Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Sema tu mwendo mperaaa mkaanze kulialia mahakamani...!! Me najifukuzaje nyumbani kwangu yani ukishindana na mwanaume siku zote hata kama una helaa utaumia tuuu.. Ona zariii karuka rukaa weee huyu anajisogeza kwa mondi now...
Mmmmmh yaaan unatolea mfano zariih, yule n mjegeje tyuuuh, sasa fuatilia tukio la domo na boss lady, ndo utajua sie hapa tunazungumza nn.
Nyumba Sio yako peke ako, lazima tugawane hujui hilo.
 
Ww umeshamalizia mara ngapi mpaka Sasa mbona unasema hivyo! Au ukute ulikuwa unatafuta sababu tu ya kufanya tukio...!
Hakuna sababu ila kwakua umelianzisha, mie namalizia tyuuuh.
 
Huwezi enda kupigwa mitii alafu urudii ndani kwanguu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hiiii wangoshaaaa....weee umesikiaaa wapiii
Sio kusikia tyuuh, ndo tunakuonesha sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kaa kwa kutulia hakuna namna.
Najua inawauma ila pia sie tunaumia vile vile, lazima tusaidiane maumivu
 
Mustakabali wa familia utajulikana baadae hakuna malezi ya familia bora kama upande mmoja una kinyongo tena anaweza akafanya tukio ambalo litaathiri mpk familia yenyewe.
Hapanaaah mustakabali was watoto n muhimu, ila wazazi mi vurugu match tyuuuh. Kila mtu na game lake acheze atakavyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapanaaah mustakabali was watoto n muhimu, ila wazazi mi vurugu match tyuuuh. Kila mtu na game lake acheze atakavyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mshauri pia mwenzio kulialia mwisho mzenga hapa dar mbona Mbooho zipo nyingi tu.
 
Mwenzenu yamenikuta na kusema za ukweli nashindwa kabisa kuelewa namna ya kutoka hapa na kusonga mbele.

Ni mume nilompenda sana sana sana. Mungu katujaalia two beautifull kids na mengine ambayo am greatfull for. Tuliishi kwa upendo,furaha na amani hadi miezi 8 ilopita nilipogundua kuwa nilivyomdhania mume wangu sivyo alivyo.

Kwakuwa nampenda na kumfahamu sana mume wangu, kuna kitu nilikuwa tu nakihisi hakiko sawa kwa muda. Baadae nikagundua he was cheating. Yaani sitaki kuelezea mstuko niloupata na jinsi ninaumia jamani. Japo aliomba sana msamaha and all that ila moyo wangu umekufa ganzi wapendwa.

Mume nilompenda sana kwasasa namuona kama jirani yangu tu, hata hamu nae sina kabisa na hata tendo la ndoa ni kama ananibaka tu. Tushaongea sana, tushakwenda hadi vacation sie wawili tu ila sioni kinachobadilika. Akisafiri kikazi au mimi nikisafiri najisikia amani zaidi and i dont miss him kabisa.

Kuna wakati nilimuomba some alone time nifikirie kuhusu mustakabali wa hii ndoa, alinipa huo muda na kwa kipindi hicho cha wiki moja kichwani mwangu nilishangaa kunazunguka watoto wetu tu na sio mume wangu. Sijamueleza mtu yeyote kuhusu hili hata mama yangu wala mshenga wetu ila linanitafuna hatari.

Wenzangu mnawezaje kusamehe wanaume wanaowacheat na kurudi katika hali zenu za kawaida? Maana mie kwasasa mume wangu namuonaje sijui, nae naona hali hii inamtesa ila ndio hivyo tena[emoji134]
Sijisikii kumpenda wala kumheshimu tena, naona kama hadeserve kwa kutokuithamini na kuivuruga ndoa yetu.
Msamehe mrudi kama zamani.
 
Staki kabisa huo ushoga maana wake wenza wengi waswahili kutwa kushindana hooh napendwa mie kah sijui Nini Mimi siwezi huo utopolo kabisa

Sasa sisi wanadamu si tumeumbiwa kusema,kwahiyo mwenzako kukutambia kwako siyo jambo la ajabu na unaweza ukawa unampuuza tu.

Uzuri sisi tumepewa uwezo wa kuwapenda wote mpaka mmoja kati yenu akahisi yeye ndiye anapendwa peke yake.
 
Mafeminist naona washalala baada ya kupigaa ngonjeraa za kumpoteza dada wa watu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sema dada tulia na ndoa yakooo lasivyo utapataa tabuu sanaaaa walimwengu hawafaiii...!! Atakwambia achana na mumeoo kisa kacheat yeye huku ndoa yake mumewe ana watoto wa nje kabisaa lakini anakomaa tuu...
 
Hahahah
 
Mustakabali wa familia utajulikana baadae hakuna malezi ya familia bora kama upande mmoja una kinyongo tena anaweza akafanya tukio ambalo litaathiri mpk familia yenyewe.

Ni kweli asepe tuu... Hata watoto wakijua baba anacheat, mama anacheat itawaathiri malezi yao, a home ni Baba, mama na watoto akishaingia kidudu mtu tukubali is not a home anymore... inaacha emotional scars kwa mama na watoto,ndio matokeo tunawaona wanaume baadhi JF wanachukia wanawake na kuwaona Kama toilet paper ni kwa sababu ya hizi emotional scars! Wanaume kama unajiona unataka bado ujana USIOE, ukianzisha familia ni kiapo kuilnda!!! Ilinde, Vinginevyo hakuna mwanaume kama wapo wachache sana ambao wamevunja ndoa/nyumba zao wakabaki na amani.
 
Hamtokaa mtimize kamwe tamaaa za mwili. Acheni kuwa watumwa wa mwili.

JESUS IS LORD!
Screenshot_20200801-052132.jpg
 
Pole sana.asilimia kubwa ya wanaume tunacheat sio kwasababu hawawapendi wake zao au hawaeshimu wake zao la hasha ni jinsi walivyoumbwa.ebu angalia jamii yako unyoifahamu.baba,mjomba,binamu,kaka, Babu nk katika ndoa zao chungza utaona cheating zilitokea Ila walsameana na maisha yakaendelea.kuepuka cheating labda ishi pekeako hata utacha na huyo ukaenda kwa mtu mwingine Kuna siku utagundua pia nae.ni asilimia ndogo Sana wanaume ambao hawacheat na si kwamba wewe hautoshi.
 
Rahisi sana kuishi na mke akiwa na mimba, fuata masharti yote anayo kupa, tenga muda wa kutosha wa kuwa karibu naye, punguza marafiki wenye mtazamo tofauti, usijaribu kuwa na mchepuko kipindi hiki.
Siku ya kujifungua muombe daktari uwepo chumba cha kujifungulia. Utakapoona zile damu na maumivu anayopitia haki ya Mungu nakuapia kuanzia siku hiyo utaapa kwa miungu yako yote kuwa mke akitoka hapa salama hautamtenda kwa baya lolote. Hilo Agano linakuja automatikale na lina dumu sana. Pia mke anakuchukulia kama ni mtu mwenye upendo na unaye jali sana. Anajikuta anakupenda na kukuheshimu.

Kwanini uchepuke? Ile kitu kama haikuchanwa kuongeza njia ni siku tano tu na kama alichanwa ruhusu mwezi upite inakuwa tayari kwa matumizi halali ya nyumbani.

Muhimu:vaa condom kuepuka mimba na usinyonye maziwa maana utakuwa una dhurumu haki ya mtoto.
Tons of experience right there, Brother! 😁 😁
 
Ni kweli asepe tuu... Hata watoto wakijua baba anacheat, mama anacheat itawaathiri malezi yao, a home ni Baba, mama na watoto akishaingia kidudu mtu tukubali is not a home anymore... inaacha emotional scars kwa mama na watoto,ndio matokeo tunawaona wanaume baadhi JF wanachukia wanawake na kuwaona Kama toilet paper ni kwa sababu ya hizi emotional scars! Wanaume kama unajiona unataka bado ujana USIOE, ukianzisha familia ni kiapo kuilnda!!! Ilinde, Vinginevyo hakuna mwanaume kama wapo wachache sana ambao wamevunja ndoa/nyumba zao wakabaki na amani.
Rebeca 83 upo wapi nikuletee jogoo ule na baba
 
Back
Top Bottom