masha ashindwe kulinda Albino? Ndio umemfanya Maisha atoe vitisho vya siku saba huku anajua hana uwezo huo?

Masha ananionea wivu mimi na sio the other way around.

At the age of 24 ..... ninalipwa mshahara mara kibao zaidi ya mshahara halali wa Masha. Nani anamuonea wivu mwenzake sasa.... hey .. nani ana wivu?

Masha akirudisha pesa yote ya kifisadi aliyoipata ..... kwa wizi wa pesa za serikali na mashirika yake...... nitakuwa namzidi kwa mafanikio. Na soon hata kielimu nitampita na hiyo masters yake..... within days... wooow woooh

kwi kwi kwi .... Masha kama unabisha .... nenda polisi au nipe siku saba ili nithibitishe madai yangu.....

LOL for your own good!
 
Hizi CV za mawaziri na wabunge na vigogo wa serikali ya JMK nyingi zina ulakini.....
 
Mimi niliandika somewhere kuwa huyu bwana aidha ana citizenship ya marekani ambayo hajarenounce au ana "Green Card" sasa nijuu ya waandishi kuchunguza. Ni rahisi sana mnaweza kupata taarifa hizi ubalozi wa marekani. Kama ikijulikana kama ni kweli ana residence ya U.S.A then itabidi sheri ifuate mkondo wake.
 
- Mkuu Kafara, heshima mbele bro,

tunasema hivi kiongozi yoyote ashambuliwe kwa shutuma zilizo na ukweli, kuna wakati alishambuliwa Mwenyekiti wa Chadema kwa maneno ya uongo wa kupindishwa kwa makusudi kuhusu shule yake UK, kwamba anafanyiwa mitihani na Balile, tulisema kuwa ule ni wivu wa binafsi,

- Kuna wakati ameshambuliwa Zitto hapa kwa makusudi kwa kupindishwa ukweli, tulisema kuwa ni wivu wa binafsi, na kuna wakati zililetwa article za kumchafua Dr. Slaa na Mbowe tena kwa makusudi mazima, tuliomba ziondolewe hapa JF haraka sana, kwa sababu zilikuwa ni uzushi na uongo uliochongwa kwa makusudi na at best ni wivu tu wa binafsi
,


heshima kwako pia bro,

- Tuliyasema haya against wananchi wengi hapa waliokuwa hawakubaliani na mawazo yetu hapa na haikuwa tatizo, sasa tunasema tena kwamba waziri wa ndani ashambuliwe kwa makosa aliyokwisha yafanya na yanakubalika kua ni ya kweli lakini kupindisha ukweli kwa makusudi ili kumchafua ndio tunaita kama vile kule nyuma kua ni wivu wa binafsi, na it has nothing to na wasiokubaliana na mawazo yetu on the ishu.


ndio maana kama baadhi ya wachangiaji ninaamini kwamba hili suala linaweza kujadiliwa bila kwenda personal kwani kwenye hiyo mitaa inayoitwa personal ndiko watu hawakawii kushutumiana masuala ya wivu. binafsi nadhani pande mbili zinazopingana katika suala hili kwa wakati moja au mwingine zimeteleza na kuwa personal (samahani kwa hii generalization lakini nadhani imenibidi kufanya hivi kuepuka kunyosheana vidole)


- Tunajaribu sana kupata ukweli wa ishu maana kuna habari nyingi sana, ingawa Halisi leo ametoa maneno mazito sana kuhusu the ishu ninayakubali as ukweli wa ishu, lakini ninatofautiana naye on one thing only, namna ya kuimaliza ishu, maana tungependa sheria ifuate mkondo na kama waziri amekosea basi ajiuzulu kama alivyoahidi na sheria iangaliwe kama imevunjwa na matendo yake katika ku-deal nayo, na kama Mengi amekosea sheria ichukue mkondo pia


hata mimi napenda suala hili liamuliwe kisheria. sasa swali nani atalipeleka hili suala mbele ya pilato? nadhani mzee mengi ameishautangazia umma kwamba amemsamehe waziri mhusika. kwa mantiki hiyo hawezi kwenda mahakamani.

mhe. masha ameutangazia umma kwamba amri ya siku saba ilikuwa na lengo la kumlinda mzee mengi japokuwa alitumia maneno mazito kama "kukiona cha moto" na " cha mtema kuni". sasa swali mtu unayemlida unamshitaki mahakamani? nadhani hata wale wanaotaka kujiuwa wanapelekwa mahakamani kwa kosa la kutaka kujiuwa na si kwa sababu wasijiue (wanasheria wanaweza nisaidia hapa). sasa hapa (serikali itampeleka mahakamani mzee mengi kwa kosa gani? nadhani hapa ndipo kuna mtego wa kisheria.

kama aliyosema mwanakijiji na waheshimiwa zitto na mbowe ni sahihi ina maana mhe. masha ndio mtuhumiwa. sasa nani atakwenda kushitaki? mmengi, masha au serikali?

ndio maana mimi nasita kuamini hili suala litatinga mahakamani. nimejifunza si vyema kusema "haiwezekani" ndio maana nasema "nasita kuamini"


- Mind you tunazo dataz za kutosha kuhusu ushahidi alionao Mengi, yaani tepu yenye maneno ya waziri mmoja kama anavyodai hilo leo ninalithibitisha kua halina ubishi na jina la waziri tunalo tayari, na tepu nyingi nyingine mojawapo ikiwa ya Makamba, naye akijaribu kushauri uvunjwaji wa sheria, sasa tunazo dataz za kutosha kuhusu tepu zote alizonazo na zilivyopatikana.

- Habari iko wazi kwamba kama Mengi asinge-act kwanza huyu waziri angemmaliza, sasa ndio maana tunasema ishu iende kwenye sheria, ili sheria ichukue mkondo na sio siri tena waziri anayehusika is in big shit. Tumeonywa sana kutosema majina ya wahusika wa hii ishu, lakini ninasema hivi tumewafahamisha wahusika kuwa kama ukweli haukuwekwa hadharani when the times come, tutayaweka yote nje kama yalivyo!

Thanxs!

kwa maneno haya ni kwamba madai ya mzee mengi yanaukweli. kwa kweli mwili unanisisimka kujua kwamba serikali iliyochaguliwa kwa kura za wananchi inaweza kuketi kwenye kikao na kupanga kumhujumu mwananchi! je ni mengi peke yake au wako wengi wanaohujumiwa na serikali yetu.
kama zombe kapelekwa mahakamani kwa nini serikali isipelekwe mahakamani?
kwa tuhuma za kutaka kumhujumu mwanachi?

kama hujuma hiyo haikuwa ya serikali je waziri mhusika amechukuliwa hatua gani za kinidhamu kwa pendekezo kama hilo.

hakika kama serikali inaweza kupanga mkakati wa kuhujumu raia wake basi raia wana kila haki ya kutumia mbinu zote kupata habari serikali yao ina mipango gani ya hujuma.

ni hayo tu.
 
Last edited:
MWK,

Just setting the record straight with some of these oxymoronic important trivialities

Sentensi yako inaweza kutafsirika kuwa Masha amesoma Ivy League, Georgetown, ingawa ni chuo kinachoheshimika sana, hakipo katika level ya Ivy league.

Ivy league, alphabetically, ni Brown University, Columbia University, Cornell University, Dartmouth College, Harvard University, Princeton University, University of Pennsylvania na Yale University.

Georgetown is in the league of University of Chicago, New York University, Stanford University, Massachussets Institute of Technology, Washington University and the likes. Certainly impressive, but if at all you care enough to rank colleges by using that old moneyed term "Ivy League", second tier anyway.

Tuendelee.

Pundit,

Naomba kueleweshwa Ivy League ni nini? Maana siku zote mimi najua Universtiies zilizo kwenye kundi la Ivy League ndizo zilizo bora zaidi US na duniani kote.

Lakini, Kwa mujibu wa rankings za juzi juzi hapa Massachussets Institute of Technology was ranked the best University in the World.

Naomba msaada kwenye tuta!
 
Pundit,

Naomba kueleweshwa Ivy League ni nini? Maana siku zote mimi najua Universtiies zilizo kwenye kundi la Ivy League ndizo zilizo bora zaidi US na duniani kote.

Lakini, Kwa mujibu wa rankings za juzi juzi hapa Massachussets Institute of Technology was ranked the best University in the World.

Naomba msaada kwenye tuta!


Ivy League

Ivy League is the name generally applied to eight universities (Brown, Columbia, Cornell, Dartmouth, Harvard, Pennsylvania, Princeton, and Yale) that over the years have had common interests in scholarship as well as in athletics. Stanley Woodward, New York Herald Tribune sports writer, coined the phrase in the early thirties.
In 1936 the undergraduate newspapers of these universities simultaneously ran an editorial advocating the formation of an ``Ivy League,'' but the first move toward this end was not taken until 1945. In that year, the eight presidents entered into an agreement ``for the purpose of reaffirming their intention of continuing intercollegiate football in such a way as to maintain the values of the game, while keeping it in fitting proportion to the main purposes of academic life.'' To achieve this objective two inter-university committees were appointed: one, made up primarily of the college deans, was to administer rules of eligibility; the other, composed of the athletic directors, was to establish policies on the length of the playing season and of preseason practice, operating budgets, and related matters. Two other inter-university committees on admission and financial aid were added later.

As President Dodds pointed out at the time, the general principles agreed on by the eight universities were essentially the same as those set forth in the Harvard-Yale-Princeton Presidents' Agreement of 1916 (see Big Three).

The first step toward organizing full league competition came in 1952 with the announcement that, beginning with the fall of 1953, each college would play every other college in the group at least once every five years. This plan was superseded in 1954 when the presidents announced the adoption of a yearly round-robin schedule in football, starting in 1956, and approved the principle of similar schedules in ``as many sports as practicable.''

Thereafter, the Ivy Group (as the league was called in the Presidents' Agreement of 1954) established schedules in other sports, including some in existing leagues with non-Ivy members. As of 1977, the Ivy League colleges competed, round-robin, in football, soccer, basketball, and, with certain variations as noted, in baseball (also Army and Navy), fencing (except Brown and Dartmouth), ice hockey (except Columbia), squash (except Brown, Columbia, and Cornell), swimming (except Columbia, but also Army and Navy), tennis (also Army and Navy), and wrestling (except Brown and Dartmouth). Ivy championships in cross-country and track were determined at the annual Heptagonal Meets, in golf at an Ivy championship tournament, and in rowing at the Eastern Association of Rowing Colleges Regatta.

The mid-seventies brought the inclusion of women's teams in the Ivy League program with the institution of championship tournaments in basketball and ice hockey, and a move toward round-robin competition in field hockey, lacrosse, and other sports.

Other instances of increasing formalization of the Ivy League occurred in the seventies -- two of them involving Princetonians.

Since 1971, the Bushnell Cup has been awarded to the Ivy football player of the year, who is selected by vote of the eight coaches. This trophy, presented to the Ivy League by the Eastern Association of Intercollegiate Football Officials, was named in honor of Asa S. Bushnell '21, the first commissioner of the Eastern College Athletic Conference, in appreciation of ``his great contribution to the advancement of college athletics.''

In 1973, to provide greater coordination of the athletic interests of the eight universities, the post of executive director of the Council of Ivy League Presidents was created, and Ricardo A. Mestres '31, financial vice-president and treasurer of the University, emeritus, was elected first incumbent. Mestres served in this post until 1976, when he was succeeded by James M. Litvack, visiting lecturer in economics and public affairs in the University
 
Hizi CV za mawaziri na wabunge na vigogo wa serikali ya JMK nyingi zina ulakini.....

Yo Yo,

Tatizo sio CV. Inabidi tuulize experience and past performance. Merit, that is.

Unajua neno Curriculum Vitae linaelekea elekea sana kwenye historia ya elimu. Tofauti na Tanzania na UK (nadhani), Marekani wanatumia zaidi neno re'sume. Re'sume sounds more like work experience! Kuna elimu yako kwenye re'sume lakini pia kuna msisitizo wa work experience.

Tunaposema waziri fulani au mbunge fulani CV yake imepinda, ina sound kama - na ndio wengi wanavyochukulia - tungependa awe na shahada na stashada na PhD na postdoc and so forth and so forth. Yote hayo ni mazuri. LLakini je amefanya nini huyo kingozi na hiyo CV yake ? Re'sume inasemaje ?

Ok. Hakusoma vizuri. Alikuwa chief wa NSSF zamani. Alifanya nini hapo NSSF ? How did the company fair under his leadership ?

Kabla ya kuteuliwa hawa watu, kama alivyopendekeza Fundi Mchundo, wawekwe kiti moto cha confirmation hearing. Waulizwe, okay, wewe umesoma Masters of Law Georgetown, law firm yako imeshawahi kufanya hunky punky business na mafisadi ? Unakwenda kuwa Waziri wa mambo ya Ndani, maeneo ya Ulinzi na Usalama, je ulikwenda National Service ? Why not ? How come ?

Ukienda na CV on paper peke yake Lawrence Masha has no comparison. After all he has Georgetown education.

Well, Andrew Chenge had Harvard training!
 
Pole inaelekea kakutuma uwe umamoderate joto lake humu JF maana alishajua tunamtunguaga humu kama embe ng'ong'o. Mpelekee salamu hizi maana wewe ndiye mtetezi wake. Hivi umetoa povu lita ngapi wakati unaandika hii. Kwa Phychology yangu inaelekea umeandika ukiwa umesimama juu ya meza kama yeye akipata kilauri pale Rose Garden kikipanda kichwani anarukia meza. Kumbe ndiyo maana maadili ya Masha yameshuka sana, sikufahamu historia yake, leo nimepata half of it. Jameni poromosheni mambo yake hapa. Aaanikwe kama tembele. Lete vijimambo.

eti psychology yako......just cut it man...

na no HAJANITUMA...

tembele,kisamvu mchicha BAKI navyo!!!mtu akiandka vingine mnakuja kumwekea upuuzi wenu...mxiiiiiiii

hasa hapo juu wewe UMENIJIBU NINI.....wahiiiiiiiiii
 
Du , wabongo kweli kiboko, mtu akijua huu wengine wanajua huu!
Kale kawimbo ka yule mama kanaimbwa vipi?
".......WANAMUCHAMBUA KAMA KARANGA...."
 
Pundit,

Naomba kueleweshwa Ivy League ni nini? Maana siku zote mimi najua Universtiies zilizo kwenye kundi la Ivy League ndizo zilizo bora zaidi US na duniani kote.

Lakini, Kwa mujibu wa rankings za juzi juzi hapa Massachussets Institute of Technology was ranked the best University in the World.

Naomba msaada kwenye tuta!

Ivy League, kama alivyoonyesha mkuu juu hapo, ilikuwa ligi ya michezo na hivyo vyuo vilivyotajwa hapo juu tu ndiyo vilikuwa vinashiriki.Ligi hii haipo tena, ndiyo maana shule za Ivy League ni hizo tu. Ingawa ni kundi la shule zinazoheshimika sana kielimu, influence yake mara nyingine inakwenda sana kwenye old money and connections kuliko elimu, kwa mfano katika maeneo ya teknolojia shule ambazo haziko katika Ivy League kama Stanford, MIT and CALTECH ni nzuri zaidi ya any of the Ivy League schools.

University ranking, especially internationally, is a tricky business, sometimes bordering on comparing the proverbial "apples to oranges"

Hiyo ranking iko wapi? Ina maana MIT ilizishinda OxBridge? Achilia mbali Harvard?

Siku hizi muhimu zaidi ya ku compare shule watu wana compare departments, kwa msingi huu department ya Physics ya MIT inaweza kuwa bora kuliko ya Harvard ingawa Harvard inaweza kuwa ranked juu zaidi na "US News & World Report"

So Masha did not go to an Ivy League school, Georgetown is one of the top Schools in the US, but not Ivy League.

On top of that he is not registered as a member of the New York State Bar as reported earlier.

Back to Masha.
 
Last edited:
Tatizo sio CV, tatizo ni sisi Waafrika kuwa na matatizo kwenye kuwajibika. Nyani Ngabu anasema mara nyingi Miafrika ndio ilivyo.

CV ya Masha imetulia lakini matendo zero, majigambo juu. Masha hatakuwa wa mwisho, katika Watanzania niliokutana nao sehemu mbalimbali, wengi wakiwa wasomi mahiri, asilimia zaidi ya tisini ni wasanii tu.
 
Tatizo sio CV, tatizo ni sisi Waafrika kuwa na matatizo kwenye kuwajibika. Nyani Ngabu anasema mara nyingi Miafrika ndio ilivyo.

CV ya Masha imetulia lakini matendo zero, majigambo juu. Masha hatakuwa wa mwisho, katika Watanzania niliokutana nao sehemu mbalimbali, wengi wakiwa wasomi mahiri, asilimia zaidi ya tisini ni wasanii tu.

na hichi ndicho kinachosikitisha
 
Kusema "Waafrika Ndivyo Tulivyo" ni racism. Hakuna chochote kilicho inherently African katika uozo huu, ni kuji excuse in disguise tu.

Kama ingekuwa ni issue ya Waafrika huko Botswana kusingekuwa na serikali iliyo highly accountable hata bila ya kuwa na watu wanaoishikia bango, and this is Sub-Saharan black African, I am not even talking about Mauritius.

Semeni kitu kingine, umasikini, ulimbukeni, ufisadi, umangimeza lakini si Uafrika.

Kina Blagojevich nao Waafrika?
 
Back
Top Bottom