Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Hamna usimshaur kulipiza kisasi Kuna ngom zingine hazichezeki
Sasa sisi tu caught una cheats hamu kwenu zinakufa why nijitese. Mimi kwa kweli whatever the case nitafanya kinachonipa moyo wangu amani huo unafiki sijui wanawake vumilia huku Sina hisia na wewe hapo nope wallah, in short siwezi unafiki Nina principle Kali kubadilika hata Yesu arudi wallah
 
Wakati mwingine huenda ni stress za u-single mother au kuachwa na Mumewe kwa maamuzi kama hayo yalishamgharimu so anaona ni vyema tu kumshauri Ke mwenziye pumba ili wote wakose, si unajua tena adui wa mwanamke ni mwanamke mwenziye?
Acha ujinga wewe Kama mamako alikuwa single mother ni yeye mbona wewe umetoa yako no one blamed you. Jibu hoja mfyuu
 
Sasa kinachobaki kulea watoto tu basi hamuachani kila mtu a mind bussiness zake ukimwamini mtu akuzingue upendo hufa kabisa hata ufanyeje situation won't be the same again mnaishi kwa mazoea why mjidaganye ooh vumilia wanaume wote wako hivi kah.
Hata hao watoto wajifunze tu hivo hivo kuwa udanganyifu si mzuri na ndio maana wa Africa uongo na uchafu mwingi.
Kumekuchaa
 
Pole dada
Najua inauma but trust me...muda ndo utakua tiba kwako.
Jipe muda ...endelea tu kujisikia unavyojisikia.

Na ili usaidike zaidi mtumie rafiki yako amjulishe jamaa kuwa asiache kucheat....aendelee tu mpaka hiyo ganzi unayoisikia itakapoondoka just like dat...

Hii solution imehakikiwa kisayansi na wala sio adithi. Nimeitumia na nimemsaidia mpenzi wangu. Siku hizi anajua kabisaaaaa me hawezi toshelezwa na ke mmoja

Hii ni constant au ni maoni yako mkuu?
 
Embu tafuta kidume cha mbegu huko pembeni mi sijaolewa ila nikigundua mwanaume anachepuka huwa siumizi roho nani anapenda kuangalia mashine ile ile kila siku, yeye anatamani uchi mpya hata mimi natamani dushe jipya 😊😊😊😊 ninajifunza na style mpya huko niendako
 
Embu tafuta kidume cha mbegu huko pembeni mi sijaolewa ila nikigundua mwanaume anachepuka huwa siumizi roho nani anapenda kuangalia mashine ile ile kila siku, yeye anatamani uchi mpya hata mimi natamani dushe jipya [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] ninajifunza na style mpya huko niendako
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] aigooo
 
Wanaume mnavyotetea mwanaume mwenzenu Sasa😎

Binafsi Mimi siwezi deal na mwanaume wa ivyo sijui limoyo langu lipoje.

Nahisi tu mwenendo wake siyo moyo umepoa..sembuse kuwa na vidhibiti..ngumu kuvumilia
 
Tuliokomenti kinyume na ninyi 'wanaume wa shoka' ni mimi na cariha sasa unaposema single mother wameshavamia uzi uliwalenga akina nani?? Ndio maana nikauliza unatujua?
Nimeshangaa huyu mwanaume kwanza anazalilisha wanawake sio Uzi huu tu hata nyingine kwahyo ku comments tofauti na wanaume wanachopenda kusikia ndio dhihaka, hafu eti single mother wakati hata labour sijaenda
 
Back
Top Bottom