Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,396
- 6,024
Ndiyo nawajua Mama.Tuliokomenti kinyume na ninyi 'wanaume wa shoka' ni mimi na cariha sasa unaposema single mother wameshavamia uzi uliwalenga akina nani?? Ndio maana nikauliza unatujua?
Ndiyo nawajua Mama.Tuliokomenti kinyume na ninyi 'wanaume wa shoka' ni mimi na cariha sasa unaposema single mother wameshavamia uzi uliwalenga akina nani?? Ndio maana nikauliza unatujua?
Na makucha yakeKumekuchaa
DuuuhSasa kinachobaki kulea watoto tu basi hamuachani kila mtu a mind bussiness zake ukimwamini mtu akuzingue upendo hufa kabisa hata ufanyeje situation won't be the same again mnaishi kwa mazoea why mjidaganye ooh vumilia wanaume wote wako hivi kah.
Hata hao watoto wajifunze tu hivo hivo kuwa udanganyifu si mzuri na ndio maana wa Africa uongo na uchafu mwingi.
[emoji23][emoji23][emoji23] wewe ni Mimi kabisa siweki mtu moyoni namweka kiunoni akizingua tingisha tupa kule hata Kama tumezaa. Mwanamke mwenzetu alipenda na kusahau kazi ya moyo kusukuma damuEmbu tafuta kidume cha mbegu huko pembeni mi sijaolewa ila nikigundua mwanaume anachepuka huwa siumizi roho nani anapenda kuangalia mashine ile ile kila siku, yeye anatamani uchi mpya hata mimi natamani dushe jipya [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] ninajifunza na style mpya huko niendako
Siku zote anko, si unajua vile nakukubaliAnkoo, kwa leo au siku zote?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndio huwa wanakimbilia kusema hilo neno wakiishiwa hoja. As if single mother ni tusiNimeshangaa huyu mwanaume kwanza anazalilisha wanawake sio Uzi huu tu hata nyingine kwahyo ku comments tofauti na wanaume wanachopenda kusikia ndio dhihaka, hafu eti single mother wakati hata labour sijaenda
Kwenda kuleeeNdiyo nawajua Mama.
Wa Africa tuna unafiki nilipenda Sana kina Jada walikuwa wa wazi tu kuhusu mahusiano ukiona watoka nje ujue huna love kwanini u force. Mimi na prefer mnaanza chepuka ambianeni mubaki mnalea watoto kila mtu akatafte starehe nje akichoka arudiDuuuh
Ni kushindwa hoja kwa kweli, Mimi na mtoto wangu hafu mtu aje anitukane eti single mother kah, kwanza sifa ya mwanamke kamili ni kuzaa na sio tusi wallah.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndio huwa wanakimbilia kusema hilo neno wakiishiwa hoja. As if single mother ni tusi
Pole sana mamii,
Your kids comes first, ni hali ambayo almost kila mwanamke analipitia au ameshaipitia ndani ya ndoa yake,
Tofauti ni mapokeo tu, kila mtu kuna namna anavyolipokea jambo fulani na kulikubali au kutokulikubali
Kama ulivyosema ameomba msamaha, take as much time as you can na ujaribu kukubali huo ukweli, samehe, focus, maisha yaendelee,
Ukiwaza sana utajiumiza, kumbuka mna watoto wawili, labda tu nikwambie ALL MEN cheats, wametofautiana tu style ya kucheat, wengine wakecheat wanafanya siri sana hata mke hajui wala haonyeshi tofauti yoyote nyumbani, ila wengine wakianzisha mahusiano nje unagundua maana everything change for worse
Usithubutu kuwaza kuanzisha mahusiano nje, utakua unaharibu zaidi ukizingatia watoto wanahitaji mwongozo wako
Jaribu kumwomba Mungu akupe amani ya moyo,uweze kusamehe na kusahau kabisa.
Otherwise, nakupa pole sana
Acha kuzalilisha wanawake wanaolewa watoto wenyewe. Halafu usifikiri kuwa na uume ndo kuwa mwanaume rijali, be a gentleman pleaseNdiyo nawajua Mama.
Wanaweza fanya na wanawake walioko single cole acha UswahiliHawa ALL MEN CHEATS WANAFANYA NA WANAWAKE
Tuseme pia Even ALL WOMEN CHEAT EITHER kubalance story
Hongera sana kwankuwa muaminifu, kama ulivyoona comments za me wengi hapo juu, wamekiri kwamba hawaridhiki na mwanamke mmoja
Duuuh labda kama huyo mwanaume ni mfilipino ndio atakubali huo ushauri wako,ukiona huwezi samehe unajikata kiroho safi ukaanze maisha mengine ila sio kwanguWa Africa tuna unafiki nilipenda Sana kina Jada walikuwa wa wazi tu kuhusu mahusiano ukiona watoka nje ujue huna love kwanini u force. Mimi na prefer mnaanza chepuka ambianeni mubaki mnalea watoto kila mtu akatafte starehe nje akichoka arudi
Kama una uhakika wa kumpata mwanaume asiyecheat basi nakushauri umuache kisha umtafute huyo.Mwenzenu yamenikuta na kusema za ukweli nashindwa kabisa kuelewa namna ya kutoka hapa na kusonga mbele.
Ni mume nilompenda sana sana sana. Mungu katujaalia two beautifull kids na mengine ambayo am greatfull for. Tuliishi kwa upendo,furaha na amani hadi miezi 8 ilopita nilipogundua kuwa nilivyomdhania mume wangu sivyo alivyo.
Kwakuwa nampenda na kumfahamu sana mume wangu, kuna kitu nilikuwa tu nakihisi hakiko sawa kwa muda. Baadae nikagundua he was cheating. Yaani sitaki kuelezea mstuko niloupata na jinsi ninaumia jamani. Japo aliomba sana msamaha and all that ila moyo wangu umekufa ganzi wapendwa.
Mume nilompenda sana kwasasa namuona kama jirani yangu tu, hata hamu nae sina kabisa na hata tendo la ndoa ni kama ananibaka tu. Tushaongea sana, tushakwenda hadi vacation sie wawili tu ila sioni kinachobadilika. Akisafiri kikazi au mimi nikisafiri najisikia amani zaidi and i dont miss him kabisa.
Kuna wakati nilimuomba some alone time nifikirie kuhusu mustakabali wa hii ndoa, alinipa huo muda na kwa kipindi hicho cha wiki moja kichwani mwangu nilishangaa kunazunguka watoto wetu tu na sio mume wangu. Sijamueleza mtu yeyote kuhusu hili hata mama yangu wala mshenga wetu ila linanitafuna hatari.
Wenzangu mnawezaje kusamehe wanaume wanaowacheat na kurudi katika hali zenu za kawaida? Maana mie kwasasa mume wangu namuonaje sijui, nae naona hali hii inamtesa ila ndio hivyo tena[emoji134]
Sijisikii kumpenda wala kumheshimu tena, naona kama hadeserve kwa kutokuithamini na kuivuruga ndoa yetu.
Siku zote aunt ako sipendi nimuudhi kwa huo upuzi, yeye ni mama, rafiki, mfariji na msiri wangu,na zaidi ni mpenzi wangu. Mwisho kabisa ni mama wa watoto wangu, ana thamani ya pekee.Siku zote anko, si unajua vile nakukubali
Mimi kwanini ni fake chakufia Nini Sina hisia na wewe kwanini nidaganye nakuruhusu ulete michepuko yote tuishi pamojaDuuuh labda kama huyo mwanaume ni mfilipino ndio atakubali huo ushauri wako,ukiona huwezi samehe unajikata kiroho safi ukaanze maisha mengine ila sio kwangu
Vizuri sana anko, hujawahi kutuangusha mimi na auntSiku zote aunt ako sipendi nimuudhi kwa huo upuzi, yeye ni mama, rafiki, mfariji na msiri wangu,na zaidi ni mpenzi wangu. Mwisho kabisa ni mama wa watoto wangu, ana thamani ya pekee.