Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Oke wachekini wazungu ni waaminifu 100% maana wao ndoa hazivunjiki.
Sasa kinachobaki kulea watoto tu basi hamuachani kila mtu a mind bussiness zake ukimwamini mtu akuzingue upendo hufa kabisa hata ufanyeje situation won't be the same again mnaishi kwa mazoea why mjidaganye ooh vumilia wanaume wote wako hivi kah.
Hata hao watoto wajifunze tu hivo hivo kuwa udanganyifu si mzuri na ndio maana wa Africa uongo na uchafu mwingi.
 
Mwanaume ku cheat ni lazima kikubwa afanye usijue..usiumize kichwa kuhusu mume..mwanaume ndo timeumbwa hivo ukijifanya hujui kisamehe utakuwa lilith
 
Mimi mtu akiandika ishu ambayo inatakiwa isound serious halafu anaweka emoji najua tu humu hamna kitu
 
Mwenzenu yamenikuta na kusema za ukweli nashindwa kabisa kuelewa namna ya kutoka hapa na kusonga mbele.

Ni mume nilompenda sana sana sana. Mungu katujaalia two beautifull kids na mengine ambayo am greatfull for. Tuliishi kwa upendo,furaha na amani hadi miezi 8 ilopita nilipogundua kuwa nilivyomdhania mume wangu sivyo alivyo.

Kwakuwa nampenda na kumfahamu sana mume wangu, kuna kitu nilikuwa tu nakihisi hakiko sawa kwa muda. Baadae nikagundua he was cheating. Yaani sitaki kuelezea mstuko niloupata na jinsi ninaumia jamani. Japo aliomba sana msamaha and all that ila moyo wangu umekufa ganzi wapendwa.

Mume nilompenda sana kwasasa namuona kama jirani yangu tu, hata hamu nae sina kabisa na hata tendo la ndoa ni kama ananibaka tu. Tushaongea sana, tushakwenda hadi vacation sie wawili tu ila sioni kinachobadilika. Akisafiri kikazi au mimi nikisafiri najisikia amani zaidi and i dont miss him kabisa.

Kuna wakati nilimuomba some alone time nifikirie kuhusu mustakabali wa hii ndoa, alinipa huo muda na kwa kipindi hicho cha wiki moja kichwani mwangu nilishangaa kunazunguka watoto wetu tu na sio mume wangu. Sijamueleza mtu yeyote kuhusu hili hata mama yangu wala mshenga wetu ila linanitafuna hatari.

Wenzangu mnawezaje kusamehe wanaume wanaowacheat na kurudi katika hali zenu za kawaida? Maana mie kwasasa mume wangu namuonaje sijui, nae naona hali hii inamtesa ila ndio hivyo tena[emoji134]
Sijisikii kumpenda wala kumheshimu tena, naona kama hadeserve kwa kutokuithamini na kuivuruga ndoa yetu.
Mlikutana mkiwa mabikira?

Sent from my TA-1021 using JamiiForums mobile app
 
Mkosaji ni mume wako, kama amekiri na kuomba msamaha,basi,amani ya Nafsi yako na mwenza wako itategemeana na maamuzi yako ya kusamehe na kupuuza.

Kama unampenda kweli usije ukajaribu kulipa kisasi kwa kuchepuka,pia usipende kutegemea ushauri kwa watu wengine kwenye masuala ya ndoa maana unaye muomba ushauri yeye mwenyewe yupo kwenye mgogoro japo utakuwa tofauti na wako. Ukisikia "wanaume wote ni mambwa tu" ujue naye kaumizwa ila kiukweli sisi sio mambwa. Tukiomba msamaha ujue ni wa dhati kabisa.

Msamehe baby wako pluziii,anateseka huko alikoView attachment 1521897
Komenti ya kwanza yenye akili
 
nyakoo you are too selfish! Wewe ndiye chanzo cha mumeo kukucheat. Kitu cha msingi kwa naye muulize akueleze ulipoteleza. Inaonesha anakupenda sana
We cheat out of our own stupidity! Sometimes unakuta hata mwanamke hana makosa au sehemu aliyoteleza!
Sema huo ndio uchizi wa wanaume wengi(Nature)
 
Back
Top Bottom