Nikilewa mniache
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 19,276
- 51,859
Hacheki na wowote😁Lazima atakuwa kajilipa mshahara huyu 😹😹
Hacheki na wowote😁Lazima atakuwa kajilipa mshahara huyu 😹😹
Ngoja nikajaribu CRDBCrdb, nmb hapa hukosi
Uongo huo sasaYani mm nipo huku Nanjirinji najua Dar, Bureau de Change zipo kila mahali...
Haya kwa kuanzia nenda hapo Serena Hotel, utapata huduma.
Yeah! Ngoja niende sasaLakini baadhi hapo juu wamekuelekeza tayari
Ukikosa uniambieNgoja nikajaribu CRDB
Umetumia lugha gani? Maana juzi ulisema unatamani kujifunza kingeUsimsikilize huyo nimepewa zawadi na mzungu kwa kumuelekeza njia😁😁
Kiasi gani unachoHamna mkuu sipo hivyo hata nimepewa zawadi na mzungu😁😁
Anamaanisha Uliishi🤭Ningelitendea haki kivipi
Kama ni dola chini ya 10 abaki nayo tu azijazie.Utapewa pesa ndogo sana, dola 1 hadi 5 huwa tunabaki nazi kama makumbusho tu
Sasa uongo gani hapo??Uongo huo sasa
Acha kumsumbua mwenzio wakati hapo mbezi kuna bank nyingi..mbez iipi magufuli/beach.nenda M city hakuna complications kikubwa uwe na Nation ID/passport
bank za kitanzanuia wasumbufu,maswali kibao utazani umeibaAcha kumsumbua mwenzio wakati hapo mbezi kuna bank nyingi..
Serena Hotel tokea lini wakabadili fedha?Sasa uongo gani hapo??
Ngoja niende huko Mlimani Citybank za kitanzanuia wasumbufu,maswali kibao utazani umeiba
Wanaanza kubadili zikiwa nyingi?Kama ni dola chini ya 10 abaki nayo tu azijazie.
Mbona nalitendea hakiAnamaanisha Uliishi🤭
Mbona nalitendea hakiAnamaanisha Uliishi🤭
Nina dollar na euroKiasi gani unacho