Wanyamwezi na wasukuma

Wanyamwezi na wasukuma

Chuuu...gashi ule mna Ng'wanza.....nale natamanile nkoi. Natogwa ugumana geke uli ugukaya. Ilibonekana duli bhinge gete ahenaha. Ila abhana Ntuzu nalibona ite bhinghe un'gunumu...nale nene du.

See, my pops insisted that I learn Sukuma and they never used any other language at home. So I can say my Sukuma is pretty darn good!

Julius,bagheshage abha Bariadi Mission kung'wa Padri Paul,Nkoi nalena shiku nyinge natenashigako!
 
Tukitaka kujitenga wasukuma/wanyamwezi tutataka kujitenga tena kwa misingi hii

BaNyatuzu
BaNyamwezi
BaSukuma
BaNg’weli (Toka Geita)
Bamnha Nasa
Bamna Masanza
Bamna Busumabu (Toka Kwinba)
Bamna Ngwanza (Toka Bugalika)
Bageshi
BaNg’wagala
BaKeya (Bariadi)
 
Tukitaka kujitenga wasukuma/wanyamwezi tutataka kujitenga tena kwa misingi hii

BaNyatuzu
BaNyamwezi
BaSukuma
BaNg’weli (Toka Geita)
Bamnha Nasa
Bamna Masanza
Bamna Busumabu (Toka Kwinba)
Bamna Ngwanza (Toka Bugalika)
Bageshi
BaNg’wagala
BaKwemba
BaMinza
BaNg'washi
 
If Sukuma or Kanda ya Ziwa do not get their fair share ningependa kuona wanajitenga.

Ukiangalia Historia.....Mwadui imeanza kutema Diamonds toka miaka hio...
Wasukuma wa Shinyanga walikuwa wakipashangaa Mwadui maana kulikuwa kumetengenezwa vizuri kweli (Gete bulaya).Ukitoka tu Mwadui kwenda Old Shinyanga(Shinyanga ya kale) ni pachovu kweli kwanza Barabara mbovu, hamna Maji..Ukifika Shinyanga Mjini ndio kabisaa panatia aibu.
Watu ambao Diamonds zinachibwa kwao Shule zinatia aibu,miundo mbinu inasikitisha,huduma za afya zinakatisha tamaa.

Lawama kubwa zinaenda kwa Mwalimu J.K Nyerere aliyeua Nyanza.
At one point Nyaza ilikuwa juu sana Dunia.Kwa kuhofia akaamua kubadilisha jinsi ilivyokuwa inaendeshwa na kuleta mtu wa sehemu nyingine ambayehakuwa shareholder na hana interest yoyote.


Kanda ya ziwa inatakiwa kupata share yake inayostahili maana 60% ya kipato cha taifa kinatoka huko kwanini maendeleo yanasua sua?

JK ni mzuri sana wa Kurudisha fadhira inabidi afanye hivyo kwa wasukuma maana hao ndio waliomtoa kimaso maso kuchukua tiketi ya CCM.


Ntaishia hapo kwa sasa.
 
JokaKuu, I think you are right, Bomani alipigwa chini ubunge, at the time it was quite embarrasing for a big shot to lose it. I think he use to assume his name would carry him through. I was a young kid, but it use to really irritate the hell out of me when these wabunges dissapear for full 5 years n then come back for votes doing nothing.

Sorry, but I got no respect for Sukuma Wabunges, viongozi etc even now. Hawana ushirikiano. Wasukuma wana akili za darasani tu, za kujiendeleza ni sifuri kabisa.

There is no way, mtu mmoja, Nyerere akae anawa divide watu mnaangalia tu. C'mon man. Hivyo visingizio gani? I swear to God, if I was a mbunge in Mwanza, changes will come, unless someone had to eliminate me. There are sukumas outhere nowadays who are just ruthless and focussed in what they wanna achieve. Sukumas are no more Mr. Nice guys. We are past that.

Sasa hivi kuna visingizio gani? Kwanza siamini mtu ili ulete mabadiliko lazima uwe waziri wa wizara nyeti. Its about ushirikiano. Viongozi wa kisukuma hawana ushirikiano, wengine naona wanauza tu sura. Sukuma leaders you are sitting on voting power, use that leverage to bring development to your regions.

This thread is making me depressive, we might as well continue speaking sukuma on this piece n joke about our miserable regions.
 
Nyerere alimuweka chini Chief David Kidaha Makwaia!Ni wasomi wa kwanza ,Makerere hadi Oxford University!Naamini huyu angekuwa na madaraka fulani makubwa,angeinfluence sana kielimu kwenye Sukuma Federation.Sasa education ni hakuna,can you imagine 21 century watu bado wanaua albino?Sukuma people are doomed!
 
Mwanamasala,

..move on...achana na masuala ya kale ya Chifu Makwaia na Nyerere.

..Makwaia hakupata kitu lakini Bomani,Samuel Sitta[waziri tangu enzi za Nyerere],Mark Bomani, George Nhigula,Pius Yasebasi Ngwandu,Ernest Nyanda,Charles Kabeho, etc walikuwepo kwenye system muda mrefu.

..wabane wabunge wako wa Mwanza/Shinyanya/Tabora wahakikishe maendeleo yanapatikana ktk kanda yenu.

..mimi nimeona mbunge wa Musoma Vijijini Mh.Mkono amejenga shule ya kisasa kabisa jimboni kwake kwa kutumia fedha zake mwenyewe.

..hivi kweli wabunge wa Usukumani/Unyamwezini mmoja mmoja wanashindwa kufuata mfano wa alichofanya Mh.Mkono?

..actually nilifarijika kusikia juhudi za John Shibuda kupeleka vijana toka jimboni kwake kusomea course za ualimu. nampongeza kwa hilo.

..wabunge wengine kama Chenge,Samuel Sitta, Rostam Aziz,Lau Masha,Lucas Selelii,Salum Khamis Salum,...sijui wanachokifanya huko majimboni kwao. i hope they are doing something lakini havitangazwi na vyombo vya habari.

NB:

..naomba mtuletee listi ya wabunge wa majimbo ya uchaguzi ya Mwanza,Shinyanga,na Tabora.

..yule Mpambe wa Mwalimu hakuwa mtoto wa Chifu Makwaia?

..kuna Inpector General wa Polisi, akiitwa Pundugu alikuwa mtu wa Usukumani?
 
Nilikimbia hii mada ila ngoja nichangie kidogo.

Jamani Wanyamwezi, wasomi wetu na watu maarufu wametuangusha au niseme tumejiangusha wenyewe. Niliposema Wanyamwezi hatufai, wengine walinishangaa. Ila hebu muone Sitta na hao wanaomwita kaka. Hivi wanafanya nini kwa Mkoa wa Tabora? Hata lami imefanya kupita kuelekea Shinyanga na Mwanza na vinginevyo tusingelipata kitu kama Kigoma tu. Ndiyo maana kipande cha barabara kutoka Nzega kuja Tbr mjini, kimechoka ni hakuna.

Kuna mtu kama Rupia. Huyu bwana ni moja ya watu wachache sana waliofumbuka macho Tanzania. Ila sidhani kama ana hata kibanda huko Tabora alikotoka. Huyu mwingine kawa waziri ila kuwekeza kwake ni Madisco na kufungua bendi za mziki. Hakuna mradi mkubwa wa maana utakaotoa ajira kwa Wanyamwezi wake. Jamani nyie Tabora imechoka si kawaida. Nafikiri Shinyaga ina nafuu sana kulinganisha na Tabora. Tabora ni mkoa ambao kama unawekeza basi ili usaidie zaidi kuliko kusema utengeneze faida.
Sitta na wengine walikuwa wanaweza sana kutafuta hata investors nje na waje wawekeze nyumbani. Cha muhimu ni kuwa watu wapate ajira.....

Ila hakuna kukata tamaa. Uzuri ni kuwa, zamani watu hata hawakusema hili. Ila kwa sasa walau watu wanakaa na kuanza kufikiria sana jinsi ya kusaidia kwao. Lazima nikiri kuwa kuna mikoa/wilaya wako mbali sana kwa sasa. Anyway, mie ni mtu ambaye hufurahia maendeleo ya jirani zangu na hapo kujifunza kutoka kwao. Kama wao wameweza basi kwa nini sisi tushindwe? Nishaanza kujadili jinsi ya kuweka maji safi walau hospital ya Sikonge. Hii nimejiwekea kama Task yangu na nina imani kwa kuweka juhudi kubwa, mie na kikundi changu ninachounda, tutafanikiwa.........

Kule kwetu kuna kimsemo kinasema "Mmulika nyoka usiku, huanzia miguuni kwake...". Tusikae na kulialia kama Kanumba ila tuanze kumulika na sisi. Kama mtu ukifanya mpango wa msaada wowote na hasa ile itakayowafungua watu macho, basi itakuwa mwanzo mzuri sana.
 
Joka KUU naomba uwe na data kamili !Kuhusu Nimrod Mkono huyu allilipwa na BOT billioni 8,
eti kuwa lawyer wao!Malipo haya yana utata,kwa sababu ni mtu wa Musoma,ana get away na kila kitu!Nchi zingine Mbunge hawezi kuwa lawyer wa Govt body ,kama BOT.
Hizo hela za Mkono sio zake,ni taxpayers money.BOT imeoza,you know that!
Sasa anavyofanya ni kuzipeleka Musoma na kujenga mashule,na baadhi kukabidhi serikalini.
 
Mwanamasala,

..sasa kama Mkono ametumia hela za ufisadi walau kujenga shule Musoma, nini kinamshinda Lau Masha kutumia mapesa aliyochuma akiwa wakili kupeleka hata zahanati huko usukumani?

..hawa wabunge mliowachagua ni hovyo na hawana uchungu wa kuwanyanyua wenzao waliowaacha kijijini.

..hapa nimejaribu kukuonyesha mambo ambayo Mbunge anaweza kufanya jimboni, kabla ya ku-lobby kwa mambo makubwa ya kitaifa kama barabara na umeme kutoka serekali kuu.

NB:

..hivi unajua Samuel Sitta alikuwa Waziri tangu tangu awamu ya Nyerere? umeanza lini kumsikia Mzee Sitta wewe? ameleta mabadiliko gani Tabora?

..Proffesor Kapuya ana migodi ya madini na bendi za muziki. sasa huyu mmejaribu kumhoji performance yake tangu awe mbunge almost 15 yrs now?

..Salum Khamis Salum aliunguliwa godown lake likiwa na pamba ya thamani ya Tshs 600 mil. amekwenda kujenga kiwanda cha nguo Arusha, mbali na Mwanza na Shinyanga ambako pamba inapatikana. huyu mmemchunguza huko Meatu amefanya kitu gani au amekwenda bungeni kufanya biashara?

..pia wako John Rubambe na Alli Karavina wote kanda ya ziwa walikuwa CEOs wa PSRC. hawa mishahara yao mpaka wabunge waliilalamikia.
 
Mwanamasala,

..move on...achana na masuala ya kale ya Chifu Makwaia na Nyerere.

..Makwaia hakupata kitu lakini Bomani,Samuel Sitta[waziri tangu enzi za Nyerere],Mark Bomani, George Nhigula,Pius Yasebasi Ngwandu,Ernest Nyanda,Charles Kabeho, etc walikuwepo kwenye system muda mrefu.

..wabane wabunge wako wa Mwanza/Shinyanya/Tabora wahakikishe maendeleo yanapatikana ktk kanda yenu.

..mimi nimeona mbunge wa Musoma Vijijini Mh.Mkono amejenga shule ya kisasa kabisa jimboni kwake kwa kutumia fedha zake mwenyewe.

..hivi kweli wabunge wa Usukumani/Unyamwezini mmoja mmoja wanashindwa kufuata mfano wa alichofanya Mh.Mkono?

..actually nilifarijika kusikia juhudi za John Shibuda kupeleka vijana toka jimboni kwake kusomea course za ualimu. nampongeza kwa hilo.

..wabunge wengine kama Chenge,Samuel Sitta, Rostam Aziz,Lau Masha,Lucas Selelii,Salum Khamis Salum,...sijui wanachokifanya huko majimboni kwao. i hope they are doing something lakini havitangazwi na vyombo vya habari.

NB:

..naomba mtuletee listi ya wabunge wa majimbo ya uchaguzi ya Mwanza,Shinyanga,na Tabora.

..yule Mpambe wa Mwalimu hakuwa mtoto wa Chifu Makwaia?

..kuna Inpector General wa Polisi, akiitwa Pundugu alikuwa mtu wa Usukumani?
Nafikiri unamuongerea yule IGP aliyekuwa anatoka Magu. Sidhani kama yuko hai. MWENYE HABARI ZAKE ATULETEE HAPA.
 
MTV
Yo MTV Rap Dr Dre and Ed Lover remember "Ed lover's dance " ?, Club MTV with Downton Julie Brown, remember "wobble wobble wobble "?

BET
Rap City ,Video Soul with Donnie Simpson, Sherry Carter and Madeline Woods .

hehehehe Dwayne Wyene , Jusmine Guy ,hottest chick alikua........ It's a different world form where you come frooooooooooooooooooooooooom.

dah umenikumbusha mbali!
 
MTV
Yo MTV Rap Dr Dre and Ed Lover remember "Ed lover's dance " ?, Club MTV with Downton Julie Brown, remember "wobble wobble wobble "?

BET
Rap City ,Video Soul with Donnie Simpson, Sherry Carter and Madeline Woods .

hehehehe Dwayne Wyene , Jusmine Guy ,hottest chick alikua........ It's a different world form where you come frooooooooooooooooooooooooom.

dah umenikumbusha mbali!
Sasa hii inaendana na hii thread au ndo kuchafua thread? Kuna sehemu ya Macereblity unaweza kwenda kuchangia kule ok!!!!
 
Wabunge wengi wa usukumani-mza,tbr na shy NI WASTE OF SPACE yaani wanatumalizia hewa tu jamani hebu wabadilisheni hawa akina masha et al....upuuzi mtupu kazi kuendekeza ngono tuu.
Nahene loulou.
 
Mwanamasala

Nashukru kwa kunielewa. Thread ya ni changamoto kwa Wasukuma na Wanyamwezi wote. Naomba akina Samwel Sitta, Ngeleja,Laure Masha,Selelii, Alhaji Athumani Kapuya,Jaji Mark Bomani na wabunge wote wa Kanda ya Ziwa hasa Tabora na Shinyanga kama huwa wanapitia pitia kwenye JF hebu wajaribu kukaa na kutafakari haya tunayoyaongelea hapa. Sisi tunataka maendeleo na si vinginevo.

Kicheruka

Big up kwa kuniunga mkono.Wabeja sana.

Bluray

Wa kwetu there is no issue like tribalism here! We are talking about a very critical issue of development in our region. Kusema kuwa tunataka kujitenga si kweli, najua katiba inasema nini. Kwanza ni uhaini kutaka kujitenga kutoka kweny nchi iliyo huru. Haiwezekani leo karibia miongo 5(5 decades) tangu uhuru watu hatuna maendeleo yoyote ilhali utajiri wote upo kwetu. Mimi siwezi kuwalaumu Wasukuma au Wanyamwezi au wabunge wao pamoja na Mawaziri waliopata kushika nyazifa mbalimbali. Ninacholaumu mimi hapa ni system ya nchi hii ya kuhamisha utajiri wa eneo fulani na kupeleka kwenda kunufaisha eneo jingine. Mifano iko mingi na live.

Jokakuu

Wewe unaonekana kuwalaumu wabunge/Mawaziri wanaotoka kanda ya Ziwa kuwa wameshindwa kufanya chochote. Kina Prof. Kapuya,Masha, Salum Khamis Salum na wengineo. Mimi nasema si kweli. Mtu kama Chenge kwa sasa ana vinu vya kusindika pamba na mafuta pale Bariadi na vina-perform excellent.

Habari ya Salum K.Salum kuhamishia kiwanda cha nguo Arusha ni kwa sababu za kibiashara tu. Ni dhahiri kuwa miundo mbinu ya Barabara kwenye mikoa ya Tabora, Shy na MZA imejaa mashimo/mahandaki. Ninachotaka kusema ni kwamba ni huyu amepeleke kiwanda mahali ambapo kuna miundo mbinu ya uhakika kwa maana ya barabara,umeme n.k. akijua kabisa kuwa anaweza akasafirisha malighafi ya kutosha kwa maana ya pamba kwa mara moja akazalisha na kusafirisha bidhaa zake kwa haraka kwenda kwenye soko kuu, Dsm etc kupitia barabara safi za lami. Kuna mambo mengi ya ku-consider in business planning siyo malighafi peke yake.

Mimi bado nasisitiza kuwa hujuma kwa Wanyamwezi na Wasukuma zipo na zinaendelea. Hilo nitalipigia kelele na hakuna wa kuninyamazisha.

Kuhusu Mkono kuwa amejenga shule ya kisasa jimboni kwake hiyo ni sawa tu. Lakini Mkono hana integrity ya kulinganishwa na watu kama kina Samwel Sita au Jaji Mark Bomani. Kwangu mimi Mkono ni Fisadi mkubwa aliye-facilitate ufisadi wote pale BOT. He was among the list of shame by Dk. Wilbroad Slaa. Akatishia kuwa angelienda mahakamani mpaka kesho hajafungua kesi yoyote zidi ya Slaa cause he know it was the truth.Kuna kipindi alihojiwa na Waandishi wa habari kuhusiana na hizo tuhuma za ufisadi akadai kuwa yeye ni Wakili ghali sana hapa nchini eti BOT wanamlipa shs. 500m kwa saa. Pale BOT sasa hivi kunazidi kuibuka uoza wa ufisadi kila siku kwa hiyo Mkono kama Wakili wa BOT lazima anahusika kwa namna moja au nyingine. Naamini kabisa hata yale ma-twin towers ya BOT lazima alishirika kwenye mchakato wa mikataba hiyo.

Kwenye scandal ya ufisadi wa BOT hakuna Msukuma wala Mnyamwezi aliyetajwa. Hii ni kuonyesha sisi ni watu safi na makini.

Ndiyo maana nasema tunafunikwa funikwa tusionekana na kupewa nyadhifa za uongo na kweli ili tusipate popularity kwa Watanzania tusije tukatawala nchi.

Labda tu nikumbushie kidogo Uchaguzi wa Mwaka 1995, Jaji Mark Bomani alichukua fomu za kugombea urais na alikuwa mojawapo ya candidates waliokuwa wanapigiwa upatu wa kuibuka mshindi. Lakini kwa vile marehemu Nyerere alikuwepo na yeye alikuwa na mtu wake na ile dhana yake ya kuwa wasukuma wakipewa nafasi kama hiyo wanaweza kuchukua nchi, jina la Jaji Bomani likaenguliwa kwa dhana ileile.

Mimi nafikiri sasa kuna haja ya kuwa na rotation ya Uraisi kimikoa. Maana inaonekana kwamba CCM tangu enzi za TANU walishajiwekea misingi kuwa Rais asitoke kweny hizi kabila kubwa baali atoke hizi kabila ndogondogo na zisizo maarufu sijui ni kwanini. Haya tukianza na Mwalimu(Mzanaki) Mwinyi(mpemba/mzanzibara)Mkapa(mmakonde)Kikwete(mkwere). Hata ule mchakato unavoanza mpaka kwenye 2/3 bora utakuta ni walewale. 1995(Mkapa,Kikwete,Marecela),2005(Kikwete,Salim A.Salim,Sumaye).

Haya makabila makubwa huwa yanaenguliwa kwenye hatua za awali kabisa. Kwanini?


Nitaendelea.
 
chu! bhebhe ngalu, uliyomba ubustaarabu yaya guyomba ja mukaya? lekagi bhagosha.....chu! nalema gete.....neyo nahaya gukolwa!
Yni kama hakuna neno la kisukuma linalo-maaninsha Ustaarabu, basi hakuna ustaarabu huko kwenu. period.
 
makoye2009,

..lakini ndugu yangu Uraisi haumaanishi maendeleo.

..hata wananchi wa Musoma wanamlaumu Mwalimu kwa kutopeleka maendeleo kwao.

..hoja ya kwanza ilikuwa Wasukuma na Wanyamwezi hawajapewa nafasi zozote zile za kulitumikia taifa.

..sasa tukakuonyesha na kukutajia watu kibao wa kanda ya ziwa ambao wametumikia ktk nafasi nzito hapa Tanzania.

..nadhani hoja kwamba mnanyimwa "vyeo" sasa haipo, umebaki na hoja kwamba mnanyimwa Uraisi. katika hoja yako hiyo umemtaja Mark Bomani. nadhani tatizo lake ktk mchakato ule wa 1995 ni kwamba alikuwa kama an outsider, watu wengi walikuwa hawamjui kwa kweli.

..binafsi nadhani Mark Bomani pamoja na kuwa na rekodi nzuri ya utumishi ndani na nje ya nchi hakuwa na base ndani ya CCM.

..sidhani kama kuna mtu ana nia ya kukuziba mdomo hapa jamiiforums. kuna mambo mengi ambayo umeya-post yamenielimisha mimi na naamini wengi tu wanaelimika kutokana na postings zako.

..nikirudi tena kwenye suala la kuhamasisha maendeleo ktk mikoa ya Mza,Shy,na Tabora, nadhani ni hilo ni jukumu la MBUNGE na SERIKALI.

..naelewa kwamba huridhiki na jinsi ambavyo serikali imekuwa ikitekeleza majukumu yake ktk mikoa yenu. sasa naomba kuuliza kama umeridhika na juhudi na ufanisi wa wabunge wa wilaya za mikoa ya Mza,Shy,na Tabora ktk kuhamasisha na kuwaletea maendeleo.

NB:

..Samuel Sitta amekuwepo ktk siasa tangu enzi za Mwalimu Nyerere. kwa wale wenye kumbukumbu nzuri huyu bwana ni fisadi na alianza tabia hiyo toka wakati Mwalimu.
 
Back
Top Bottom