kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,363
- 16,092
- Thread starter
- #21
Nipo mbezi mkuuUpo dar sehemu gani ili tukuekeleze sehemu iliyo karibu. Binafsi napendelea mlimanj city KADOO
Nipo mbezi mkuuUpo dar sehemu gani ili tukuekeleze sehemu iliyo karibu. Binafsi napendelea mlimanj city KADOO
🫥🥲🥲sitakiDollar 2 achana nazo weka tu makumbusho sababu ni hela kidogo mno
BankHabari za asubuhi wana jukwaa, poleni na mfungo wa Ramadhani na Kwaresma, naomba msaada wa kufahamishwa wapi pa kubadilishia fedha za kigeni kwa hapa Dar.
Asanteni😊🙏
mbez iipi magufuli/beach.nenda M city hakuna complications kikubwa uwe na Nation ID/passportNipo mbezi mkuu
Una utoto sana we dada sjui kka.Sijui zilipo mkuu ningekuwa najua nisingeuliza
Utapewa pesa ndogo sana, dola 1 hadi 5 huwa tunabaki nazi kama makumbusho tu🫥🥲🥲sitaki
Nina dollar na euro kadhaaUtapewa pesa ndogo sana, dola 1 hadi 5 huwa tunabaki nazi kama makumbusho
Binti Sayuni03 maana yake ni usafi wa mwili na roho yaani bikra...kwa kiebrania.Una utoto sana we dada sjui kka.
😁😁😁ila wewe, aya asante.Una utoto sana we dada sjui kka.
Ningelitendea haki kivipiBinti Sayuni03 maana yake ni usafi wa mwili na roho yaani bikra...kwa kiebrania.
Natamani angelitendea haki
Mlimani City mule ndani si ndiyombez iipi magufuli/beach.nenda M city hakuna complications kikubwa uwe na Nation ID/passport
Benki yoyote?Bank
Zipo sehemu zaidi ya milioni, swali la kijinga kabisa.
Dah! Hamna bwana nimeokota😁😁😁🙌Usinambie ex wako wa kizungu jana kakupa kibunda cha dollars 😹😹😹
Mi naomba afu tatu ukichange au nikusindikize mdogo angu 😜
Lazima atakuwa kajilipa mshahara huyu 😹😹Bila shaka umepita na waleti ya myunani kutoka ugiriki 😆
Kweli sijui zilipo kwa huku mbeziLabda hajui kweli 😂😂😂
😁Dah! Jamani nimeokota dollar2 😁😁😁
Kweli sijui zilipo kwa huku mbezi
Crdb, nmb hapa hukosiBenki yoyote?