Wapi naweza kubadili fedha za kigeni?

Wapi naweza kubadili fedha za kigeni?

Habari za asubuhi wana jukwaa, poleni na mfungo wa Ramadhani na Kwaresma, naomba msaada wa kufahamishwa wapi pa kubadilishia fedha za kigeni kwa hapa Dar.

AsantenišŸ˜ŠšŸ™
Nenda Fast bureau de change Kariakoo barabara ya Msimbaz opposite na kituo cha polisi Msimbaz
 
Back
Top Bottom