raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,866
- 36,970
huwezi kukuta kokote maana hayo ni maamuzi na maelewano tumeachiwa tuamue wenyeweNa aliposema mwanaume awe na wanawake wengi ni wapi?
huwezi kukuta kokote maana hayo ni maamuzi na maelewano tumeachiwa tuamue wenyeweNa aliposema mwanaume awe na wanawake wengi ni wapi?
Mie siondoki, mbna wee ulipoanza hukuondoka? Tunakaa wote hapa ila kila mtu akatafute furaha na amani nje.Nikijua yaani utaondoka kwa madhira magumu Sana I see! Sijui kwa Nini wanaume tupo hivi[emoji134]!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] weee toka hapaaaah, tunampa ushauri murua.Mafeminist naona washalala baada ya kupigaa ngonjeraa za kumpoteza dada wa watu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sema dada tulia na ndoa yakooo lasivyo utapataa tabuu sanaaaa walimwengu hawafaiii...!! Atakwambia achana na mumeoo kisa kacheat yeye huku ndoa yake mumewe ana watoto wa nje kabisaa lakini anakomaa tuu...
Haya tuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mtamponzaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] weee toka hapaaaah, tunampa ushauri murua.
Yaani hapo huyo mwanaume anaekulazimisha uvumilie ndio mjinga,na kukubali kuvumilia wakati huna amani moyoni na unaumia ni ujinga nao pia. Sijawahi,wala siwezi kumlazimisha mtu avumilie pasipo na upendo. Anapotaka tu aondoke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapana kaka mimi niko radhi niitwe majina yote lakini siko tayari kuhandle stress za mtu mzima tena anayenikosea makusudi kabisa
Eti cheating is inevitable, woii si bora nitafute pesa nizunguke duniani nikichoka nife tu nijue moja.
Halafu cha kushangaza badala mtafute namna muache ndiyo kwanza mnatulazimisha wanawake tuvumilie, yaani mmefanya kama kucheat ni kitu ambacho mtu hawezi kuacha ana akiacha atakufa.
Tuponze kwa kipi, hebu acha jamaa m1 huko nje ale kimasikhara mke wa mtu, km vile mume wa mtu aivyokula kimasikhara binti m1 huko nje. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haya tuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mtamponzaaa
We ni geniusDadangu nimekwambia mruhusu mumeo aoe mke mdogo ili ukae mlee tu watoto wenubasi. Wanaume sisi asili yetu ni polygami, hata mm nna mke ila nna wanawake wako mikoa tofauti, nnapoishi nna mmoja dar mmoja mwanza mmoja na bukoba mmoja owte ni wanawake wangu and wanajuana na wote wana watoto wangu na ninawajibika kwao na kila mtu ana nyumba yake sio ya kupanga nimewajengea in case heta nikitangulia mbele za haki wanangu wasiteseke. And still I am 39 years now. Wanawake wangu wananipenda sana huwa nawakusanya kila skukuu tunafurahia pamoja na wanangu. Hiyo ndo style nloamua kuishi na wote wamekubaliana na mm
Nna una tatizo sehemu aseeh au umenfanisha me na rikiboy ..pole sana.Umeishiwa hoja unaanza personal attacks, khaaaah hebu soma tena comment upya, naamini kuna sehemu hujaelewa poleeeeeeh san
Kusema ni rahisi, vinginevyo unataka ununuliwe gunia la mkaa😂🤣😂!Mie siondoki, mbna wee ulipoanza hukuondoka? Tunakaa wote hapa ila kila mtu akatafute furaha na amani nje.
Kusema ni rahisi, vinginevyo unataka ununuliwe gunia la mkaa😂🤣😂!Mie siondoki, mbna wee ulipoanza hukuondoka? Tunakaa wote hapa ila kila mtu akatafute furaha na amani nje.
Kusema ni rahisi, vinginevyo unataka ununuliwe gunia la mkaa😂🤣😂!Mie siondoki, mbna wee ulipoanza hukuondoka? Tunakaa wote hapa ila kila mtu akatafute furaha na amani nje.
Hahaaaa ndo manake, utajisikia muruaaaaIli upate sehemu ya kujiliwaza. Maisha yenyewe mafupi
Sasa ww bishana na mchangiaji! Ukweli ndo huo, duniani hutapata mume wako tu, wanaume ndivyo tulivyo, hatuwezi kuwa tunakula mboga ile ile kila siku tukirudi home, lazima tubadili, tunatofautiana tu namna za kuficha siri ili wake wasijue, ndo maana ukiwa legelege kwenye kuficha siri unakamatwa."sisi wanume wote" is such a strong word. Things are not the same and i dont think they will ever be. Kama unaelewa maana ya ndoa lakini.
Hamna hata ufanye Nini wanaume Ni selfish sanaa, esp kashajionea. Kama aliona amepunguza utundu kwanini asiongee nae warekebishe waenjoyKusema ni rahisi, vinginevyo unataka ununuliwe gunia la mkaa😂🤣😂!
👇
Wimbo uliobora 8:6-7
...Na wivu ni mkali kama ahera. Mwako wake ni mwako wa moto, Na miali yake ni miali ya Yahu.
Hivyo wapendwa msilete masihara ktk Mambo haya...ni magumu Sana hasa kwa wanaume kuyavumilia!
Tumia njia mbadala wa ku'review' utundu wako na kuongeza kujali mbona utamfanya Kila siku atulie kwako tu!
Amu 😆😆😆😆😆[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ina maana hujui maana ya hii picha?
You have special place in heaven my dia. View attachment 1522767
Wanawake ndo wanataka mhogo huo huo kila siku?? Ukute hata round mbili huwez kila siku unakuja umechokaSasa ww bishana na mchangiaji! Ukweli ndo huo, duniani hutapata mume wako tu, wanaume ndivyo tulivyo, hatuwezi kuwa tunakula mboga ile ile kila siku tukirudi home, lazima tubadili, tunatofautiana tu namna za kuficha siri ili wake wasijue, ndo maana ukiwa legelege kwenye kuficha siri unakamatwa.
Alinikamata wife na picha za mchepuko za lodge ndoa ikiwa na miaka2 na miezi8, baada ya hapo hajawahi kunikamata tena hata na msg, miaka sasa! Ni upgrade mbalimbali tu zinatumika kwenye mfumo wa ufichaji siri
Poti hadi huku?!!!Tons of experience right there, Brother! [emoji16] [emoji16]