Umeandika harakaharaka Sana Mama Terry, relax, calm urself down, kunywa maji glasi moja, Vuta hewa kwa nguvu ndani , itulize kidogo Kisha itoe kwa nguvu, ndipo Anza kuandika!
Ni kwamba Mara nyingi ninyi wake zetu mnapozaa, sijui ni kwa sababu majukumu huongezeka huwa mnatusahau Sana Kuwa nasi ni watoto wakubwa...attention asilimia 200 kwa watoto na sisi tunajikuta tumekosa nafasi, na hata tukijaribu kuwaambie huwa ndio kwanza mnaona Kama tunawagasi! Kama unakumbukumbu nzuri, tafakari vizuri Kama hujawahi lalamikiwa na mumeo kuhusu mahitaji yake ya msingi...na pia kumbuka ni majibu gani uliyompa! Ukimstahi Sana utajisingizia unaumwa...lakini Mara nyingi utaanza kumshutumu mpaka atajiona Kama amekuwa kibaka nyumba kwake mwenyewe! Yakiendelea Sana hayo mnaendeleaga kuchukuliwa poa na kuzoea kutoa attention kwa mgao ambao mnaotaka ninyi! Sasa mjue wanawake ni wengi zaidi mtaani na Kila wakati wanatunyemelea...na wakipewa nafasi yaani mpaka migongoni tunabebwa na vionjo vinginevyo vingi hawana hiyana kuvitoa...Sasa kinachofuata unapanic kwa matokeo uliyoyayaandaa mwenyewe! Kama ni mwanawake wenye hadhi ya Kuwa mke najua utaelewa nachoongelea...lakini Kama ndio wale walioingilia kalama za watu kwa kujiingiza kwenye ndoa wakati wao walipaswa Kuwa barmaids na changudoas hii msg itaangukia kwenye sijui kiziwi!