Wasukuma wanajua kutunza familia zao yaani wanajua kupenda......
Acha kuzusha bana.
usije ukadhani tunazungumzia Wamarekani weusi! Hawa wa Tabora ni hopeless kabisa.
Makabila pendwa Tanzania Mchaga ,mhaya ,msukuma myakyusa !haya ndio yanafanya uchumi wa nchi ukue!
jamani naomba kufahamishwa.
jamani naomba kufahamishwa.
Wasio na dini ndio hawafanyi hivyo tizama bushman walivyokama unataka wanawake wanaotahiriwa nenda singida,dodoma, manyara, na kilimanjaro. Ukitaka wanaume wasiotahiriwa nenda Bukoba na mbeya
Tuna akili sana.
Tuna maguvu sana.
Wasichana wetu ni wa ukweli.
Tunapenda sana nyama.
Tunapenda sana viazi.