Mama Terry
JF-Expert Member
- May 20, 2014
- 420
- 574
That's goodMama Terry, usichanganye porojo za 'mwanaume lazima a'cheat'! Hizo ni za wavulana! Ila mwanaume anayejitambua ukimuona ame'cheat' ujue kabisa umemsukumiza wewe mwenyewe huko na ukimvuta kwa upendo wenye mautundu atarudi barabarani! Hivi unajua kisaikologia hivi unafikiri huwa mtu anajisikiaje anapikuwa kwa mchepuko pasi kujua home Nini kinaendelea!
Kama mke mwenye kukielewa na umeolewa na mwanaume na siyo mvulana, unanafasi kubwa Sana ya kumuweka mumeo barabarani pasi kukosea njia na kujikuta vichakani! We all want to drive on tarmac road unless you push us aside!
By the way, wanaume tunapenda Sana kushiriki ktk ulezi wa watoto wetu! Hata kuwabadirisha nepi na pambasi huwa hatuna hiana!
Na mwanaume anayejua majukumu yake vizuri Sana na mke muelewa( ingawa hawez kuwa perfect) huwez kukuta anawaza hayo maujinga kabisaa.
Mara nyingi wasio na Kaz na wanaolewa na wavulana( as per your explanation) ndo wanaamin mwanaume hawez kufurahia na mkewe bila kucheat.
Utakua upo matured Sana. Educate your fellow men.
Wanawake ukitupenda na sisi tukakutii na kukuheshimu dunian kutakua heaven na maendeleo yatakua Kama yoteee
Be blessed