Wasifu wa Masha: Maswali na Majibu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wasifu wa Masha: Maswali na Majibu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Koba, Dec 5, 2008.

 1. K

  Koba JF-Expert Member

  #1
  Dec 5, 2008
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 495
  Trophy Points: 180
  Lawrence Kego Masha

  Partner
  Admitted to the Bar, 1996.

  Practice Areas:


  Natural Resource Law; Banking & Finance; Privatization; Corporate Restructuring; Securities; Conveyancing.


  Brief biography:


  Born in Sengerema , Tanzania , March 11, 1970.


  Education:


  University of Dar es Salaam (LL.B., Hons., 1991);

  Georgetown University (LL.M., 1993).

  Work experience:

  State Attorney, 1991;

  Company Secretary and Managing Director, Tanzania Oxygen Limited, 1996-1997;
  Council Member, Dar Es Salaam Stock Exchange.

  Member:


  Tanganyika Law Society

  East African Law Society

  Languages:


  English and Swahili.


  Email:
  masha@immma.co.tz

  (NB: Mr. Masha is currently on sabbatical leave following his appointment as Deputy Minister in Tanzania’s Fourth Phase Government. Mr. Masha, who was initially appointed Deputy Minister of Energy and Minerals, is currently the Deputy Minister of Home Affairs in the Government of the United Republic of Tanzania


  Masha kazaliwa 1970 na kamaliza LLB (UD) 1991...ina maana aliingia UD akiwa 17 yrs old?
   
 2. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #2
  Dec 5, 2008
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,844
  Likes Received: 1,110
  Trophy Points: 280
  Hivi Mhe. Masha alianza shule ya msingi akiwa na miaka 3? au hajasoma kwa kufuta mfumo wa darasa 1 - 7, form I - IV na V - VI? au kunachenga hapa.
   
 3. M

  Mama JF-Expert Member

  #3
  Dec 5, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Hilo ndio jibu.
   
 4. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #4
  Dec 5, 2008
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,694
  Trophy Points: 280
  First Lady,

  Nadhani wewe ndio muoneaji,hivi hapo kwenye umri nimesema au nimeuliza?

  Sijui wewe unashangaa nini mimi kuuliza swali? Na kama unajua yoote hayo si ungesema tu ili kuweka fact sawa? Nakushauri usiwe mkurupukaji wakati mwingine.

  Hata hivyo rejea kwenye hoja
   
 5. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #5
  Dec 5, 2008
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ....Ina maana aliingia form V na miaka 15?
  .... Form one na miaka 11?
  .... darasa la kwanza na miaka 3 ?????????
   
 6. M

  Mtanzania JF-Expert Member

  #6
  Dec 5, 2008
  Joined: May 4, 2006
  Messages: 4,818
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Nziku,

  Masha amesoma USA ambako system yao ni tofauti. Lakini pia alicheza na system kwa kuja kufanya degree ya kwanza TZ ili kukwepa njia ndefu ya kupata law degree kwa USA. Alivypata bachelor yake akarudi USA kusoma masters.

  Ndio maana inaonekana kasoma degree hizo mbili akiwa mdogo sana.

  Masha ana maswali mengi sana ya kujibu. Mimi nimewahi kuandika kwa kirefu juu ya mambo yake. Binafsi nilikuwa na Masha hapo mlimani japo nilikuwa faculty tofauti. Wakati ule tulikuwa tunamjua kama Mmarekani.

  Kitu kinachonishangaza ni kwamba, anasema yeye muda wote amekuwa Mtanzania. Sawa, lakini kwa mwaka 1986/87 ili kuingia mlimani ilitakiwa kupitia JKT hata kama umesoma nje. Masha alikwepa hiki kipengere nafikiri kwa kutumia Umarekani wake.

  Watanzania tunadanganywa sana na hawa wanasiasa ambao hawawezi kuongea ukweli muda wote.

  Mimi ningetaka waandishi wa habari wambane Masha na aseme kweli, aliwezaje kuingia mlimani bila kupitia JKT?
   
 7. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #7
  Dec 5, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Some of this trivial JKT sh... is not necessary, and may very well distract attention from the issues.Kama Mlimani walimruhusu kuingia bila JKT wao ndiyo waulizwe, after all JKT is not like academic qualification, at best you will be talking about a question of fairness and one standard for all.What if Masha say because he had gone to school in the US he did not know about this?
   
 8. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #8
  Dec 5, 2008
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Swali la WIKI:

  "Mimi ningetaka waandishi wa habari wambane Masha na aseme kweli, aliwezaje kuingia mlimani bila kupitia JKT?" - Mtanzania Today, 12:40 PM hapa JF

  Asanteni

  FP
   
 9. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #9
  Dec 5, 2008
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145

  It tells you one thing; IN HIS APPLICATION HE STATED THAT HE WAS USA CITIZEN!!!

  Soma between the lines dude!

  FP
   
 10. M

  Mama JF-Expert Member

  #10
  Dec 5, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0

  US Citizen kwa kuzaliwa, au US citizen aliyezaliwa Sengerema Tanzania (kama bio yake inavyosomeka) then akabadili uraia?
   
 11. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #11
  Dec 5, 2008
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Mama;

  Wakati huo (mwaka 1991 ambao pia nilikuwa UDSM) kama ni raia wa Tanzania lazima ilikuwa upitie JKT.

  Sielewi kama aliukana uraia wake wa USA ama la!.

  FP
   
 12. M

  Mtanzania JF-Expert Member

  #12
  Dec 5, 2008
  Joined: May 4, 2006
  Messages: 4,818
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Pundit,

  Point hapo ni fairness, watu walikosa kusoma university enzi hizo shauri ya kutokwenda JKT leo unasema hicho ni kitu kidogo?

  Lakini pia inaweza kuwa na maana kubwa zaidi ya hiyo, inawezekana kuhusishwa na suala la uraia wake. Miaka hiyo hata usome nchi gani, bado ilikuwa lazima upitie JKT kabla ya kwenda university kama ni Mtanzania. Yeye hakuenda, why?

  Pia soma maandishi ya Masha, anahusisha kuja kusoma mlimani na Uzalendo wake. Kama ni kweli, kwenda JKT enzi hizo ilikuwa sehemu ya huo uzalendo.

  Ndio maana TZ tuna wanasia matapeli kwasababu ya mawazo ya kuamini kuna mambo madogo ambayo yanaweza kupuzwa. Ambaye hasemi ukweli kwenye jambo dogo, atashindwa vipi kudanganya kwenye jambo kubwa?

  Kutokwenda JKT hakumfanyi mtu akose sifa ila inabidi kuwe na sababu za msingi kwanini hakufanya hivyo wakati ilikuwa sheria kwa kila mtu kutumikia JKT kabla ya kuingia vyuoni.

  Yakiingia na haya ya Mengi, mtu unaanza kujiuliza maswali mengi kama kweli huyu mheshimiwa ukweli kwake ni kitu muhimu.
   
 13. Kuhani

  Kuhani JF-Expert Member

  #13
  Dec 5, 2008
  Joined: Apr 2, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  E bwana Mtanzania, umeikamata hiyo detail ya ukiukwaji taratibu wa JKT ? Bab kubwa. Waziri wetu wa mambo ya ndani ali dodge military service ambayo kila Mtanzania aliyeenda chuo alitakiwa kwenda. Chuoni UDSM Masha inaonekana aliingia ki-fisadi fisadi.

  Zaidi ya ku dodge national service, namna nyingine ambayo inaonyesha aliingia kifisadi fisadi ni kwamba huko Marekani (New Rochelle Academy) yeye alisoma msingi na sekondari miaka kumi tu (1976 - 1986).

  Swali la kwanza: Nchini Marekani, kabla huwajajiunga na elimu ya juu, elimu ya chini huwa ni miaka 12 (K-12). Masha, ambae kasoma kumi tu, alirushwa madarasa ama ni high school drop out ?

  Swali la pili: Ilikuwaje Masha aingie chuoni baada ya elimu ya chini ya miaka 10 ya US badala ya, aidha 12 ya US, au 13 ya Tanzania (la kwanza hadi form VI) kama Watanzania wengine ?

  Swali la tatu, lako Mtanzania: Masha aliwezaje ku-dogde national service ?

  Ile enzi ya watu kurudi Bongo na kukatisha mistari na kutisha tisha watu kwa elimu zisizothibitishika za nje na kupeteshwa bila kutathminiwa inakaribia mwisho. It is unfortunate, badly unfortunate, that there is no one in the press who knows that they should demand such background information of their leaders. Masha's background is a mystery at best. It could be more checkered than we think.
   
 14. Mbogela

  Mbogela JF-Expert Member

  #14
  Dec 5, 2008
  Joined: Jan 28, 2008
  Messages: 1,369
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Nikipiga Hesabu ya miaka aliyosoma katika shule za awali kabla hajaingia chuo kikuu naiona sio kumi kama unavyosema, itakuwa zaidi ya hapo, kwa sababu miaka ya kusoma shule haipigwi hesabu ya 1986 - 1976 = 10 Bali Huwa ni (1986 - 1976) + 1 = 11

  kwa mfano kama nilianza shule ya Tz mwaka 1991 STD I basi nitamaliza darasa la saba 1997 na ukisema 1997 - 1991 utapata 6 kwa hiyo unaweza ukasema mtu alisoma miaka 6 kumbe umeacha mwaka mmoja.

  Kwa hesabu kama anavyohesabu Bibi kwa Vidole Macha alisoma miaka 11 (asume alianza mwezi wa kwanza)
  1976, 1977, 1978, 1979, 1980, 1981, 1982, 1983, 1984, 1985, 1986, kwa hiyo anadaiwa mwaka mmoja ili awe na sifa ya K-12 (siijui)

  Kumekuwa na minongóno kwa miaka Mingi kuwa Mengi anajiandaa kwa Urais wa Tanzania, kuna ukweli juu ya hili? Labda ndio mana anakuwa na migogoro isiyoisha na watawala wa kundi linaloamini kuwa lina haki ya kutawala siku zote.
   
 15. Kuhani

  Kuhani JF-Expert Member

  #15
  Dec 5, 2008
  Joined: Apr 2, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mbogela, we'll get to the bottom of this. School year begins in the fall. Alright, hang tight with me there:

  August 1976 -May 1977 First Grade

  August 1977 -May 1978 Second Grade

  August 1978 -May 1979 Third Grade

  August 1979 -May 1980 Fourth Grade

  August 1980 -May 1981 Fifth Grade

  August 1981 -May 1982 Sixth Grade

  August 1982 -May 1983 Seventh Grade

  August 1983 -May 1984 Eight Grade

  August 1984 -May 1985 Junior High - Ninth Grade

  August 1985 -May 1986 Junior High - 10th Grade

  August 1986 - No show! Drop out ??

  Mjomba kapiga mvua kumi tu! Akaja UDSM na wenyewe wakampokea! Wenzake wamepiga aidha mvua 13 za Tanzania au 12 za US. Imekuaje ? National service ka-dodge. Ilikuwaje ?
   
 16. M

  Mama JF-Expert Member

  #16
  Dec 5, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Labda walihesabu na miwili ya preschool.

  Jambo limezua jambo.
   
 17. M

  Mwafrika wa Kike JF-Expert Member

  #17
  Dec 5, 2008
  Joined: Jul 5, 2007
  Messages: 5,194
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Good Job Kuhani,

  Kuna tatizo kubwa sana kwenye education ya Masha na admission yake Mlimani. Itafurahisha kama hili jambo sasa likipewa attention inayotakiwa.

  Mkjj ana msemo kuwa, fulani A akijua hili, fulani B anajua lile...
   
 18. Alnadaby

  Alnadaby JF-Expert Member

  #18
  Dec 5, 2008
  Joined: Sep 28, 2006
  Messages: 507
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kwanza issue kubwa hapa ni Mengi Vs Masha na matukio yaliyojitokeza katika siku hz mbili.Habari ya education ya Masha na admission yake Mlimani itafutiwe post yake.
   
 19. Kinyambiss

  Kinyambiss JF-Expert Member

  #19
  Dec 5, 2008
  Joined: Dec 2, 2007
  Messages: 1,372
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Masha's academic qualifications are not questionable at all...You people are like the mob in the Roman forum.. Yani anything goes.lol.. Angekuwa kasoma some little known university somewhere mngesema ooh! kanunua.. The guy got a law degree from UD.. and as a lawyer i respect that.. His masters from George town... sasa mnataka nini?!

  Kama alirushwa darasa.. labda alikuwa na akili sana. its a non issue to be honest.. JF is full of haters kwakweli n sour losers..

  Huyu jamaa hastahili kuwa waziri maana he doesnt give a toss about anything that doesnt involve him getting richer so that he can continue his affluent lifestyle full of mistresses, expensive cars, a ministerial portfolio and all its related financial and ego-trip enlarging perks. He doesnt give a shit about Tanzania and security, and Ma Albino.. probably anaona (ashakum si matusi) shit happens so its unfortunate lakini acha wafe tuu.

  Tatizo la vongozi wanaojali financial gains and their own power. Amekuwa quoted akisema he wants kuwa PM in the next 15yrs... Lakini hajali tanzania..

  Wafanyabiashara, and by this i mean from all parties, hawawezi kamwe kuisaidia Tanzania. We need patriots. Businessmen are NOt patriotic in most cases. Hawa kina JK, MBowe, sijui Masha, Mkono sijui Berlusconi wote ni wale wale.. Dr, Nyerere was a patriot. Kenyatta was a businessman.. look at his family wealth now and tell me how they got it.lol
  Moi was a businessman, wanigeria huko hata sitaki kugusia. Wanasiasa patriotic ndio tunataka and so far... sijaona in the current political sphere in Tanzania


  WE Dont WANT BUSINESSMEN running the SHOW... AND i MEAN all of theM... I dont care if this is JF where people are aligned to one party or the other. To be honest all these parties are just tools for people to get that moolah...
   
 20. J

  JokaKuu Platinum Member

  #20
  Dec 5, 2008
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,805
  Likes Received: 5,114
  Trophy Points: 280
  ..kwenye nchi za wenzetu kuna kitu kinaitwa advanced placement. kama mwanafunzi anaonekana ana uwezo basi huruhusiwa kufanya kozi za juu zaidi na hivyo kupunguza muda anaotumia ku-graduate.

  ..kama Masha ali-graduate baada ya miaka 10, instead of 12, inawezekana ni kutokana na option hiyo ya advanced placement. hicho siyo kitu cha ajabu hata kidogo. hivi hamjawahi kusikia watoto wa miaka 17 wana-graduate ktk vyuo vikuu?

  ..nimesikia kwamba Laurian Masha alikuwa mmoja kati wa wanafunzi waliofanya vizuri sana ktk mwaka aliohitimu pale kitivo cha sheria. kwa msingi nadhani hoja kwamba alisoma miaka 10 badala ya 12 kabla ya kujiunga na UDSM haina nguvu sana.

  ..kwa uelewa wangu kama National Service ilikuwa kwa ajili ya waliopewa udhamini wa serikali baada ya form 4, au waliotaka udhamini wa serikali wanapokwenda Chuo kikuu and other higher learning institutions.

  ..sasa kama Masha haku-attend high school ya serikali, na hakuchukua udhamini wa serikali pale UDSM, basi hakulazimika kujiunga na JKT.
   
Loading...