Acha uzwazwa kwani benki huzijui?Habari za asubuhi wana jukwaa, poleni na mfungo wa Ramadhani na Kwaresma, naomba msaada wa kufahamishwa wapi pa kubadilishia fedha za kigeni kwa hapa Dar.
Asanteni😊🙏
Pesa haifiki dollar 10 wamekupigisha processes zipi sasa na kwa nini?Nimefanikiwa kuchange hizi pesa benki lakini process zilikuwa nyingi
Process Gani ? Na walitaka nini na Nini?Nimefanikiwa kuchange hizi pesa benki lakini process zilikuwa nyingi
Doh hatari ase, kumbe.Juu ya 2700 ni mara chache sana
Tayari
Kujaza fomu zao, wametaka hiyo NIDA nilikuta kuna foleni so nikakaa kusubiriPesa haifiki dollar 10 wamekupigisha processes zipi sasa na kwa nini?
Pia, wamekupa kwa rate ya ngapi?
Sijakuuliza wewe mdudu nimewauliza watuAcha uzwazwa kwani benki huzijui?
Nilikuta foleni, nilipewa fomu nijaze nikaombwa na hiko kitambulisho cha NIDA wakakitoa copyProcess Gani ? Na walitaka nini na Nini?
Wewe nenda... Acha kukariri mamboSerena Hotel tokea lini wakabadili fedha?
bureau de change hakna urasimuKujaza fomu zao, wametaka hiyo NIDA nilikuta kuna foleni so nikakaa kusubiri
Dollar 1 sawa na elf2 mia6
Hapo ilikuwa bankbureau de change hakna urasimu