Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,772
- 25,418
Huyo mwanaume kama ameomba msamaha,nae ni kiazi..anatakiwa kukana everything....Mkosaji ni mume wako, kama amekiri na kuomba msamaha,basi,amani ya Nafsi yako na mwenza wako itategemeana na maamuzi yako ya kusamehe na kupuuza.
Kama unampenda kweli usije ukajaribu kulipa kisasi kwa kuchepuka,pia usipende kutegemea ushauri kwa watu wengine kwenye masuala ya ndoa maana unaye muomba ushauri yeye mwenyewe yupo kwenye mgogoro japo utakuwa tofauti na wako. Ukisikia "wanaume wote ni mambwa tu" ujue naye kaumizwa ila kiukweli sisi sio mambwa. Tukiomba msamaha ujue ni wa dhati kabisa.
Msamehe baby wako pluziii,anateseka huko alikoView attachment 1521897
Na huyo mwanamke kama anajitia hana mapenzi nae tena,ni well and good,na akijitusu tu nae a-cheat akishikwa ndio ndoa inafia hapo hapo siku hiyo hiyo.
Na kama ukikaa humo ndani ndio unajifanya humpendi tena,viburi,etc,unajipoteza tu maana huo usumbufu wa kukaa kama alien ni wako and he never cares what you actually feel maana nobody is in your heart or brain,she will sit on that shit...
Hivi viwanawake mume aki-cheat vinapaniki kupita maelezo ni visichana vya hovyo vyenye feminism ndani na vyenye theory ya mashindano