Wanyamwezi na wasukuma

Wanyamwezi na wasukuma

na mnajulikana. Ofisini mna sumu kali zaidi ya nyoka. Wachonganishi sana nyie

Sikubaliani nawe hata chembe! Ofisini kwetu tuna mnyantuzu mmoja ni kichomi the whole Ofisi!

Come on sina vita na wasukuma coz narelate nao sana; lkn sioni kosa la msukuma mmoja au wawili ndio inajudge tabia za wote! Na siamini sana kuhusu makabila na tabia rather ni individual na tabia or a smaller community na tabia! Nyamwezi is a big tribe to generelize; unajua kuna vijikabila vingapi within that kabila? And this happen to many big kabilas!
 
wanyantuzu sio wasukuma, wale ni wanyarwanda
 
Wasukuma wanapenda sana kula ugali mkubwa na michembe.......!wanapenda sana kilimo kwanza
 
Nyingine sio wabahili, ni wakarimu mnoooooooooooooooooooooooooooo!
 
nawapenda sana wanyamwezi.

Nashukuru mwaya! Nikwambia ukweli, katika makabila ambayo kijichanganya sio shida na sisi tumo! Anyway uzuri na ubaya upo katika mtu zaidi kuliko anaongea lugha gani!
 
Makabila pendwa Tanzania Mchaga ,mhaya ,msukuma myakyusa !haya ndio yanafanya uchumi wa nchi ukue!
 
tuanze na sifa kwanza, ni warefu, wana maumbo mazuri, ni wacheshi, wengi ni wakatoliki.
 
Back
Top Bottom