Wasifu wa Masha: Maswali na Majibu

Hao haters wa JF ni pamoja na wewe au ni wengine wote isipokuwa wewe?

Ni vizuri kurespect elimu ya Masha.... BTW hata Joji Kichaka amemaliza ivy league... sijui the same heshima itatumika pia hapo?

MWK,

Just setting the record straight with some of these oxymoronic important trivialities

Sentensi yako inaweza kutafsirika kuwa Masha amesoma Ivy League, Georgetown, ingawa ni chuo kinachoheshimika sana, hakipo katika level ya Ivy league.

Ivy league, alphabetically, ni Brown University, Columbia University, Cornell University, Dartmouth College, Harvard University, Princeton University, University of Pennsylvania na Yale University.

Georgetown is in the league of University of Chicago, New York University, Stanford University, Massachussets Institute of Technology, Washington University and the likes. Certainly impressive, but if at all you care enough to rank colleges by using that old moneyed term "Ivy League", second tier anyway.

Tuendelee.
 
Hii mada karibia itakuwa hijacked na watu flani flani na kuanza kuhoji elimu ya Masha kama walivyohoji elimu ya Dokta Masau. Mwishowe utasikia Masha hajasomea sheria na mtu kapiga simu chuo flani.....
 
His academic qualifications are not questionable... inamaana georgetown wamempendelea lol.. au UDSM.. kama alipendelewa admission, akapendelewa na masomo basi na mitihani akafanyiwa basi maana we are good at this JF...lol making shit up ie... Kama ametumia influence kukwepa JKT then well... clinton mwenyewe alikwepa vietnam.. it happens.. kisiasa atakataa lakini in short jamaa kasoma vizuri tuu and that has nothing to do with his character which is questionable.. Kama mnataka academic qualifications fake.. mfuateni Dr. (FAKE) David Mathayo (mtoto wa Msuya) yule ndio hajasoma kafoji... Lakini Masha is an academic and a good lawyer as well... Kahujumu uchumi vizuri sana na watu wa mining serving his clients verywell.. huo ndio mwanzo wa mafanikio yake kisheria.. HAfai tuu kuwa waziri or mume i guess.lol

We mwanamke wakike.. or is it mwafika wakike i think u suffer from delusions of grandeur... Reality check needed.. STAT!
 
MWK,

Just setting the record straight with some of these oxymoronic important trivialities

Sentensi yako inaweza kutafsirika kuwa Masha amesoma Ivy League, Georgetown, ingawa ni chuo kinachoheshimika sana, hakipo katika level ya Ivy league.

Ivy league, alphabetically, ni Brown University, Columbia University, Cornell University, Dartmouth College, Harvard University, Princeton University, University of Pennsylvania na Yale University.

Georgetown is in the league of University of Chicago, New York University, Stanford University, Massachussets Institute of Technology, Washington University and the likes. Certainly impressive, but if at all you care enough to rank colleges by using that old moneyed term "Ivy League", second tier anyway.

Tuendelee.

Mkuu Pundit,

Asante kwa maelezo yako mazuri kuhusu Ivy league.... umekosea kitu kimoja tu ambacho kilihitaji umakini kukiona.

UKiona kwenye post yangu unayoirefer hapo juu, nimemkoti Kinyambisi na kuweka bold kwenye sentensi anayosifia Masha kumaliza law degree UD. Kama ukiona kwa makini, kwenye same breath (sentensi) ameongelea pia master yake ya GT ila mimi niliamua kuweka bold kwenye law degree ya UD.

So kujibu swali lako, sikuwa na nia ya kuiita GT - ivy league. Swala la kusoma mlimani na kumaliza sio issue, kuna wengi wanasoma tu mlimani na hata ivy league na kumaliza lakini hiyo tu haifanyi wasiulizwe mazingira ya utata kwenye elimu zao.
 
Mwanamke muafrika anataka kuhijak thread aanze tena kuhesa bu madarasa ya Masha from preskul.. So wat kama ametumia some loophole kukwepa JKT. It was a smart move for him as a non-patriot.. We want patriots to be our leaders and not businessmen.. including huyo mungu wako.. u know who..
 
..kwenye nchi za wenzetu kuna kitu kinaitwa advanced placement. kama mwanafunzi anaonekana ana uwezo basi huruhusiwa kufanya kozi za juu zaidi na hivyo kupunguza muda anaotumia ku-graduate.

..kama Masha ali-graduate baada ya miaka 10, instead of 12, inawezekana ni kutokana na option hiyo ya advanced placement. hicho siyo kitu cha ajabu hata kidogo. hivi hamjawahi kusikia watoto wa miaka 17 wana-graduate ktk vyuo vikuu?

..nimesikia kwamba Laurian Masha alikuwa mmoja kati wa wanafunzi waliofanya vizuri sana ktk mwaka aliohitimu pale kitivo cha sheria. kwa msingi nadhani hoja kwamba alisoma miaka 10 badala ya 12 kabla ya kujiunga na UDSM haina nguvu sana.

..kwa uelewa wangu kama National Service ilikuwa kwa ajili ya waliopewa udhamini wa serikali baada ya form 4, au waliotaka udhamini wa serikali wanapokwenda Chuo kikuu and other higher learning institutions.

..sasa kama Masha haku-attend high school ya serikali, na hakuchukua udhamini wa serikali pale UDSM, basi hakulazimika kujiunga na JKT.

Kama Masha alifanyiwa advanced placement anaweza kusema tu na kuweka hii issue to rest. Hakuna aliyebisha hicho. Haya yote yamekuja baada ya issue ya Masha kujiunga UD bila kwenda JKT kama vile watanzania wengine wote wa miaka hiyo walivyotakiwa kufanya (bila kujali kama wamesomea Russia au Zimbabwe).
 
Hey umeacha Vanderbilt na Emory....wee vipi bana

Kama unasema nimeziacha katika Ivy League Vanderbilt na Emory sio Ivy League, zinaitwa "Southern Ivy", category moja na Duke.

Kama unasema nimeziacha katika second tiers, nilisema "and the likes" maana yake zinaweza kuwa "too numerous to mention"

Kuna wengine huku kaskazini hata hawachukulii huko kama sehemu ya US, hizo bado ni "Confederate States" but thats a whole new thread.

Masha anazidisha michemko by the day, shooting himself in the foot like Plaxico Burress.
 
Mwanamke muafrika anataka kuhijak thread aanze tena kuhesa bu madarasa ya Masha from preskul.. So wat kama ametumia some loophole kukwepa JKT. It was a smart move for him as a non-patriot.. We want patriots to be our leaders and not businessmen.. including huyo mungu wako.. u know who..

Mhhhh ... soma vizuri thread hii, aliyehesabu madarasa ya Masha from pre-school sio mimi. BTW, kama nikitaka kufanya hivyo, I can do it in a minute na sidhani kama wewe utakuwa na tatizo na hilo.

Kama kazi yako ni kuamuru nini niandike kwenye hii thread, basi tafuta nyingine maana so far nitaandika chochote kile ninachotaka. Au una tatizo na hilo pia?

Masha alijiunga UD bila kupitia JKT, hayo yaliletwa hapa na watu wengi tu ambao wanamjua Masha. Mimi naendeleza debate kama kawaida ya JF - dare to talk openly.... au vipi? una tatizo na hilo pia?
 
Mkuu Pundit,

Asante kwa maelezo yako mazuri kuhusu Ivy league.... umekosea kitu kimoja tu ambacho kilihitaji umakini kukiona.

UKiona kwenye post yangu unayoirefer hapo juu, nimemkoti Kinyambisi na kuweka bold kwenye sentensi anayosifia Masha kumaliza law degree UD. Kama ukiona kwa makini, kwenye same breath (sentensi) ameongelea pia master yake ya GT ila mimi niliamua kuweka bold kwenye law degree ya UD.

So kujibu swali lako, sikuwa na nia ya kuiita GT - ivy league. Swala la kusoma mlimani na kumaliza sio issue, kuna wengi wanasoma tu mlimani na ivy league na kumaliza lakini hiyo tu haifanyi wasiulizwe mazingira ya utata kwenye elimu zao.

Kwa kutambua kuwa, unaweza kabisa kutomaanisha unachoweza kutafsirika kumaanisha, ndiyo maana nikasema

Sentensi yako inaweza kutafsirika kuwa Masha amesoma Ivy League

Ni vizuri tuwe makini kuandika vizuri sio tu ili tuseme tunachotaka kusema, bali pia tuseme tunachotaka kusema bila kutoa mwanya wa kutafsirika tusivyotaka kutafsirika.

Ukisema "hata Bush kasoma Ivy League" katika thread yenye element za kuuchambua usomi wa Masha unaweza kuonekana unafanya parallel ya Ivy League education ya Bush na Ivy League education ya Masha (precisely why I bolded the operative word hata)

Ungesema tu "George Bush kasoma Ivy League" sentensi ingeweza kuondoa hiyo parallelism ambayo ingeondoa utata unaoweza kusababisha utafsiriwe kuwa ulisema Masha kasoma Ivy league.

Masha is taking a turn into sinking into an irredeemably totalitarian born-with-a-silver-spoon-in-my-mouth-brat mentality, hardly a leadership quality.

mengi is a tax dodger cum showmaster shopping for insurance policy. He has had tax problems for decades, even before Masha was in government.

This is the epitomy of the Tanzanian political circus.

And thats the ugly, balanced unbiased truth.
 
His academic qualifications are not questionable... inamaana georgetown wamempendelea lol.. au UDSM.. kama alipendelewa admission, akapendelewa na masomo basi na mitihani akafanyiwa basi maana we are good at this JF...lol making shit up ie... Kama ametumia influence kukwepa JKT then well... clinton mwenyewe alikwepa vietnam.. it happens.. kisiasa atakataa lakini in short jamaa kasoma vizuri tuu and that has nothing to do with his character which is questionable.. Kama mnataka academic qualifications fake.. mfuateni Dr. (FAKE) David Mathayo (mtoto wa Msuya) yule ndio hajasoma kafoji... Lakini Masha is an academic and a good lawyer as well... Kahujumu uchumi vizuri sana na watu wa mining serving his clients verywell.. huo ndio mwanzo wa mafanikio yake kisheria.. HAfai tuu kuwa waziri or mume i guess.lol

We mwanamke wakike.. or is it mwafika wakike i think u suffer from delusions of grandeur... Reality check needed.. STAT!

Ahaaa haaa.... yamefika huku tena... ile confidence imepotelea wapi mpaka vimeanza viroja? kuna kazi kweli kweli
 
Kwa kutambua kuwa, unaweza kabisa kutomaanisha unachoweza kutafsirika kumaanisha, ndiyo maana nikasema

Ni vizuri tuwe makini kuandika vizuri sio tu ili tuseme tunachotaka kusema, bali pia tuseme tunachotaka kusema bila kutoa mwanya wa kutafsirika tusivyotaka kutafsirika.

Ukisema "hata Bush kasoma Ivy League" katika thread yenye element za kuuchambua usomi wa Masha unaweza kuonekana unafanya parallel ya Ivy League education ya Bush na Ivy League education ya Masha (precisely why I bolded the operative word hata)

Ungesema tu "George Bush kasoma I vy League" sentensi ingeweza kuondoa hiyo parallelism ambayo ingeondoa utata unaoweza kusababisha utafsiriwe kuwa ulisema Masha kasoma Ivy league.

Masha is taking a turn into sinking into an irredeemably totalitarian born-with-a-silver-spoon-in-my-mouth-brat mentality, hardly a leadership quality.

mengi is a tax dodger cum showmaster shopping for insurance policy. He has had tax problems for decades, even before Masha was in government.

This is the epitomy of the Tanzanian political circus.

Fair enough... I see your point. Asante kwa kufafanua maana inawezekana kuna wengi walichukulia ulivyochukulia kabla ya kuona kuwa kulikuwa na sababu kwenye matumizi ya bold kwenye kwoti yangu.

Asante.....
 
Masha's academic qualifications are not questionable at all...You people are like the mob in the Roman forum.. Yani anything goes.lol.. Angekuwa kasoma some little known university somewhere mngesema ooh! kanunua.. The guy got a law degree from UD.. and as a lawyer i respect that.. His masters from George town... sasa mnataka nini?!

Kama alirushwa darasa.. labda alikuwa na akili sana. its a non issue to be honest.. JF is full of haters kwakweli n sour losers..

Huyu jamaa hastahili kuwa waziri maana he doesnt give a toss about anything that doesnt involve him getting richer so that he can continue his affluent lifestyle full of mistresses, expensive cars, a ministerial portfolio and all its related financial and ego-trip enlarging perks. He doesnt give a shit about Tanzania and security, and Ma Albino.. probably anaona (ashakum si matusi) shit happens so its unfortunate lakini acha wafe tuu.

Tatizo la vongozi wanaojali financial gains and their own power. Amekuwa quoted akisema he wants kuwa PM in the next 15yrs... Lakini hajali tanzania..

Wafanyabiashara, and by this i mean from all parties, hawawezi kamwe kuisaidia Tanzania. We need patriots. Businessmen are NOt patriotic in most cases. Hawa kina JK, MBowe, sijui Masha, Mkono sijui Berlusconi wote ni wale wale.. Dr, Nyerere was a patriot. Kenyatta was a businessman.. look at his family wealth now and tell me how they got it.lol
Moi was a businessman, wanigeria huko hata sitaki kugusia. Wanasiasa patriotic ndio tunataka and so far... sijaona in the current political sphere in Tanzania

WE Dont WANT BUSINESSMEN running the SHOW... AND i MEAN all of theM... I dont care if this is JF where people are aligned to one party or the other. To be honest all these parties are just tools for people to get that moolah...

Ngugu Kinyambiss hapo ndio tunakwama...Kwasababu hizo ndiyo kauli mbiu za ccm...Lakini unakuta wanachukuwa cheki za mamia ya mamilioni kutoka kwa wafanyabiashara waasia halafu inapokuja kwenye maamuzi ya serikali basi ni lazima walipe fadhila..Kwahiyo unapowanyanyapaa wafanyabiashara na huku ukweli ukiwa ni wazi kuwa wana influence behind the scenes kwa viongozi wetu...then ni wazi si njia sahihi ya kutatua tatizo hili.
System ndiyo mbovu na kusema ukweli hata hao viongozi ambao hawakuwa wafanyabiashara wamegeuka wafanya biashara tena si wafanyabiashara bali waporaji.
 
Mwafrika-wa-Kike,

..kama Laurian Masha hakudhaminiwa na serikali wakati wowote ule wa masomo yake then hakulazimika kujiunga na JKT. zingatia phrase, UDHAMINI WA SERIKALI.

..kwenye nchi za wenzetu kuna kitu kinaitwa "meeting graduation requirements." pamoja na kwamba chuo kikuu wanasema 1st degree ni miaka 4, kuna wanaomaliza in 3 yrs. hata high school kuna wanaomaliza in 10 yrs or even fewer, than 12 yrs.

..watu wange-confine hoja zao kwa utendaji wa Laurian Masha ningejikalia pembeni tu. lakini nadhani kuna wachangiaji wameacha chuki binafsi ziwatawale na hicho siyo kitu kizuri ktk mijadala kama hii.
 
Kama unasema nimeziacha katika Ivy League Vanderbilt na Emory sio Ivy League, zinaitwa "Southern Ivy", category moja na Duke.

Kama unasema nimeziacha katika second tiers, nilisema "and the likes" maana yake zinaweza kuwa "too numerous to mention"

Kuna wengine huku kaskazini hata hawachukulii huko kama sehemu ya US, hizo bado ni "Confederate States" but thats a whole new thread.

Masha anazidisha michemko by the day, shooting himself in the foot like Plaxico Burress.

I was just trying to bring some levity in here. I know they are not IVY League, but who cares....

Na cha ajabu 1 in 2 people here are either from NY or Boston...a whole bunch of transplants......hehehehehe
 
Mwafrika-wa-Kike,

..kama Laurian Masha hakudhaminiwa na serikali wakati wowote ule wa masomo yake then hakulazimika kujiunga na JKT. zingatia phrase, UDHAMINI WA SERIKALI.

..kwenye nchi za wenzetu kuna kitu kinaitwa "meeting graduation requirements." pamoja na kwamba chuo kikuu wanasema 1st degree ni miaka 4, kuna wanaomaliza in 3 yrs. hata high school kuna wanaomaliza in 10 yrs or even fewer, than 12 yrs.

..watu wange-confine hoja zao kwa utendaji wa Laurian Masha ningejikalia pembeni tu. lakini nadhani kuna wachangiaji wameacha chuki binafsi ziwatawale na hicho siyo kitu kizuri ktk mijadala kama hii.

sheria ya Tanzania ya wakati huo inasemaje?

Je inasema kuwa wanaodhaminiwa na serikali peke yao ndio wanatakiwa kwenda JKT au inasema vinginevyo?

Ukiweka kipengele hicho cha sheria hapa utafanya vizuri zaidi kwenye argument yako ya kutetea kitendo cha Masha kutokwenda JKT kama vijana wengine wa kitanzania waliosoma wakati wake.
 
Mwafrika wa Kike,

..kuna wahindi walikuwa wamesoma kivyao-vyao na wanajidhamini UDSM hawakudaiwa vyeti vya JKT.

..kwa uelewa wangu JKT ilikuwa ni kwa wale waliosomeshwa na serikali baada ya form 4, au waliotaka udhamini wa serikali chuo kikuu na vyuo vingine vya elimu ya juu.
 
Kakwepa JKT sooo WHAT? irrelavant here.

Kamtishia Mengi, so what? It's irrelevant here.

Ndio maana akina Lowassa wanashangiliwa kwao baada ya kupoteza kazi kwa ufisadi.

Ndio maana akina Nchimbi wanatamba na degree zao fake huku Watanzania bado tunaona sio muhimu sana.

Aliyesema mdharau madogo, makubwa humkumba, hakukosea.
 
Kakwepa JKT sooo WHAT? irrelavant here.[/QUOT

...It is, kama ilikuwa sheria inataka vijana wote wanaomaliza kidato cha sita kujiunga kwanza na JKT kabla ya 'kuelekea' UD. Atatakiwa afafanue ilikuwaje yeye sheria hiyo haikumbana...
 
Mwafrika-wa-Kike,

..kama Laurian Masha hakudhaminiwa na serikali wakati wowote ule wa masomo yake then hakulazimika kujiunga na JKT. zingatia phrase, UDHAMINI WA SERIKALI.

JokaKuu,

Hapo juu hauko sahihi. Fuatilia data za watu ambao walikuwa wanajisomesha au wanasomeshwa na mashirika yasiyo ya kiserikali, nao ilikuwa lazima waonyeshe vyeti vya JKT.

Kuna watu walisoma international schools toka utoto wao na bado walienda JKT.

Ni kwa wale tu ambao hawakuwa raia au walikuwa na sababu zingine, hiyo requirement haikuwa muhimu. Kwa Mtanzania hiyo ilikuwa ni lazima bila kujali unataka udhamini wa serikali au la.

Kuna kitu Masha anaficha ndio maana ni muhimu kwa waandishi wa habari kuhakikisha wanapata majibu sahihi.
 
Back
Top Bottom