Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 10,218
- 41,803
Kuolewa sio lazima lakini hainizuii kuolewa.Kama unakwenda kuishi mwenyewe sawa.ila kama unakwenda kujaribu kitafuta mwanaume wa ndoto zako,my dear kunywa maji tu ulale.
Binafsi yupo mama namfahamu,na huwa namsifu kwa moyo wake wa chuma,alipogundua mzee amedaka mwanamke mwingine na amelowea huko,hata kazini anatafutwa,alimtema mbali na kuwa alikuwa na watoto wanne wadogo.
Mama huyo yupo mpaka leo maisha yananedelea na watoto wameshakuwa watu wazima kila mtu na maisha yake.
Msikariri maisha nyie.