kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,363
- 16,092
Mkuu hiyo rate wapi location?Si nakupatia TZS 2,700 kwa USD 1
Story zakKivipi mkuu?
Ok we nenda bank iliyokaribu naweDollar 1 na euro 5
Hapan mkuu mimi mgeni huyo memba hata simjui kabisaStory zak
hapana hata izo wanabadili piaWanaanza kubadili zikiwa nyingi?
Sawa mkuu, ngoja nikabadili nikale kitimotoOk we nenda bank iliyokaribu nawe
Sawa ngoja nifike CRDBhapana hata izo wanabadili pia
Ukishabadili usisahau kunialika nije tumle my wetu, umesema upo mbezi? Ipi?Sawa mkuu, ngoja nikabadili nikale kitimoto
Poa tajiri madolariSawa ngoja nifike CRDB
😁😁😁🙌sitaki wageni kwenye mloUkishabadili usisahau kunialika nije tumle my wetu, umesema upo mbezi? Ipi?
😁😁😁Sawa mkuu, ngoja nikabadili nikale kitimoto
Uchoyo tu umekujaa nilitaka nije nilipie kilo nyingine 1😁😁😁🙌sitaki wageni kwenye mlo
😁😁😁uchoyo ndiyo asili yetu wanawake, haujui?Uchoyo tu umekujaa nilitaka nije nilipie kilo nyingine 1
We zombiii😁😁😁uchoyo ndiyo asili yetu wanawake, haujui?
mmmhh😁😁😁uchoyo ndiyo asili yetu wanawake, haujui?
Nimeipata mtandaoni, hiyo inaweza kuwa rate ya kununua Mkuu, nilikuwa namzingua tu.Mkuu hiyo rate wapi location?
Kuna nchi nimewahi kuishi wao kule bei ya Dollar na Euro kwa black markets (zipo nyingi na ni open) ni mara mbili ya ile official rate, sijajua kama Tanzania tunaweza kuwa na mazingira hayo.Mkuu hiyo rate wapi location?
Tokea lini hiyo mkuu?Ofisi yoyote ya ccm iliokaribu nawe