kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,363
- 16,092
- Thread starter
- #61
Nimetumia hiko hiko ila cha kuunga ungaUmetumia lugha gani? Maana juzi ulisema unatamani kujifunza kinge
Nimetumia hiko hiko ila cha kuunga ungaUmetumia lugha gani? Maana juzi ulisema unatamani kujifunza kinge
Ninazo kidogo tu🥲Hii nayo kali.
Uweza kuwa na dolari ila ushindwe pa kuzibadilishia
Sawa japo nasikia wana maswali mengiUkikosa uniambie
Uko mbali nizingezinunuaSawa japo nasikia wana maswali mengi
Jamani mbona hili swali halihusiani na maex enewei asante ngoja nijaribu CRDB nikikosa Niende Mlimani CityNaona unaenda kutana na kijana aliye rafiki wa ex wako kwenye hrkt na kufakamia pombe
Fika KADOO Bureau exchange posta, ama Mlimani city, au tembelea tawi la banki lililo karibu nawe.
ndo akupe dola mbili...🤣Usimsikilize huyo nimepewa zawadi na mzungu kwa kumuelekeza njia😁😁
Upo wapi kwani mkuu?Uko mbali nizingezinunua
Upo wapi kwani mkuuUko mbali nizingezinunua
Dah😁😁😁🙌ndo akupe dola mbili...🤣
kidogo sana ungemng'ang'ania tu akupe hata dollar 10 ama 20, alikuoana wewe ni zwazwa sana😂😅
Nakutabiria crdb bank ukutane na vijana wa foreign branch wakuvuruge akili kidogoJamani mbona hili swali halihusiani na maex enewei asante ngoja nijaribu CRDB nikikosa Niende Mlimani City
Habari za asubuhi wana jukwaa, poleni na mfungo wa Ramadhani na Kwaresma, naomba msaada wa kufahamishwa wapi pa kubadilishia fedha za kigeni kwa hapa Dar.
Asanteni😊🙏
Unamaanisha nini mkuu?Nakutabiria crdb bank ukutane na vijana wa foreign branch wakuvuruge akili kidogo
Nakutamkia khery utokako ubarikiweUnamaanisha nini mkuu?
Sijaelewa hapo mkuu ndo inakuaje hiyoAchana na wapi utabadilisha,
Nazihitaji hizo dollars leta nikubadilishie kwa rate ya 2.7k
Aya asanteNakutamkia khery utokako ubarikiwe
Si nakupatia TZS 2,700 kwa USD 1Sijaelewa hapo mkuu ndo inakuaje hiyo
Bahati mbaya ninazo chache wacha niende huko wanapobadilishiaSi nakupatia TZS 2,700 kwa USD 1
Dola ngap na euro ngapMbona nalitendea haki
Nina dollar na euro
Dollar 1 na euro 5Dola ngap na euro ngap