Wasifu wa Masha: Maswali na Majibu

Wasifu wa Masha: Maswali na Majibu

Mwawado,
Nakuaminia ndugu yangu. Naona wewe umeamua kupasua pale wengine tulipokuwa tunamung'unya.
 
Ndio maana siku za huko nyuma niliwahi kusema kuwa huyu Masha hana nguvu ya kushughulikia mambo yanayohusu Uraia wa watu,kwa sababu hata Uraia wake una walakini.....muangalieni vizuri huyo,maana kipindi alichokaa Marekani kuna habari kuwa alishawahi kuomba Uraia sio kuishi na Green Card tu.Huyu Bwana alishawahi kuandika email ndefu wakati alipokuwa anaondoka USA ambayo ilikuwa na maelezo mengi kuhusu haja ya kulitumikia Taifa,ukiisoma vyema email ile utagundua wazi kuwa alikuwa ameahidiwa wadhifa fulani...Kwa kumpamba na kuanza kumtengenezea njia mama Mwenegoha akamualika awahutubie vijana pale American Embassy na kuwaambia umuhimu wa kurudi nyumbani kulitumikia Taifa.Kuanzia hapo akaanza kujitengenezea njia ikiwa ni pamoja na kumuajiri Mshauri Mkuu wa Rais,Ridhiwan kufanya intern yake kwenye kampuni yao ya Uwakili (IMMMA).Masha kama walivyo viongozi wengine wengi ni opportunist na wala si msafi na makini kama anavyozungumzwa hapa.

Kuna kila Haja ya kuanzishwa vetting ktk muundo wetu wa kuomba Kazi za kuwatumikia Watanzania....Huu mtindo wa Watanzania wababaishaji kujiona bora au patriotic kuliko wenzao unauma sana.Katika Jimbo la Nyamagana Masha alikuwa na Wapinzani wawili Ezekiah Wenje wa Chadema na Omar Mbalamwezi wa CUF,lakini wote wameondolewa na Tume ya Uchaguzi na kumbakisha Masha peke yake.Bado tutasikia mengi kuelekea Oktoba/2010.

Kuna mambo mengine ya kisanii na kihuni kweli hadi yanatia kinyaa, hebu tujikumbushe utata wa mgombea wa CCM kwenye uchaguzi mdogo wa Biharamulo ulivyoshughulikiwa. Aliyeteuliwa na CCM kugombea ubunge aliitwa Oscar Mukasa na Rekodi zake zote za nyuma zilionyesha kuwa mhusika alijulikana kwa maisha yake toka utotoni kama Oscar Mukasa. Lakini baada ya uteuzi rasmi, CCM kwa kutambua hili jina lingeleta utata kwani ni la asili ya kiganda, kulifanyika jitihada za ziada kulizika jina Mukasa na badala yake kulibuni jina Rwegasira. Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, Jaji Lewis Makame kama kawaida pamoja na pingamizi kutoka kwa wapinzani, akalifumbia macho na kulipitisha jina Oscar Rwegasira.

Majuzi tu tumeshuhudia yale ya Hussein Bashe na Dr. Hussein Andrea yalivyoshughulikiwana na pia pingamizi za wagombea CCM zinavyokubaliwa na zile za upinzani kutupwa. CCM wamegundua kuwa wizi peke yake mwaka huu hautatosha na mbinu chafu za ziada zahitajika kumwokoa huyu msanii na mojawapo ni ushindi wa mezani bila jasho unaosimamiwa na Jaji Makame na wasaidizi wake.

Tunao wajibu wa kutonyamazia hivi vitendo vya kuhujumu demokrasia na kuwanyooshea kidole wale wote walio mstari wa mbele kuwanyima haki watanzania uwezo wa kuwachagua viongozi wenye uwezo na si wanaokimbia midahalo na kuanguka majukwaani.
 
Mkuu, shukrani kwa maneno haya ya kutufungua tulio wengi, hasa kunikumbusha hili la Rwegasira!
 
mbogela, we'll get to the bottom of this. School year begins in the fall. Alright, hang tight with me there:

August 1976 -may 1977 first grade

august 1977 -may 1978 second grade

august 1978 -may 1979 third grade

august 1979 -may 1980 fourth grade

august 1980 -may 1981 fifth grade

august 1981 -may 1982 sixth grade

august 1982 -may 1983 seventh grade

august 1983 -may 1984 eight grade

august 1984 -may 1985 junior high - ninth grade

august 1985 -may 1986 junior high - 10th grade

august 1986 - no show! Drop out ??

mjomba kapiga mvua kumi tu! Akaja udsm na wenyewe wakampokea! Wenzake wamepiga aidha mvua 13 za tanzania au 12 za us. Imekuaje ? National service ka-dodge. Ilikuwaje ?

lol!!!!!!!!!!!!
 
Kusoma mtu anaweza kusoma kila sehemu Duniani ila tu kwa kufuata sheria husika hivyo tatizo sio masha ila ni kutumia nafasi yake kwa ajili ya kuumuza wengine
 
Aisee kazi ipo mwaka huu sio mchzo speed 120.....

Ndio maana siku za huko nyuma niliwahi kusema kuwa huyu Masha hana nguvu ya kushughulikia mambo yanayohusu Uraia wa watu,kwa sababu hata Uraia wake una walakini.....muangalieni vizuri huyo,maana kipindi alichokaa Marekani kuna habari kuwa alishawahi kuomba Uraia sio kuishi na Green Card tu.

Huyu Bwana alishawahi kuandika email ndefu wakati alipokuwa anaondoka USA ambayo ilikuwa na maelezo mengi kuhusu haja ya kulitumikia Taifa,ukiisoma vyema email ile utagundua wazi kuwa alikuwa ameahidiwa wadhifa fulani...Kwa kumpamba na kuanza kumtengenezea njia mama Mwenegoha akamualika awahutubie vijana pale American Embassy na kuwaambia umuhimu wa kurudi nyumbani kulitumikia Taifa.Kuanzia hapo akaanza kujitengenezea njia ikiwa ni pamoja na kumuajiri Mshauri Mkuu wa Rais,Ridhiwan kufanya intern yake kwenye kampuni yao ya Uwakili (IMMMA).Masha kama walivyo viongozi wengine wengi ni opportunist na wala si msafi na makini kama anavyozungumzwa hapa.

Kuna kila Haja ya kuanzishwa vetting ktk muundo wetu wa kuomba Kazi za kuwatumikia Watanzania....Huu mtindo wa Watanzania wababaishaji kujiona bora au patriotic kuliko wenzao unauma sana.Katika Jimbo la Nyamagana Masha alikuwa na Wapinzani wawili Ezekiah Wenje wa Chadema na Omar Mbalamwezi wa CUF,lakini wote wameondolewa na Tume ya Uchaguzi na kumbakisha Masha peke yake.Bado tutasikia mengi kuelekea Oktoba/2010.
 
Aisee kazi ipo mwaka huu sio mchzo speed 120.....

Tanzania ni shamba la bibi, kila mtu anaweza kuja kuvuna na kuondoka. Wakuu lazima tujue kuwa bado kuna weakness nyingi sana Tanzania. Si Masha peke yake mwenye tatizo la uraia, kuna watu mpaka wamewahi kuwa magavana wa BOT walikuwa si raia. Ukiweza kupenyeza rupia Tanzania unaweza kufanya kila kitu.

Ndio maana unaona mafisadi leo wako happy kabisa na wanatamba na wengine wanagombea ubunge na watashinda tu, tena wengine hata watateuliwa kuwa mawaziri. This can only happen in Tanzania, kuna weza kukawa na hope kama Upinzani utainingia madarakani, iwe ni kwa Slaa kushinda au kwa upinzani kuwa na majority bungeni.

Otherwise we are doomed, na CCM ikishinda na kuendelea na utaratibu huu wa sasa tutaendelea kuwa doomed, mpaka tutakapoamka.
 
duu, kumbe ufisadi huanzia utotoni! huyo bwana hata sura yake tu imekaa kijanjajanja hata marekani inaelekea formal education hakuipitia!
 
Nziku,

Masha amesoma USA ambako system yao ni tofauti. Lakini pia alicheza na system kwa kuja kufanya degree ya kwanza TZ ili kukwepa njia ndefu ya kupata law degree kwa USA. Alivypata bachelor yake akarudi USA kusoma masters.

Ndio maana inaonekana kasoma degree hizo mbili akiwa mdogo sana.

Masha ana maswali mengi sana ya kujibu. Mimi nimewahi kuandika kwa kirefu juu ya mambo yake. Binafsi nilikuwa na Masha hapo mlimani japo nilikuwa faculty tofauti. Wakati ule tulikuwa tunamjua kama Mmarekani.

Kitu kinachonishangaza ni kwamba, anasema yeye muda wote amekuwa Mtanzania. Sawa, lakini kwa mwaka 1986/87 ili kuingia mlimani ilitakiwa kupitia JKT hata kama umesoma nje. Masha alikwepa hiki kipengere nafikiri kwa kutumia Umarekani wake.

Watanzania tunadanganywa sana na hawa wanasiasa ambao hawawezi kuongea ukweli muda wote.

Mimi ningetaka waandishi wa habari wambane Masha na aseme kweli, aliwezaje kuingia mlimani bila kupitia JKT?

Jamani ukweli ni kwamba Masha hakupita JKT, lakini Dr Hassan Ally Mwinyi kapitia JKT?.
 
Lawrence Kego Masha

Partner
Admitted to the Bar, 1996.

Practice Areas:

Natural Resource Law; Banking & Finance; Privatization; Corporate Restructuring; Securities; Conveyancing.

Brief biography:

Born in Sengerema , Tanzania , March 11, 1970.

Education:

University of Dar es Salaam (LL.B., Hons., 1991);

Georgetown University (LL.M., 1993).

Work experience:

State Attorney, 1991;

Company Secretary and Managing Director, Tanzania Oxygen Limited, 1996-1997;
Council Member, Dar Es Salaam Stock Exchange.

Member:

Tanganyika Law Society

East African Law Society

Languages:

English and Swahili.

Email:
masha@immma.co.tz

(NB: Mr. Masha is currently on sabbatical leave following his appointment as Deputy Minister in Tanzania’s Fourth Phase Government. Mr. Masha, who was initially appointed Deputy Minister of Energy and Minerals, is currently the Deputy Minister of Home Affairs in the Government of the United Republic of Tanzania

Masha kazaliwa 1970 na kamaliza LLB (UD) 1991...ina maana aliingia UD akiwa 17 yrs old?

Halafu hapa ndio mnasema kuwa upinzani utashinda uchaguzi ujao. Watanzania bwana.
 
duh!
inavyoonekana huyu mkulu Field Marshall ES amesaidia watu wengi sana, maana asilimia kubwa ya anaowataja anasema amewasaidia, either kwa kuishi kwake, ama kikazi ama kuwakutanisha na wakubwa,
 
Last edited by a moderator:
Nziku,

Masha amesoma USA ambako system yao ni tofauti. Lakini pia alicheza na system kwa kuja kufanya degree ya kwanza TZ ili kukwepa njia ndefu ya kupata law degree kwa USA. Alivypata bachelor yake akarudi USA kusoma masters.

Ndio maana inaonekana kasoma degree hizo mbili akiwa mdogo sana.

Masha ana maswali mengi sana ya kujibu. Mimi nimewahi kuandika kwa kirefu juu ya mambo yake. Binafsi nilikuwa na Masha hapo mlimani japo nilikuwa faculty tofauti. Wakati ule tulikuwa tunamjua kama Mmarekani.

Kitu kinachonishangaza ni kwamba, anasema yeye muda wote amekuwa Mtanzania. Sawa, lakini kwa mwaka 1986/87 ili kuingia mlimani ilitakiwa kupitia JKT hata kama umesoma nje. Masha alikwepa hiki kipengere nafikiri kwa kutumia Umarekani wake.

Watanzania tunadanganywa sana na hawa wanasiasa ambao hawawezi kuongea ukweli muda wote.

Mimi ningetaka waandishi wa habari wambane Masha na aseme kweli, aliwezaje kuingia mlimani bila kupitia JKT?

Abanwe kisa kutokupita J.K.T? Mbona watz tunakuwa wavivu wa kufikili vitu vya mcngi?
Akibanwa iweje sasa? Aende sahv ili akapitie JKT?
Akipita wewe itakusaidia nini?
Umarekani uko wapi hapa? Ni wakuzaliwa, kuomba au?
Mzaliwa wa Sengerema ni mmarekan? Kaomba uraia?
Siasa hizi zitaliangamiza taifa , km tunataka maendeleo kwa kutaka waandishi wahoji watu mambo ya JKT naona akili zetu zinaanza kuvia!!!
 
Hivi Mhe. Masha alianza shule ya msingi akiwa na miaka 3? au hajasoma kwa kufuta mfumo wa darasa 1 - 7, form I - IV na V - VI? au kunachenga hapa.
Masha amejiunga UDSM akitokea Marekani. Amesoma Marekani tangia chekechea. Tulikuwa naye Hall Two akiitwa Law Mash.
 
Hayo yote aliyapata ikiwa ni pamoja na uwazir kwasababu mkulu alikuwa anafikia nyumbani kwa baba Masha sana kipindi anaenda enda Us.Kwahiyo alikuwa anawakuta wakina masha kule kama watoto wa mjini.
 
Back
Top Bottom