Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Huwa tunaitumia hiyo excuse kuhalalisha kuendelea kuishi kweye ndoa na hao wazinzi (so far hata ndoa yenyewe kwenye spiritual realm inakuwa imeshavunjika). Inabidi tu niassume na kwa wenzangu kunawaka moto kama kwangu teh; ntafanyaje huku ndoa naitaka. It's wise kusema umeamua tu kuendelea kuishi na huyo mzinzi pamoja na yote (you don't owe anyone an explanation so far); kuliko kujifariji kuwa all men cheat ilhali unagugumia ndani kwa ndani

Hapa wengine tunajishaua all men cheat; ila tukihisi tu kuna mchepuko; tunautafuta then tunaenda kuanzisha timbwili au humo ndani kunawaka moto. Jiulize ni wangapi humu tukifumaniaga huwa tunawaambiwa waume zetu "hongera mume wangu; upo sawa tu kama wanaume wote? Kwa nini tuumie sasa ilhali hiyo ni tabia ya wanaume wote?

Bado wapo wanaume waaaminifu; wanaoheshimu wake zao, na viapo vyao vya ndoa kwa kutokuchepuka. Wengine ni personal decision tu kutokuchepuka; na wengine wanafanya hivyo kwa sababu ya hofu ya Mungu. Ndoa ni kitu chema sana; ndoa si kuishi na maumivu kama wengi wetu tunavyojifariji hapa. Although uaminifu sio chagamoto pekee kwenye ndoa; lakini uaminifu ukikosekana ni jambo la kujeruhi moyo sana. Kuna makosa mengi lakini usaliti sio tu ni kosa; bali ni kuvunja imani ambayo mtu alikuwa nayo juu yako. Ni gharama kubwa sana kurudisha imani ilivunjika; na kwa wengi ni kidonda kisichopona.

Let's stop legitimising nonsense. Usaliti sio tu kitu ambacho mtu anafanya kinapita. Usaliti umevunja ndoa nyingi; umetenganisha wazazi na watoto; watu wameambukizwa magonjwa yasiyotibika; familia zimetelekezwa hazina mbele wala nyuma. Kuna michepuko inaroga na kuua wake ili yenyewe iolewe afu baadaye watoto ndo wanateseka n.k. If one decides to settle for nonsense; it's very ok, but let us not propagate it. Ni upumbavu na ni ubatili

Mithali 6:26, 32-33

26. Maana kwa malaya mtu hutiwa katika hali ya kuhitaji kipande cha mkate;Na kahaba humwinda mtu anase nafsi yake iliyo ya thamani.

32 Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.

33 Atapata jeraha na kuvunjiwa heshima;Wala fedheha yake haitafutika.
Kabisa dea umemaliza haswaaaaah, nimependa sana mchango wako.
 
Pole! Jipe muda utapona.

Ukweli ni kwamba 99.9999% wanaume wanacheat, inaumiza Sana ukijua, hasa Kama ulimpenda kwa dhati na kumuamini kupita kiasi. Inaumiza

Kuhusu kufanyaje baada ya kujua, kwanza ni kutuliza akili japo huwa ngumu kidogo.

Halafu angalia faida ya kuendelea nae na faida ya kuachana nae. Angalia mustakabali wa watoto. Angalia kesho yako.

Ukweli ambao wanaume wanatakiwa kujua baada ya wanawake kugundua usaliti upendo hutoweka, kinachobaki ni maigizo, hisia hufa , hapo ndoa inabaki ili kulea watoto, tendo la ndoa linakuwepo ili tu kuonekana lipo Ila sio lile la hisia Tena.

Umeshajua, simama na Mungu akupe amani ya moyo, jitahidi kusamehe "kinafiki" ili maisha yaendelee, kwa sababu nje ya ndoa wanaume wasiocheat wapo Ila wakutafuta kwa tochi, so kuamua kutoka kwenye hiyo ndoa labda uamue ukae single otherwise utakutana na hekaheka hizo hizo Tena.

Kikubwa wanaume wajue huwa wanapoteza upendo, uaminifu, heshima kwa wake zao Mara baada ya hili.

Na wanawake huamua tu kujitoa muhanga kukaa hapo maisha yaendelee Ila ukweli mchungu ni kwamba wanawake wanakuwa sio wale Tena waliokuwa kabla ya wanaume kucheat
 
Mwan
Mwenzenu yamenikuta na kusema za ukweli nashindwa kabisa kuelewa namna ya kutoka hapa na kusonga mbele.

Ni mume nilompenda sana sana sana. Mungu katujaalia two beautifull kids na mengine ambayo am greatfull for. Tuliishi kwa upendo,furaha na amani hadi miezi 8 ilopita nilipogundua kuwa nilivyomdhania mume wangu sivyo alivyo.

Kwakuwa nampenda na kumfahamu sana mume wangu, kuna kitu nilikuwa tu nakihisi hakiko sawa kwa muda. Baadae nikagundua he was cheating. Yaani sitaki kuelezea mstuko niloupata na jinsi ninaumia jamani. Japo aliomba sana msamaha and all that ila moyo wangu umekufa ganzi wapendwa.

Mume nilompenda sana kwasasa namuona kama jirani yangu tu, hata hamu nae sina kabisa na hata tendo la ndoa ni kama ananibaka tu. Tushaongea sana, tushakwenda hadi vacation sie wawili tu ila sioni kinachobadilika. Akisafiri kikazi au mimi nikisafiri najisikia amani zaidi and i dont miss him kabisa.

Kuna wakati nilimuomba some alone time nifikirie kuhusu mustakabali wa hii ndoa, alinipa huo muda na kwa kipindi hicho cha wiki moja kichwani mwangu nilishangaa kunazunguka watoto wetu tu na sio mume wangu. Sijamueleza mtu yeyote kuhusu hili hata mama yangu wala mshenga wetu ila linanitafuna hatari.

Wenzangu mnawezaje kusamehe wanaume wanaowacheat na kurudi katika hali zenu za kawaida? Maana mie kwasasa mume wangu namuonaje sijui, nae naona hali hii inamtesa ila ndio hivyo tena[emoji134]
Sijisikii kumpenda wala kumheshimu tena, naona kama hadeserve kwa kutokuithamini na kuivuruga ndoa yetu.
Mwanamke mpumbavu huiharibu nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.
 
Hii dunia bila ya kumtanguliza Mungu kwenye kila jambo kitu kinachoitwa amani na furaha utakisikia kwenye bomba,unaweza ukawa unapambana kumpenda mwenzako kwa mapenzi yote,kumbe upande wa pili kuna binadamu mwenzio ke/me anamfukuzia mwenzio kwa kasi ya ajabu mpaka anashawishika.Hiyo story inafanana na ya jamaa yangu nae ana miezi kama mitatu sasa nyumba inawaka moto, kagundua kuwa mkewe anacheat na hata mtoto wao wa mwisho ana mashaka kama ni wa kwake,they also have two kids...
 
Hawa ALL MEN CHEATS WANAFANYA NA WANAWAKE

Tuseme pia Even ALL WOMEN CHEAT EITHER kubalance story
Wanawake wengi waliopo kwenye ndo sio rahisi kucheat compared to mens, ndio maana unakuta kuna wimbi la mabinti wana mahusiano na waume za watu and they are so proud of it, ni nadra sana kukuta mke wa mtu anacheat unless aamue kujichetua tu akili
 
Mwenzenu yamenikuta na kusema za ukweli nashindwa kabisa kuelewa namna ya kutoka hapa na kusonga mbele.

Ni mume nilompenda sana sana sana. Mungu katujaalia two beautifull kids na mengine ambayo am greatfull for. Tuliishi kwa upendo,furaha na amani hadi miezi 8 ilopita nilipogundua kuwa nilivyomdhania mume wangu sivyo alivyo.

Kwakuwa nampenda na kumfahamu sana mume wangu, kuna kitu nilikuwa tu nakihisi hakiko sawa kwa muda. Baadae nikagundua he was cheating. Yaani sitaki kuelezea mstuko niloupata na jinsi ninaumia jamani. Japo aliomba sana msamaha and all that ila moyo wangu umekufa ganzi wapendwa.

Mume nilompenda sana kwasasa namuona kama jirani yangu tu, hata hamu nae sina kabisa na hata tendo la ndoa ni kama ananibaka tu. Tushaongea sana, tushakwenda hadi vacation sie wawili tu ila sioni kinachobadilika. Akisafiri kikazi au mimi nikisafiri najisikia amani zaidi and i dont miss him kabisa.

Kuna wakati nilimuomba some alone time nifikirie kuhusu mustakabali wa hii ndoa, alinipa huo muda na kwa kipindi hicho cha wiki moja kichwani mwangu nilishangaa kunazunguka watoto wetu tu na sio mume wangu. Sijamueleza mtu yeyote kuhusu hili hata mama yangu wala mshenga wetu ila linanitafuna hatari.

Wenzangu mnawezaje kusamehe wanaume wanaowacheat na kurudi katika hali zenu za kawaida? Maana mie kwasasa mume wangu namuonaje sijui, nae naona hali hii inamtesa ila ndio hivyo tena[emoji134]
Sijisikii kumpenda wala kumheshimu tena, naona kama hadeserve kwa kutokuithamini na kuivuruga ndoa yetu.
Na wajaluo mnavojifanya mnajua kupenda[emoji57][emoji57]... anyway... usithubutu kutaka kumjua mwanaume haswa Kama unampenda au unajua huwezi kumuacha..haswa Kama n mumeo wa ndoa... usithubutu... [emoji2788] USITHUBUTUUUUUU for your own health...[emoji2936][emoji2935]... Hapo Sasa sijui ufanyeje jamaani...Ila ukifanikiwa kupona usithubutu Tena kumjua mumeo...

Mimi bado nacoment kwenye post za wapendanao... "Wooow nice couple" alafu nakunywa maji nalala...
 
kwanza elewa tuu sisi wanaume hatujaumbiwa mwanamke 1.kumbuka pia hata akicheat nje mapenz kwako hayataisha wala hatapunguza matumiz na watoto watasoma.ndio udhaifu tulio nao km nyie pia mna udhaifu wenu ingawa hamjielewi.unachofanya au kukosea ni kukosa apetite na huyo mmeo hilo ni kosa cha msingi wee mbadilishie style zile ambazo hamjawai kufanya yaani kiufupi ubadilike na usimtuhumu kwa chochote au kuonyesha hisia mbaya.mpende hivyo hivyo mpikie chakula kizuri umkaribishe kwa unyenyekevu badili mazingira yote ya mazoea!mfanye aone nyumbani ulipo wewe ni vantage point yake akute vitu ambavyo tofauti na anapochepukia na sio kumfanya ajione dhaifu kwa tuhuma unazompa.yaani mfanyie vitu ambavyo ataona siku zote alikuwa wapi kukufahamu.sisi wanaume akili yetu ndogo kututeka ni rahisi mno km kumpiga teke chura.soma hata majarida au tafuta watalam wakueleweshe jinsi ya kumkamata mume ili miaka yote aone hakuna mke km wee na sio kuonyesha chuki wazi waz au kuzira
Hakuna style ya mapenzi itayomtosha mwanaume...muache mwenzio asiumize figo zake bure...[emoji3059]
 
You are so wise mkuu.

May God bless you and grant you many more years ahead.

I have seen some people advising her to start an outside relationship with someone else. Hahahaahahahahah
Establishing outside relationship is another desctruction, halafu 2maisha ya mashindano au kilipiza kwenye ndoa ndio yaliyoharibu ndoa nyingi
 
Mnakosea sana kusema ALL... inawezekana mume wako, baba yako , jirani yako na wote unaowajua wanacheat ila kamwe haiwezi kuwa WOTE
Well, lets say 95%, my concept ni kumfanya mleta mada aone kwamba its not a big issue and can happen to every one though imempa emotional torture
 
Mwenzenu yamenikuta na kusema za ukweli nashindwa kabisa kuelewa namna ya kutoka hapa na kusonga mbele.

Ni mume nilompenda sana sana sana. Mungu katujaalia two beautifull kids na mengine ambayo am greatfull for. Tuliishi kwa upendo,furaha na amani hadi miezi 8 ilopita nilipogundua kuwa nilivyomdhania mume wangu sivyo alivyo.

Kwakuwa nampenda na kumfahamu sana mume wangu, kuna kitu nilikuwa tu nakihisi hakiko sawa kwa muda. Baadae nikagundua he was cheating. Yaani sitaki kuelezea mstuko niloupata na jinsi ninaumia jamani. Japo aliomba sana msamaha and all that ila moyo wangu umekufa ganzi wapendwa.

Mume nilompenda sana kwasasa namuona kama jirani yangu tu, hata hamu nae sina kabisa na hata tendo la ndoa ni kama ananibaka tu. Tushaongea sana, tushakwenda hadi vacation sie wawili tu ila sioni kinachobadilika. Akisafiri kikazi au mimi nikisafiri najisikia amani zaidi and i dont miss him kabisa.

Kuna wakati nilimuomba some alone time nifikirie kuhusu mustakabali wa hii ndoa, alinipa huo muda na kwa kipindi hicho cha wiki moja kichwani mwangu nilishangaa kunazunguka watoto wetu tu na sio mume wangu. Sijamueleza mtu yeyote kuhusu hili hata mama yangu wala mshenga wetu ila linanitafuna hatari.

Wenzangu mnawezaje kusamehe wanaume wanaowacheat na kurudi katika hali zenu za kawaida? Maana mie kwasasa mume wangu namuonaje sijui, nae naona hali hii inamtesa ila ndio hivyo tena[emoji134]
Sijisikii kumpenda wala kumheshimu tena, naona kama hadeserve kwa kutokuithamini na kuivuruga ndoa yetu.
Kuikimbia nchi kwa sababu ya mvua kunyesha nchini kwako, jua utaikimbia kila nchi, maana IT RAINS EVERYWHERE...
 
[emoji2788]my future husband popote ulipo...nasema hiviiii I don't care how much u are going to cheat me...AI DONT KEA...I will eat food..eat your d*ck... enjoy my life take care of our babies...and steal your money...and start a business... idiot organism..[emoji849][emoji849]
 
kwanza elewa tuu sisi wanaume hatujaumbiwa mwanamke 1.kumbuka pia hata akicheat nje mapenz kwako hayataisha wala hatapunguza matumiz na watoto watasoma.ndio udhaifu tulio nao km nyie pia mna udhaifu wenu ingawa hamjielewi.unachofanya au kukosea ni kukosa apetite na huyo mmeo hilo ni kosa cha msingi wee mbadilishie style zile ambazo hamjawai kufanya yaani kiufupi ubadilike na usimtuhumu kwa chochote au kuonyesha hisia mbaya.mpende hivyo hivyo mpikie chakula kizuri umkaribishe kwa unyenyekevu badili mazingira yote ya mazoea!mfanye aone nyumbani ulipo wewe ni vantage point yake akute vitu ambavyo tofauti na anapochepukia na sio kumfanya ajione dhaifu kwa tuhuma unazompa.yaani mfanyie vitu ambavyo ataona siku zote alikuwa wapi kukufahamu.sisi wanaume akili yetu ndogo kututeka ni rahisi mno km kumpiga teke chura.soma hata majarida au tafuta watalam wakueleweshe jinsi ya kumkamata mume ili miaka yote aone hakuna mke km wee na sio kuonyesha chuki wazi waz au kuzira
Mkuu upo sahihi sana.
Huu ndio ushauri wa msingi sana akipuuza atazidi kubomoa.
 
Sikiliza hiyo video kutoka kwa wanasaikolojia itakusaidia sana kwenye maamuzi yako.
 
Back
Top Bottom